Wakristo hivi mbona mko hivi mara mnanyweshwa Ditto, kuvuliwa chupi, kuunguzwa Moto (Kibwetere), wengine wanaahidi kufufua lkn wapi hafufuki wanapiga mipesa yao hao manabii na wachungaji wanaishi maisha ya kifahari waumini mateso kila uchao.
Shule mlienda kufanya nini maana tumebakia kuvaa TAI na SUTI tu licha ya kuwa na elimu..... Tizinduke bado hatujachelewa!!!!