Dr. Msafiri
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 471
- 154
Baadhi ya Nchi (haswa 'zilizoendelea') zilipiga marufuku uvaaji wa sare za vyama vya siasa kwa madhumuni ya kujenga na kuendeleza utaifa na utengemano wa wananchi haswa baada ya michakato ya uchaguzi!
Kwa hiyo nchi hizo zilitunga sheria ya kukataza "political uniforms"!
Kwa hatua taifa lilikopitia, sasa tunahitaji kupiga marufuku sare za vyama vya siasa na pia vikundi vyao vya ulinzi.
Wiki hii Rais alikutana na wanaCCM wenzie wasiovaa sare pale Ikulu na 'reaction' ya jamii haikuwa na ukakasi mkubwa.
Seriously we need fundamental changes in our society for sustainable development!
Nawasilisha!