PSPF na mikopo ya elimu

Magnify

JF-Expert Member
Nov 16, 2014
229
44
Naomba kupata ufafanuzi wa hili kwa wahusika wa mikopo ya elimu PSPF.

Ninahitaji mkopo kwa maelezo yao wanakulipia moja kwa moja chuoni ni jambo zuri, wanasema riba ni 7. 5 %kwa mwaka ambayo ni tofauti na mabenki mengine yenye kuanzia 18% tunashukuru.

Ndgu zangu nimeenda nataka mkopo wa 4. 6mil kwa ada. Wakaangalia salary slip na calculations zao wakanambia ntakatwa 119000 hivi kwa mwezi kwa miaka5. Kuzidisha hiyo ni km million 7. 1 narudisha.JE HII NI SAWA NA 7. 5 Kwa mwaka? Crdb ukitaka hela hiyo hiyo wanakata 117000 kwa miaka5 na riba ni 18%. PSPF mnatukomboa au mnatuibia wafanyakazi?

Vilevile mtu ni mfanyakazi kwa miaka 7 kwann asipewe hela ya mkopo kupitia makato yake mnatupa form za Post Bank tupitishe kwa waajiri kama tunavoomba mikopo binafsi usumbufu mara mbili hii inakuwaje?

PSPF majibu tafadhali!
 
Imenikwaza sana ninakatwa miaka7 sasa bado unazunguka na form km unajiombea mkopo kawaida na zaidi ya 18% nafuu iko wapi?
 
Yamenikuta pia,kwanza kupata hizo fomu nlizunguka benki 3 ndo zikapatikana, maelezo ya PSPF na benki yanatofautiana hapo nlichoka.....

Nshachuka mkopo benki nawavutia kasi tu lazima nikawape ukweli wao
 
Kwa kweli hata mimi wananiboa.Miaka zaidi ya 5,kwa nini wasikupe hiyo pesa halafu wakate kwenye pensheni.Siwapendi,na huo ni usumbufu tu.Pesa zetu lkn tunasumbuka!HV HII HALI MPAKA LINI?
 
eti baadae wanakulipia wao chuoni moja kwa moja badala ya kukupa mwenyewe.kukopa ukope ww halafu wao ndo wakushikie fedha,hawa jamaa ni maj...mbz kabisa na ni mabepari hasa,afazali tuende crdb au nmb.
 
Mimi nilichukua form za mkopo za pspf jana , nimebakiza semester 1 na research... Ila ni wizi kama wizi mwingine. Nimeanza kazi 2010 afu eti kiwango mwisho m 6 afu nijaze fomu za bank Ya posta. Afu tena wanakata mwisho wa mwezi Kwa nini wasinikate kwenye pension?? Pspf amekuwa dalali??
 
Poleni nduguzanguni kwa ujambazi huo wa PSPF. Wakopeshaji wote wapo kwa ajiri ya kujinufaisha wao na si kuboresha maisha ya mkopaji. So! tutumieni akili na maarifa tulopewa na Mola kujikwamua kiuchumi.:bange:
 
jaman kwan kujiunga uko PSPF ndo inakuaje kwan n mwaka wangu wa kwanza ndo naenda chuo xaxa naitaj kujiunga... mxahaada
 
mi cjui hesabu lakini hebu tuone:

7.5×5=37.5%( riba ya miaka 5)
37.5/100× 4600000=1725000(kama riba ya kiasi cha 4.6)
4600000+1725000=6325000( mkopo plus riba)

6325000÷60(60 ni miezi ya miaka mitano) =105416.66666 ( hii ndo ulitakiwa ukatwe mkuu sasa vipi hapo hebu piga mahesabu vizuri wasikuibie
 
Naomba kupata ufafanuzi wa hili kwa wahusika wa mikopo ya elimu PSPF.

Ninahitaji mkopo kwa maelezo yao wanakulipia moja kwa moja chuoni ni jambo zuri, wanasema riba ni 7. 5 %kwa mwaka ambayo ni tofauti na mabenki mengine yenye kuanzia 18% tunashukuru.

Ndgu zangu nimeenda nataka mkopo wa 4. 6mil kwa ada. Wakaangalia salary slip na calculations zao wakanambia ntakatwa 119000 hivi kwa mwezi kwa miaka5. Kuzidisha hiyo ni km million 7. 1 narudisha.JE HII NI SAWA NA 7. 5 Kwa mwaka? Crdb ukitaka hela hiyo hiyo wanakata 117000 kwa miaka5 na riba ni 18%. PSPF mnatukomboa au mnatuibia wafanyakazi?

Vilevile mtu ni mfanyakazi kwa miaka 7 kwann asipewe hela ya mkopo kupitia makato yake mnatupa form za Post Bank tupitishe kwa waajiri kama tunavoomba mikopo binafsi usumbufu mara mbili hii inakuwaje?

PSPF tafadhali majibu.
mkuu c walisema riba ni 1%
 
Hakuna riba ya 7.5. Riba yao ni 14. Mimi nilifatilia wakanijazia makato elfu 75 kwa miaka 3. Kiwango hicho hicho backlays wanakata 77 kwa mwez kwa miaka 3. Bado pspf wasumbufu wana sehem ya kusaini mwajiri, wanataka barua ya ruhusa, wanataka invoice kutoka chuo, salary slip certified,fomu yenyewe inapitia mahakani tena bado watumishi wao wanajib kwa nyodo utadhan wanakusaidia. Mimi niliwachana palepale ofcn kwao na fomu zao nilizichana.Nikawaambia ukija utaratibu wa kuhama mfuko ntawahama
 
kama ulifanya hvo ulithubutu.
 
Back
Top Bottom