PSPF, LAPF wamefuliaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

PSPF, LAPF wamefuliaje?

Discussion in 'Jamii Intelligence' started by RealTz77, Oct 16, 2009.

 1. RealTz77

  RealTz77 JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2009
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 742
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kuna hii habari nimeipata kupitia media kuwa haya mashirika ya mifuko ya pension ati hayana hela,yameishiwa,yana hali ngumu kifedha.

  Binafsi hainiingii akilini ati shirika ambalo hata hawatumii msuli kuingiza mapato,serikali imeweka sheria ya wao kupata mapato,leo hii wameishiwaje hata kushindwa kulipa wanachama mafao?au ni janja ya walewale kujichukulia hela za uchaguzi?

  Hela zimechangwa,wanafanyia biashara,zote hizi zipo wapi? Ebu wanachama na nyie waajiriwa wa hii mifuko mtueleweshe sisi kina waathirika, nchi hii itafika siku patakuwa hapatoshi hapa!
   
 2. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2009
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,323
  Likes Received: 1,788
  Trophy Points: 280
  Lipo jambo kubwa linafichwa hapa. Haiwezekani hawa jamaa wanajenga majengo mapya karibu kila sehemu, halafu bila kujua wanaishia kukosa hela. Mi naona hizi taasisi nazo ziwe audited. Isije geuka vichaka vingine vya wizi.
  Kama ni kweli, hizi habari zimenihuzunisha kuliko kawaida maana tutakuwa tunathibitisha kuwa sasa hakuna tunachoweza kukifanya bila kuingiza mbinu za kuhujumu mpaka kuviua vyombo vyetu vyote.
   
 3. Mopao Josee

  Mopao Josee JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2009
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna hii habari nimeipata kupitia media kuwa haya mashirika ya mifuko ya pension ati hayana hela,yameishiwa,yana hali ngumu kifedha.

  Binafsi hainiingii akilini ati shirika ambalo hata hawatumii msuli kuingiza mapato,serikali imeweka sheria ya wao kupata mapato,leo hii wameishiwaje hata kushindwa kulipa wanachama mafao?au ni janja ya walewale kujichukulia hela za uchaguzi?

  Hela zimechangwa,wanafanyia biashara,zote hizi zipo wapi? Ebu wanachama na nyie waajiriwa wa hii mifuko mtueleweshe sisi kina waathirika, nchi hii itafika siku patakuwa hapatoshi hapa


  TUPEWE SOURCE TAFADHALI USIKURUPUKE!!!!!!!!!!
   
 4. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #4
  Oct 16, 2009
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,460
  Likes Received: 5,845
  Trophy Points: 280
 5. M

  Matarese JF-Expert Member

  #5
  Oct 16, 2009
  Joined: Aug 30, 2009
  Messages: 519
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35

  Probably is a move to discourage those who want to move to LAPF from PPF
   
 6. Mambo Jambo

  Mambo Jambo JF-Expert Member

  #6
  Oct 16, 2009
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 1,100
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Mbona hiyo kitu haipo, au macho yangu tuu?..
   
 7. Mambo Jambo

  Mambo Jambo JF-Expert Member

  #7
  Oct 16, 2009
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 1,100
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Hii haiingii akilini hata kidogo, jamaa fedha za michango wanawekeza katika miradi lukuki, na hapo hapo interest wanazotoa ni 2% kwa mwaka, faida tunawaachia sasa wametuona wajinga na mtaji wanataka kula, only in Tz.
   
 8. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #8
  Oct 16, 2009
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,460
  Likes Received: 5,845
  Trophy Points: 280
  Gazetini leo ni main headline(titled:mifuko ya penseni serekalini taabani) ajabu kwenye website hakuna...nguja niscan gazeti niweke hapa.hata hivyo maelezo ya story yenyewe finyu mno...
   
 9. ZionTZ

  ZionTZ JF-Expert Member

  #9
  Oct 16, 2009
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,276
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160

  Tunaomba data za uhakika please....any supporting document will be added advantage!
   
 10. m

  msabato masalia Senior Member

  #10
  Oct 16, 2009
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 118
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33

  Tomaso a.k.a ZionTZ. Hiyo hapo.....  Govt to issue guidelines on PPF scheme for academics

  By Adam Ihucha
  16th October 2009

  Any attempt by Parastatal Pensions Fund (PPF) to change its formula of determining the benefits for its members, will send the fund into an early bankruptcy, a cabinet Minister has warned.

