Prophetic code year 2026

Prophetic code year 2026

Marco Seth

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2022
Posts
4,680
Reaction score
5,653
Number one means beginning
New things will happen
Number one means uniqueness
It will be unique year
Number one means wholeness
2026
2+ 0 + 2 + 6 = 10
1+0
= 1


-Also there will be new president who is Christian in Tanzania 🇹🇿
He is Chosen by God.

-God will return back Tanzania in Good place.
 
. Active
2B197223-C711-404A-9440-839B8456F1CA.jpeg
 
Ukisha "believe" huyo Mungu anafaidika nini?

Usipo "believe" huyo Mungu ana pungukiwa nini?

Ina maana huyo Mungu yupo so insecure hadi anahitaji kuaminiwa?
Kwa faida yako
Kwa sababu is Wanadamu wengi wapo kifungoni
Na wengi kama ninyi msiomuamini

Yupo ndio maana anasema muamini yupo.

Ukiwa karibu naye na yeye atakuwa karibu na wewe

Ukiwa mbali naye ni ww ndio unakaa mbali na yeye ila yeye yupo.
 
Kwa faida yako
Kwa sababu is Wanadamu wengi wapo kifungoni
Na wengi kama ninyi msiomuamini

Yupo ndio maana anasema muamini yupo.

Ukiwa karibu naye na yeye atakuwa karibu na wewe


Ukiwa mbali naye ni ww ndio unakaa mbali na yeye ila yeye yupo.
Kama huyo Mungu yupo, aje ajiongelee yeye mwenyewe, Sio wewe unahangaika kumuongelea na kumuelezea.

Huyo Mungu kama yupo, ajidhihirishe mwenyewe na kujitetea kama ana huo uwezo.
 
Number one means beginning
New things will happen
Number one means uniqueness
It will be unique year
Number one means wholeness
2026
2+ 0 + 2 + 6 = 10
1+0
= 1


-Also there will be new president who is Christian in Tanzania 🇹🇿
He is Chosen by God.

-God will return back Tanzania in Good place.
Huo mstari wako wa mwisho unaonesha vile ulivyo sifuri kichwani.
 
Number one means beginning
New things will happen
Number one means uniqueness
It will be unique year
Number one means wholeness
2026
2+ 0 + 2 + 6 = 10
1+0
= 1


-Also there will be new president who is Christian in Tanzania 🇹🇿
He is Chosen by God.

-God will return back Tanzania in Good place.
will there be another election this year ?
 
Niliwahi kumwambia jamaa mmoja haya maneno nusu iwe ugomvi, watu wanaamini wasichokijua
Watu wana "fear of unknown".

Unajua tangu utotoni watu wanakaririshwa hizi kauli "Muogope Mungu", "Kuwa na hofu ya Mungu". Sasa zinawapumbaza na kuathiri akili zao.

Dini zimewajengea watu hofu na woga. Kwenye dini kuna vitisho vya kila aina mara moto wa milele, Jehanamu ya milele. Hii yote ni kuuzia watu uoga.

Hakuna Mungu wala Shetani.

Mungu hajawahi kuwepo na hayupo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom