Alter nimesoma thread husika ya Kiranga, ilinifurahisha saana kuwa kuna people who really read books... Hili liliwakilishwa hapa tayari via forum ya Premium membership na mmoja wa members; Na
Maxence Melo akaahidi kuwa ni moja ya eneo anaweka sawa... Sijui aliishia wapi na hili.
I am praying kuwa hili sababu alter umeliwakilisha utahakikisha it goes through sababu you are not one to let a project not go through successively or kuishia njiani. Ni vizuri tuanze kwa vitendo, wakati tunasubiri
Invisible akituandalia sub forum kwa ajili ya Book reviews a thread inaweza anzishwa hata hili jukwaa ya kutangaza ni kitabu gani ambacho inatakiwa kila ambae yupo interested asome (in case hajakisoma) kwa ajili ya hizo reviews...
Na suggest zinaweza kuwa na three options... Kuwa vitabu vitatu vyenye variety tofauti ili kutoa uwanja mpana. Maana kuna wale wote ambao wanapenda kusoma vitabu but wakawa tofauti types of books they are drawn to (Ingawa strategy ya book review itasaidia pia watu ku side-track from their normal interests to new flavours).
Naunga mkono hili wazo kwa dhati na I have been looking forward to it like forever... Najua hii habari itamfurahisha
sun wu,
The Boss,
Azimio Jipya,
WomanOfSubstance (for hao tulishawahi jadili kuhusu mambo ya book reviews). Pamoja Saana.