Prophet BG Malisa na Clear Malisa ni ndugu?

Prophet BG Malisa na Clear Malisa ni ndugu?

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,289
Reaction score
5,741
Nilipokuwa nikimuona Nabii Clear Malisa pale Chomoza nilijua ndiye yule wa Mwanza ambaye nimesikia taarifa zake nyingi nyingine si nzuri.
Nilikuwa nikishangaa sana nikiunganisha tuhuma za yule wa Mwanza kila nilipokuwa naangalia kipindi cha chomoza hasa kutokana na uwezo alionao Clear Malisa na jinsi Mungu alivyomjalia kufunua biblia katika mafungu mengi anayotafsiri.

Leo nimebahatika kumuona huyu wa Mwanza kituo cha luninga cha star TV nikagundua ni wawili tofauti ila majina ya ubini yanafanana pamoja na taaluma yao( wote manabii)
Naomba kujua,je hawa ni ndugu?

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Ni watu wawili tofauti..sema majina yanafanana mwishoni labda
Btw kwanini hiyo clear malisa hawezi ombea mtu hadi amloweshe maji mwili mzima..yani mtu analowa chapachapa?
 
Unabii ni ni biashara na pesa nzuri. Wajinga wanapigika sana huko.

Robo ya manabii hawa wa mchongo hapa bongo wanatokea kabila moja huko kaskazini mwa Cuba.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom