Proxy proxy proxy inazingua

Proxy proxy proxy inazingua

Parata

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2011
Posts
3,090
Reaction score
693
yaaani imekuwa tabu sana kwangu leo kusoma huku chuo na hela sina watu wangu niokoeni hata na maujanja mengine bhana hata ya mtandao wowote, ila VODACOM nahisi humu ndani wapo na ndio wamezuia na hawatatuweza tu ngoja na mimi niingie chimbo then nije na maujanja hapa ni jamii forum home of great thinker hakiaribiki kitu hapa lazima tuwagundua mlipotukamatia loadiiiing.................
 
Back
Top Bottom