PSPA, HRM, LAW, Planning development

PSPA, HRM, LAW, Planning development

Nadhan usome Law inachance kubwa ya kujiajiri hlf unaweza kufanya kaz za HR pia so n best option.
Mwenyew nimesoma PSPA ila ningerud first year now ningesoma Law
Kwa hiyo kwa pspa ajira nI ngumu sana au!halafu kwa pspa we umedeal na nn hasa
 
My friend kama upo vizur
Soma Barchelor of Science Economics in project planning and management at Mzumbe.
Ajira za Planning nyingi sana zinatangazwa unaweza ukapata.
By the way project managers frim N.G.Os wanalipwa ela ndefu kinyama
Kwani hiyo na ile ya ArdI urban or regional planning zinatofautiana!
 
Okay.But nimesikia wanataka division 1 pekee
Mmhhhh kwa miaka 4 iliyopta walichukua had two inategemea na points

Ila naamini utapata division one mdogo angu.

Pia zingatia Ushauri WA wadau Hapo juu
Soma kitu kwa kuangalia soko LA ajira
Kila LA kher
 
Mmhhhh kwa miaka 4 iliyopta walichukua had two inategemea na points

Ila naamini utapata division one mdogo angu.

Pia zingatia Ushauri WA wadau Hapo juu
Soma kitu kwa kuangalia soko LA ajira
Kila LA kher
Ndio dada angu hata mimi nategemea division 1..ila hizo coz ndio kipaumbele changu
 
Mdogo wangu ktk kusoma elimu ya juu tuliza akili izo ndoto zako changanua mara 3 vizuri then linganisha mawazo yako na kozi zingine
 
Nashukuru nimepata chuo nulichokua nakipenda toka utotoni
 
Wakuu naombeni msaada ni kozi gani itanifaa kusoma chuo nimemaliza form 6 HGL kati ya
POLITICAL SCIENCE AND PUBLIC ADMINISTRATION UDSM, LAW UDSM , HUMAN RESOURCES MANAGEMENT TIA, AU REGIONAL OR URBAN PLANNING ARDHI, Naombeni msaada wenu wakuu

Izo course zote mbovu hazina ajira labda upate GPA kubwa ubaki chuoni..........kama ukitaka kusoma ukapate GPA kubwa nenda usome Human Resource Management
 
Wewe ndio mbovu uliye na akili mgando unayetegemea kuajiriwa ilI utumbuliwe

Ukweli unauma.......pole sana...Tambua kuwa kati ya wasomi 100 wa Tanzania 99 wanasoma ili waajiriwe.
 
Ukweli unauma.......pole sana...Tambua kuwa kati ya wasomi 100 wa Tanzania 99 wanasoma ili waajiriwe.
Pole wewe kijana unayeng'ang'ania kusoma education ili upate ajira kwa urahisi
 
Ila kwa upande mwingne LAW is the BEST na ni kozi ambayo ukihitimu Law School na kupata cheti cha ufaulu utakuwa ni product yenye thamani sokoni tofauti na kozi zingne ambazo unaweza toa jasho sana lakin at the end unakuwa AN ARTICLE OF NO COMMERCIAL VALUE. Law ina uwanda mkubwa sana wa soko.
Law haina ishu siku hizi, makanjanja wengi, si unaona Tundu Lissu anavyowatoa kamasi mawakili wa serikali tena walipitia Law school.
 
Umemaliza form 6 HGL mwaka gani...Kama mwaka huu..umepangiwa chuo gani. .Na kozi gani?
Na katika mind yako wewe unataka usome ili uwe nani na kwanini uwe hivyo? ? Tafakari.

Ukishapata majibu hayo..utaona mwanga wa kwenda mkuu.
 
Nimemaliza mwaka huu nimepangiwa chuo kikuu cha Dar es salaam course ya PSPA..
 
Back
Top Bottom