  Lecturers of public universities in August this year raised a red flag against PPF for continuing to pay them what they termed as ‘peanuts’ in the name of terminal benefits.

  They demanded that university employees be left to decide the pension scheme they want to register with. The Dons believe that PPF is capable of increasing the rates of their benefit payments, but its management was taking the issue for granted.

  Yesterday, Finance and Economic Affairs Minister, Mustafa Mkullo told the 19th PPF annual members conference in Arusha that the government will soon issue guidance on the matter.

  “The government will issue the guidance soon after working on the report by Actuary who analyzed the benefits provided by the PPF and the fund’s sustainability if it decided to increase benefits” Mkullo noted.

  Quoting the report, he said, if PPF will dare to change its benefits formula in order to provide benefits rate similar to other funds like Public Service Pension Fund (PSPF), Local Authority Provident Fund (LAPF), it will fail to issue sustainable benefits to its members.

  “
  For your information, even those PSPF and LAPF claimed to have been providing handsome benefits, are currently facing financial woes, forcing the government to compensate the loss” Mkullo noted.

  He however commended PPF for increasing its value by 10 percent in six months period, amid the worst global financial crisis which brought almost social security funds into their knees.

  Earlier, the PPF Board chairman, Ramadhani Khijja said his fund’s value has swelled from 499.33bn/- in 2008 up to 550.5bn/- in June this year. The fund’s value increase is equivalent to 10 percent.

  Khijja further announced his fund to increase its minimum retirement benefits from 21,000/- to 50,000/- per month as from January 2010.


  SOURCE: THE GUARDIAN
   
 11. Ncha

  Ncha JF-Expert Member

  #11
  Oct 16, 2009
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 254
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wanatumia hela za watu kujenga kumbe hawana akiba, wachunguzwe kama ni kweli
   
 12. RealTz77

  RealTz77 JF-Expert Member

  #12
  Oct 16, 2009
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 742
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  the issue is what should go wrong with our funds in those pension org's? are they doing any busines plan to in crease profit? i think nop!! they have all the money they want, not only that they are collecting where they havent sow! one day we will hear the news that TRA have gone bankrupty! no wonder this is africa-tanzania no country like this and some of its friends!
   
 13. Mponjoli

  Mponjoli JF-Expert Member

  #13
  Oct 16, 2009
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 668
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Wanatumia pesa zetu kukopeshana na akina Manji halafu pesa wananunua majengo kwa bei kali sana.

  Pesa zetu wanakopesha wafanyakazi wao 60millions,interest 7%,wanajifanya hawajui time value of money.7% nindogo kuliko inflation achana na risk ya watu kutolipa.

  Ukitaka maisha nenda kafanye kazi mashirika ya pension,after one year unakopeshwa 10m, three years 60,interest ni ndogo sana
   
 14. makoye2009

  makoye2009 JF-Expert Member

  #14
  Oct 16, 2009
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,646
  Likes Received: 500
  Trophy Points: 280
  Hii nchi nilishasema na ninasema tena kuwa imelaaniwa.

  Hawa jamaa wa MIFUKO YA PENSION wana hela zetu nyingi sana yaani ni mabilioni kwa mabilioni. Kama unataka kuthibitisha hilo angalia majengo waliyojenga hapo Dar k.m. PPF Tower,LAPF Tower na mengineyo.

  Kuna kipindi wanachama walianza kuhoji uhalali wa kutumia pesa ya wafanyakazi ambao ndio wanachama kuwekeza kwenye miradi mikubwa kama hiyo ya majengo bila ya kibali cha wanachama wenyewe.

  Sijui swala hilo liliishaje lakini inaonekana lilizimwa kinamna. Inasikitisha kuona kuwa pesa ya wavuja jasho wa Tanzania inatumiwa kunafaisha watu wachache wenye uroho wa mali yaani MAFSADI!

  Jambo la kusikitisha ni pale mtu anapostaafu na kuanza kufauatilia mafao yake utaona anavozungushwa, njoo kesho, njoo wiki ijayo,njoo mwezi ujao na hata mwaka kesho na zaidi! Hawa watu wa MIF UKO YA JAMII in brief ni matapeli wa kutupwa.

