anajua kila kitu ila anajaribu kumlinda sanga ambaye ni mwizi wa kuaminika.hii ni familia ya philemon luhanjo ambaye ni katibu mkuu ofisi ya rais.wanakula matunda yao kwa jasho letu.mtu kama wewe hata upewe source bado utaitaka hiyo source ikupe source.
Kweli jambo kama hili hujalisikia. Hakuna kwingine unakosoma habari zaidi ya jf?
jamani nimesikia juzi kwamba fedha zetu za pension haziko salama,na hizo nssf,ppf na kadhalika ziko katika hali mbaya ya liquidify,hayo yalisemwa na waziri wet mtaalamu mkullo.sasa leo alipoulizwa na waandishi wa habari,ati ana sema wamempakazia,yeye hajasema hivyo.kweli mimi namashaka,hizo hela zimeliwa na mafisadi. tanzania kweli kwa namna hii tutapona?
Inawezekana wale staff wanataka rushwa kidogo siyo kwamba hawana hela za kukulipa...just komaa nao wakupe sababu za kutokukupa cheque...pension is your right..ujue uli-contribute pale...1. Rekebisha kichwa cha thread. 2.Mke wangu aliacha kazi mahali akiwa chini ya NSSF, na sasa ni miezi 4 toka alipostahili kupewa cheque, na kila wakimpangia tarehe wanasongesha mbele kwa madai kwa visababu visivyoelezeka! Wamekopeshana hela yetu kinyemela nadhani hawa!
Inawezekana wale staff wanataka rushwa kidogo siyo kwamba hawana hela za kukulipa...just komaa nao wakupe sababu za kutokukupa cheque...pension is your right..ujue uli-contribute pale...
Hata kama waki-filisika..wastaafu watalipwa na serikali (Gurantor) kinachotakiwa ni wastaafu kukomaa nao kwakuwa sheria iko wazi...sasa being a financial minister,atakujaje na double standard statements?au yeye hajui kule kinachotokea,au jamaa anaropoka tu? kama hiyo?ina maana pesa zetu zinakwenda wapi?na jamaa wanapata ma interset kibao?paka jimmy labda ndio mambo ya hakuna hela,ndio wanamzungusha....
tumain sasa serikali si hawo hawo?yaani wao wakifilisika,kweli serikali ita tu resque,ambapo they are two facets of a coin.....
Tomaso a.k.a ZionTZ. Hiyo hapo.....
Govt to issue guidelines on PPF scheme for academics
By Adam Ihucha
16th October 2009
Any attempt by Parastatal Pensions Fund (PPF) to change its formula of determining the benefits for its members, will send the fund into an early bankruptcy, a cabinet Minister has warned.
Lecturers of public universities in August this year raised a red flag against PPF for continuing to pay them what they termed as peanuts in the name of terminal benefits.
They demanded that university employees be left to decide the pension scheme they want to register with. The Dons believe that PPF is capable of increasing the rates of their benefit payments, but its management was taking the issue for granted.
Yesterday, Finance and Economic Affairs Minister, Mustafa Mkullo told the 19th PPF annual members conference in Arusha that the government will soon issue guidance on the matter.
The government will issue the guidance soon after working on the report by Actuary who analyzed the benefits provided by the PPF and the funds sustainability if it decided to increase benefits Mkullo noted.
Quoting the report, he said, if PPF will dare to change its benefits formula in order to provide benefits rate similar to other funds like Public Service Pension Fund (PSPF), Local Authority Provident Fund (LAPF), it will fail to issue sustainable benefits to its members.
For your information, even those PSPF and LAPF claimed to have been providing handsome benefits, are currently facing financial woes, forcing the government to compensate the loss Mkullo noted.
He however commended PPF for increasing its value by 10 percent in six months period, amid the worst global financial crisis which brought almost social security funds into their knees.
Earlier, the PPF Board chairman, Ramadhani Khijja said his funds value has swelled from 499.33bn/- in 2008 up to 550.5bn/- in June this year. The funds value increase is equivalent to 10 percent.
Khijja further announced his fund to increase its minimum retirement benefits from 21,000/- to 50,000/- per month as from January 2010.
SOURCE: THE GUARDIAN
Kwa taarifa tu ni kwamba ni mashirika mawili tu yaani PPF na NSSF ndiyo yapo financially sound na yanaweza kuwalipa wanachama wao mafao yote wanayostahili.
PSPF na LAPF waliingia kwenye game kichwa kichwa wakadhani hizi hela ni za kugawa tu kwa wanachama ili wasifiwe bila kufuata kanuni za ma actuary(wataalam wa bima). Malipo wanayolipa PSPF na LAPF yanajulikana toka hii mifuko ilipokua inaanzishwa kuwa yataua mifuko, lakini kwa vile vibosile wapanga sera ndio waliokua karibu na kustaafu humo serikalini wakapitisha hizo formula za ajabu zinazompa mtu aliyechanga millioni 12 maisha yake yote, mafao ya millioni 90.
Na kweli hii miaka kumi iliyopita ni almost vibosile woote waliohusika kuisuka hii mifuko wameshastaafu na kuwaacha zigo wananchi wengine. Kwa kifupi mafao ya PSPF hayalipiki kwa mfuko mchanga kama huo. Sema sisi watanzania kwa vile tunapenda vya bure(rudia DECI na mambo ya kupanda mbegu) tunaishangilia hii mifuko kwa mafao bora, wakati kiuchumi ipo ICU.
Ukweli wa yote watu watakuja kuyajua baada y uchaguzi mkuu 2010, sasa hivi kuna homa ya uchaguzi imeanza na ndio maana waziri amewithdraw statement yake, ila ukweli ndio huo. Hii mifuko miwili LAPF na PSPF inapumulia mashine na kusubiri ruzuku kutoka serikalini. Waliopanga hizo formula zao mbovu wameshastaafu na kuvuta milioni 100 zao, wanaenjoy pensheni zao.
Kuna hii habari nimeipata kupitia media kuwa haya mashirika ya mifuko ya pension ati hayana hela,yameishiwa,yana hali ngumu kifedha.
Binafsi hainiingii akilini ati shirika ambalo hata hawatumii msuli kuingiza mapato,serikali imeweka sheria ya wao kupata mapato,leo hii wameishiwaje hata kushindwa kulipa wanachama mafao?au ni janja ya walewale kujichukulia hela za uchaguzi?
Hela zimechangwa,wanafanyia biashara,zote hizi zipo wapi? Ebu wanachama na nyie waajiriwa wa hii mifuko mtueleweshe sisi kina waathirika, nchi hii itafika siku patakuwa hapatoshi hapa!