Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,217
Wanao sababisha haya ni walevi km nyie
Hasa wewe na Nyakageni ambao mnatumia muda mwiiingi kupika pombe za kienyeji na kulewa mchana kutwa!
We unajua taifa linahitaji wachapa kazi halafu wewe na hao wenzako wana wapikia hayo mataptap!
Si ndio sababu nchi inekwenda mrama!
Mi nilikuwa nashauri serikali kwa hawa wapika pombe za moshi ! Wakikamatwa wanatakiwa wafungwe maisha!
Mnfnsssssssssss!
Ukimaliza kunya uje andika kitu hapa......tena nyi ewenye constipation mna shida sana...kwani haina tofuauti na....
Kauli Hizo hutolewa na wakuu wa wilaya zinazozalisha wala mizizi kila mwaka.