Captain mopao
Senior Member
- Feb 25, 2021
- 133
- 379
Habari zenu humu ndani
naomba kuleta mada tujadili kuhusu suala zima la ugaidi
Kwanza tupate maana ya ugaidi ugaidi ni kitendo au vitendo vya mauaji au haribu mali kinachofanywa na kikundi cha watu au mtu kwa lengo la kushikiza jambo fulani au kutaka kitu flan, ugaidi wa mtu dhidi ya mtu ugaidi wa watu dhidi watu ugaidi wa imani dhidi ya iman nyingine au ugaidi wa watu dhidi ya serikali mfano hapa africa kuna baadhi ya vikundi vinavoishi msituni na kuua kwa sababu ya utofaut wa sera na matakwa dhidi ya serikali zilizopo mdarakani vikundi hiv ni km mai mai m23 nk,
Leo tuongee kuhusu ugaidi wa dini dhidi ya dini huu ndio ugaidi unaotesa dunian nzima uislam ukihusishwa dhidi ya iman zingine
Ugaidi huu kwa tafsiri ya baadhi ya waislam unatafsiriwa kuwa ni mwendelezo wa jihad alioianzisha mtume Muhammad dhidi ya makafili
Ijakpokua wapo baadhi ya waislam wanakataa na kusema ya kua jihad illishia kipindi cha mtume tu
Hawa wasiosadiki jihad kwa kinywa ilihali moyoni nafsi zawasuta wamefika mbali sana hata kuyapa lawama mataifa ya magharib kua yanafanya uasi kujificha nyuma ya dini yao na kua wao ni watu wema
Siwez kuyasadiki haya ilihali alieanzisha jihadi ni mtume na wala sio America
Leo hii ndugu zangu waislam wamekua ni watu wa kueneza propoganda na kupandikiza chuki kwa watu wenye uelewa duni dhidi ya America, naweza kusema USA ana madhira yake ambayo yeye ni mtu wa vita ni sawa na tumeshuhudia America akiwaangamiza maadui zake wazi wazi bila ya kificho wala mgongo wa jambo fulani mfano sadam Hussein Osama bin Laden na wengineo
Anachofanya america sio ugaidi ni vita maana upande mwingine kuna jesh na upande mwingine kuna jeshi so either afe america au adui yake tofaut na ugaidi ambao ni watu wenye siraha dhidi ya raia wema
Unaweza ukajiuliza nchi zenye machafuko mengi mauaji kupora haki za binadam na majanga mengi ni nchi za kiislamu
Na ukitaka ujue waislam ni watu wa namna gani unaweza fatilia baadhi ya matukio ya hapa nchini kama maandamano yaliowahi kutokea hapo miaka ya nyuma kwa sababu ya mtoto kukojolea Quran wale ndo waislam halisi huwez kusema america iliwatuma waandane rejea matukio ya ma padri kumwagiwa tindikali zanzibar rejea kuchomwa moto makanisa Zanzibar
Malizia na halakat za mashekh uamsho waliopo jela
Kutenganisha uislam na ugaidi ni sawa na kutenganisha sukar ilio ndan ya uji
Unaweza kupata picha nini kinaendela Nigeria baada ya kutengana pia tafta history kilitokea nini baada ya mombasa kutaka kujitegemea hata hapa zanzibar unaweza kujiuliza kwanini selikari wanaulinda muungano kwa nguvu zote
Kwa taswira ya wazi kbsa ni kosa kumhusisha America na ugaidi na ni sahihi kumhusisha America na vita
Ukienda Israel radical Muslim wanawapa train watoto kujitoa mhanga kupiga mawe askar na magar ya wayahudi
Kiufupi uislam ume take %90. 9 9ya ugaidi dunian naishia hapa mwenye mawazo tofauti aje.