Dark City JF-Expert Member Joined Oct 18, 2008 Posts 16,252 Reaction score 11,648 Apr 14, 2014 #101 snowhite said: Jastifikesheni tu hapa! Click to expand... Kongosho said: Isitoshe keshamega. Click to expand... Hivi nyie watu miwani yenu kawatengenezea nani? Ila kama bado basi wako kwenye hatua za mwisho za maandalizi...bado wanapiga chapo kupandisha mzuka!
snowhite said: Jastifikesheni tu hapa! Click to expand... Kongosho said: Isitoshe keshamega. Click to expand... Hivi nyie watu miwani yenu kawatengenezea nani? Ila kama bado basi wako kwenye hatua za mwisho za maandalizi...bado wanapiga chapo kupandisha mzuka!
T Tata JF-Expert Member Joined Dec 3, 2009 Posts 5,799 Reaction score 2,733 Apr 14, 2014 #102 Weka picha zake kwanza tumuone alivyo kabla ya kusema jambo lolote.
A Aine JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 1,603 Reaction score 489 Apr 14, 2014 #103 unamuendekeza bwana, wewe si ndio boss unashindwaje kumkataza tabia hiyo, au hujaoa unatafuta mchumba kwa style hiyo huyo hafai kuoa aisee!!!!!!!!
unamuendekeza bwana, wewe si ndio boss unashindwaje kumkataza tabia hiyo, au hujaoa unatafuta mchumba kwa style hiyo huyo hafai kuoa aisee!!!!!!!!
OLESAIDIMU JF-Expert Member Joined Dec 2, 2011 Posts 19,139 Reaction score 9,574 Apr 14, 2014 #104 King'asti said: unanitega eeh! mi staki uchokozi wako ntakusakizia kwa paw upigwe nkuki wa tumbo! :fencing: Click to expand... Ha ha haaaaa we mwambie tunasoma wote twisheni atakuelewa braza!!!!
King'asti said: unanitega eeh! mi staki uchokozi wako ntakusakizia kwa paw upigwe nkuki wa tumbo! :fencing: Click to expand... Ha ha haaaaa we mwambie tunasoma wote twisheni atakuelewa braza!!!!