super black
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 566
- 540
Kuna ukweli flani apaIzo course zote mbovu hazina ajira labda upate GPA kubwa ubaki chuoni..........kama ukitaka kusoma ukapate GPA kubwa nenda usome Human Resource Management
Kuna ukweli flani apaIzo course zote mbovu hazina ajira labda upate GPA kubwa ubaki chuoni..........kama ukitaka kusoma ukapate GPA kubwa nenda usome Human Resource Management
Sasa kumbe unajua unachoenda kukisomea ni nini? Sasa kulikuwa na haja gani ya kuanzisha uzi kuomba ushauri? Unaomba ushauri...unashauriwa unang'ang'ana na hiyo moja. Kuna haja gani ya kuomba ushauri ndugu? Au ulitaka kutufikishia taarifa tujue ndoto zako?Me napenda sana PsPa mkuu..yani toka kitambo nina ndoto za kusoma hiyo
Usitoke povu mkuu..niliomba ushauri kwa kua hapa kuna wataalamu wa masuala mbalimbali ya kitaaluma wangeweza kuchanganua ipi inafaa ipi haifai.Sasa kumbe unajua unachoenda kukisomea ni nini? Sasa kulikuwa na haja gani ya kuanzisha uzi kuomba ushauri? Unaomba ushauri...unashauriwa unang'ang'ana na hiyo moja. Kuna haja gani ya kuomba ushauri ndugu? Au ulitaka kutufikishia taarifa tujue ndoto zako?
Pole wewe kijana unayeng'ang'ania kusoma education ili upate ajira kwa urahisi
Niliandika vile baada ya kuona unagoma ushauri wa mtu. Inamaana hutaki kushauriwa. Tena ukakazia kuwa una ndoto ya PSPA. Nikashindwa kujua ni ushauri gani unauhitaji...Usitoke povu mkuu..niliomba ushauri kwa kua hapa kuna wataalamu wa masuala mbalimbali ya kitaaluma wangeweza kuchanganua ipi inafaa ipi haifai.