Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 10,962
- 34,855
■Putin kuvamia Ukraine
"ooh ni haki yake kufanya hivyo"
■Putin kutesa wapinzani wake
"ooh analinda nchi yake"
■Putin kuuzia siraha waasi wa Afrika
" ooh anasaidia mapinduzi barani afrika"
■Iran kuwezesha ugaidi kwa kupatia fedha vikundi vya uislam wa itikadi kali
"ooh wanasaidia kuirudisha palestina"
■Iran kuua wananchi wake pale tu wakikuosea kidogo kuendana SHARIA LAWS
"ooh wanapambana kuleta maadili ya taifa"
■China kuwabugua na kuwafunga waislam wa muygir
"ooh anajalinda dhidi ya watu wabaya"
■China kufanya udukuzi wa simu kupitia tik tok "ooh anajilinda dhidi ya ubaya kupitia intelejensia ya mtandao"
●●●●●Lakini sasa ISRAEL kujilinda na kujibu mashambulizi
"ooh israel ni wabaya hao, mashetai, makafir, wauaji, wanasadiana na marekani kuleta maafa"
☆☆☆☆☆☆VIVA ISRAEL, VIVA USA☆☆☆☆☆