Kwa tunao aminiana tunaweza pia kubadili vitabu. Kuna bidada (jina kapuni) nilimpa kitabu changu last year leo kanambia eti cover ilikua poor quality, amejitahidi sana ila cover liliharibika lenyewe.
No problem. If you have the basics of french and want to improve, the best way is to read the same book in English, then it's french version. It really helps.poa, mimi na wewe tubadilishane vya kifaransa - bado lugha hiyo inanipiga chenga na piga ua lazima niifahamu mwaka huu
poa, mimi na wewe tubadilishane vya kifaransa - bado lugha hiyo inanipiga chenga na piga ua lazima niifahamu mwaka huu
No problem. If you have the basics of french and want to improve, the best way is to read the same book in English, then it's french version. It really helps.
poa, mimi na wewe tubadilishane vya kifaransa - bado lugha hiyo inanipiga chenga na piga ua lazima niifahamu mwaka huu
tena nyinyi wenye kusoma ndio tunawataka kabisa maana as part of your academic requirement you have to read books and articles.itasaidia tena sana....japo kwa wengi tumebanwa na shule hata spidi ya kusoma imepungua,naiman hili jukwaa likianza litaokoa wengi ikiwemo mimi pia.....hongera kwa mleta mada...hongera kwa wana jf...
Alter, hapo in bold ndio first option but it has a limitation. In case tunasema kuna vitabu XYZ, wewe unakipataje ili usome? na kama tutajadili 3 books a week or a month, utaweza kununua 3 books kila mwezi? Labda useme tuanze na threads za review (each book a thread) then tukija kupata hilo jukwaa tunahamisha threads zote huko?Alter nimesoma thread husika ya Kiranga, ilinifurahisha saana kuwa kuna people who really read books... Hili liliwakilishwa hapa tayari via forum ya Premium membership na mmoja wa members; Na Maxence Melo akaahidi kuwa ni moja ya eneo anaweka sawa... Sijui aliishia wapi na hili.
I am praying kuwa hili sababu alter umeliwakilisha utahakikisha it goes through sababu you are not one to let a project not go through successively or kuishia njiani. Ni vizuri tuanze kwa vitendo, wakati tunasubiri Invisible akituandalia sub forum kwa ajili ya Book reviews a thread inaweza anzishwa hata hili jukwaa ya kutangaza ni kitabu gani ambacho inatakiwa kila ambae yupo interested asome (in case hajakisoma) kwa ajili ya hizo reviews...
Na suggest zinaweza kuwa na three options... Kuwa vitabu vitatu vyenye variety tofauti ili kutoa uwanja mpana. Maana kuna wale wote ambao wanapenda kusoma vitabu but wakawa tofauti types of books they are drawn to (Ingawa strategy ya book review itasaidia pia watu ku side-track from their normal interests to new flavours).
Naunga mkono hili wazo kwa dhati na I have been looking forward to it like forever... Najua hii habari itamfurahisha sun wu, The Boss, Azimio Jipya, WomanOfSubstance (for hao tulishawahi jadili kuhusu mambo ya book reviews). Pamoja Saana.
Kwa tunao aminiana tunaweza pia kubadili vitabu. Kuna bidada (jina kapuni) nilimpa kitabu changu last year leo kanambia eti cover ilikua poor quality, amejitahidi sana ila cover liliharibika lenyewe.