  Mimi ningeshauri kwamba MIFUKO hii ya jamii iwanufaishe wanachama wake kwa kufanya mambo matatu muhimu:

  1. Kuwapa mikopo ya biashara yenye riba nafuu.
  2. Kuwajengea nyuma za gharama nafuu.
  3. Kutoa mikopo ya elimu kwa wanachama wake.

  Kwa sasa hivi mifuko hii haitusaidii kwa lolote kwa vile Sheria inayosimamia mashirika haya ni ya kinyonyaji na ya ugandamizaji na haimwendelezi mfanyakazi.

  Kwanza hawa watu hela yetu wana iwekeza kwenye miradi mikubwa mikubwa bila ridhaa yetu. Hata baada ya kurudisha hiyo pesa na faida wanayopata wanakula wao tu. Sisi ambao ndo wenye pesa hatupewi hata faida kidogo.

  Nawashauri wabunge waangalie hii sheria upya ikiwezekana ibadilishwe ili wafanyakazi wanufaike na pesa zao. Kwanza kuna faida gani mtu mpaka uzeeke ndipo ulipwe mafao yako? Kwanini kusiwe na malipo hapa katikati wakti mtu ukiwa kazini ili uweze kufanya miradi ya kukuongezea kipato ?

  Hili la sasa kuwa wameishiwa pesa ni yale yale mambo ya UFISADI yanaanza! Si mnaelewa tunaelekea kwenye uchaguzi? Kule BOT sasa hivi hapashikiki kwa hiyo CCM lazima watafuta chanzo kingine cha mapato. Safari hii naona watakuwa wameyalenga mashirika haya. CCM wanajua bila ya kuhonga hawawezi kushinda uchaguzi wowote.

  Kwa hiyo tutege masikio huenda EPA nyingine inaanza kutengenezwa!!!!!!
   
 15. s

  smalnama Member

  #15
  Oct 16, 2009
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni uongo tu, Huyo waziri alitakiwa atoe data siyo maneno tu. Nia ni kwanyamazisha walimu wa vyuo vikuu wanaodai ku-move kutoka PPF unless ibadilishe mafao yawe kama mifuko mingine. hiyo mifuko ni mashamba ya Serikali na wajanja wake.
   
 16. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #16
  Oct 16, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Inawezekana maana PPF number of members ilikuwa inapungua kila mwaka tokea liberalization itokee...no wonder wanaweza wasiwe na fedha kwa hesabu ya haraka haraka...kama members wanapungua...beneficiries wanaongezeka....administarion costs zinaongezeka....mwishowe ni kufilisika....sijasema zinazoenda kwenye compaign ya CCM...
   
 17. B

  Boney E.M. JF-Expert Member

  #17
  Oct 17, 2009
  Joined: Jan 22, 2007
  Messages: 425
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kwa kifupi huu ni wizi mtupu!!!!!!!!!!!!
   
 18. MchunguZI

  MchunguZI JF-Expert Member

  #18
  Oct 17, 2009
  Joined: Jun 14, 2008
  Messages: 3,623
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Mtu kama wewe hata upewe source bado utaitaka hiyo source ikupe source.

  Kweli jambo kama hili hujalisikia. Hakuna kwingine unakosoma habari zaidi ya JF?
   
 19. MchunguZI

  MchunguZI JF-Expert Member

  #19
  Oct 17, 2009
  Joined: Jun 14, 2008
  Messages: 3,623
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Habari kama hiyo Mkulo aliitoa wapi?
  Yeye ni waziri muhusika anachukuwa hatua gani au nao ni mtikisiko wa uchumi wa dunia? Asianze kuripoti kama msemaji wa hiyo mifuko. Yeye ni authority!

  He needs to be responsible. Siyo kuchukuwa vijisenti vya PPF na kuanza kusema watakavyo.

  Mifuko hii ikianguka ni ishara ya nchi kuanguka na itakuwa ni uthibitisho wa nchi ya wajinga.
   
 20. k

  kanda2 JF-Expert Member

  #20
  Oct 17, 2009
  Joined: Apr 22, 2007
  Messages: 1,318
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Mkurugenzi wao bwana Sanga hana elimu na mwizi mkubwa lakini kwa vile ni ndugu wa Luhanjo kapewa ukurugenzi mkuu matokeo yake ndio haya.mnaolilia source ni ndugu wa Sanga mnataka kumlinda.huwa nashangaa kila siku kuona Sanga ni mkurugenzi mkuu wa taasisis hii nyeti ya LOCAL AUTHORITY PENSION FUND.
   
Loading...