Huyu kijana anajishughulisha na kilimo. Na anazo mashine za kusaga nafaka kama mahindi na ku pack kwenye Mifuko. Hivyo utajiri wake hautokani na sadaka, kwa kuwa hata huduma kaanza sio siku nyingi. NA HII TABIA YA KUONA MTUMISHI WA MUNGU ALIYE NA HALI NZURI NI UTAPELI MMEITOA WAPI? AU MNATAKA WAWE MASKINI NDIO WATAONEKANA KUWA WATUMISHI WA MUNGU? KAMA DINI ZENU ZINAWAFUNDISHA HIVYO TAFADHALI MTUACHIE WACHUNGAJI NA WATUMISHI WETU.