Ps 4

Ps 4

SALADY

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2015
Posts
224
Reaction score
200
Jamani naomba kuuliza huku jukwaani, nina ps 4 yangu haijahackiwa, nataka kununua game online, lakini nchi ya Tanzania haiko kwenye listi. naomba wajuzi wa mambo haya wanisaidie, ukunipa idea mm nitaangalia namna ya kukupoza, kwa idea yako. Asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom