Kwa tunao aminiana tunaweza pia kubadili vitabu. Kuna bidada (jina kapuni) nilimpa kitabu changu last year leo kanambia eti cover ilikua poor quality, amejitahidi sana ila cover liliharibika lenyewe.
Alter, hapo in bold ndio first option but it has a limitation. In case tunasema kuna vitabu XYZ, wewe unakipataje ili usome? na kama tutajadili 3 books a week or a month, utaweza kununua 3 books kila mwezi? Labda useme tuanze na threads za review (each book a thread) then tukija kupata hilo jukwaa tunahamisha threads zote huko?
Dogo unakumbuka nondo za De Soto?
In early december nikiorganise my library, nilijishangaa kuona baadhi ya my favourite books hazipo. Nadhani uaminifu na utunzaji wa vitabu ni muhimu. Nimelazimika kuandika vitabu vyangu majina kwa unoko, nikienda kwa mtu nikikikuta nabeba juu juu. Inaudhi sana aisee, pole. Kichukue ukafanye rebinding, itakipa mvuto kwa miaka mingi zaidi.
Mitandao inaniponza, sisomi vitabu kabisa. Lets do this.
Nadhani amekusoma. Nilishangaa kidogo coz kawaida ni mtunzi mzuri wa vitabu (source: yeye mwenyewe). lolIn early december nikiorganise my library, nilijishangaa kuona baadhi ya my favourite books hazipo. Nadhani uaminifu na utunzaji wa vitabu ni muhimu. Nimelazimika kuandika vitabu vyangu majina kwa unoko, nikienda kwa mtu nikikikuta nabeba juu juu. Inaudhi sana aisee, pole. Kichukue ukafanye rebinding, itakipa mvuto kwa miaka mingi zaidi.
Mitandao inaniponza, sisomi vitabu kabisa. Lets do this.
#JustSaying . Na ukibisha namwita shahidi maana haya mambo uliyatamka tukiwa watatu...Unatabia mbaya alter... Lol.
Brilliant idea...ili tuweze kuchangia kwa uhakika labda tungehabarishana kuhusu vitabu mbali mbali tunavyosoma na kwanini tunaona vina msaada kwa wengine pia kuvisoma ili mijadala iwe ya kina na ya uhakika zaidi. Naunga mkono hoja. Najaribu kusoma two books a month nione imekaaje.
The more you read the broader your database of knowledge. It would be beneficial for you and people around you if you could start writing as well.Very rich, i have been practising it for some time now but i still feel i am behind (i wish i could read more) - try it you won't regret for your time. with me it also goes with buying, on average i buy more than 3 books a month.
The more you read the broader your database of knowledge. It would be beneficial for you and people around you if you could start writing as well.
Alter nimesoma thread husika ya Kiranga, ilinifurahisha saana kuwa kuna people who really read books... Hili liliwakilishwa hapa tayari via forum ya Premium membership na mmoja wa members; Na Maxence Melo akaahidi kuwa ni moja ya eneo anaweka sawa... Sijui aliishia wapi na hili.
I am praying kuwa hili sababu alter umeliwakilisha utahakikisha it goes through sababu you are not one to let a project not go through successively or kuishia njiani. Ni vizuri tuanze kwa vitendo, wakati tunasubiri Invisible akituandalia sub forum kwa ajili ya Book reviews a thread inaweza anzishwa hata hili jukwaa ya kutangaza ni kitabu gani ambacho inatakiwa kila ambae yupo interested asome (in case hajakisoma) kwa ajili ya hizo reviews...
Na suggest zinaweza kuwa na three options... Kuwa vitabu vitatu vyenye variety tofauti ili kutoa uwanja mpana. Maana kuna wale wote ambao wanapenda kusoma vitabu but wakawa tofauti types of books they are drawn to (Ingawa strategy ya book review itasaidia pia watu ku side-track from their normal interests to new flavours).
Naunga mkono hili wazo kwa dhati na I have been looking forward to it like forever... Najua hii habari itamfurahisha sun wu, The Boss, Azimio Jipya, WomanOfSubstance (for hao tulishawahi jadili kuhusu mambo ya book reviews). Pamoja Saana.