PropellerAds kiundani - Jinsi ya kushea Facebook - CPM ya sauzi | Ushauri

Na mimi nahitaji magroup ya south wajameni blog yangu nilitumia trick ya watu wa india nikaweka matangazo ya adsense ya kwenye app nikawa nayapachika katikati ya post ila cha ajabu viewers walikata kabisa kutokea viewers buku jero per day mpaka 60 per day

Nimeyatoa sasa nina properrel nataka nipige mkwanja
 
Wazee, kama inavoonekana hapo kwa tittle.

Nilikua na ndoto yakuwa blogger na nashkuru kwa uwezo m/mungu nilifanikiwa na nikawa monetized na kampuni ya Adsense. Ila nimepitia challenge kubwa sana katika hii kampuni (kuzimiwa matangazo) ndani ya akaunt yangu kuko na $200 aisee roho inauma sana. Nimekuja na hii post ili kupata ushauri kadhaa kutoka kwa jamaa zangu mbali mbali maana nimehamia katoka hii kampuni ya PropellerAds kwasasa.

Huku kuna changamoto mambo sio mtelezo kama ilivo kwenye Adsense nadhani wakongwe mnaelewa hili. sasa nataka mbinu au ushauri kutoka kwenu kama kuko na njia mbadala yakueza kupiga $100 kwa siku ndani ya propeller baasi ningependa tushee kwa pamoja ili tusaidiane.

Salute kwa kaka #machoziyasimba

Sent using Jamii Forums mobile app
Unapata Disable usd 200 mbona kawaida mzee kaza moyo usikate tamaa nakumbuka nilikula ban tar 21 asubuh nikiwa nikisubiri masaa nipate cheque ya 2k+ kaza buti kaka...kwa ushauri wangu nenda adsterra Propellerads sio sehemu nzuri kabisa(kwa uzoefu wangu)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na mimi nahitaji magroup ya south wajameni blog yangu nilitumia trick ya watu wa india nikaweka matangazo ya adsense ya kwenye app nikawa nayapachika katikati ya post ila cha ajabu viewers walikata kabisa kutokea viewers buku jero per day mpaka 60 per day

Nimeyatoa sasa nina properrel nataka nipige mkwanja
Trick gani hyo chief ya kuweka ads za admob kwenye blog

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kushea kwenye groups ilikuwaga enzi hizo, unapiga mzigo ukija kucheki online unakuta imo!! Wazulu 600 wapo online kwenye blog roho inafrahi..magroup yamevamiwa huko aisee kila baada ya post 2 kuna mbongo katupia link yake hii hali imepelekea wasauzi wengi kuruka post zenye links hawaclick yani, ila bado kuna wachache wataclick.

Nakumbuka zamani kupata views laki za Sauzi kwenye blog ilikuwa kawaida ila wabongo walivyovamia magrup kuna dogo huko anakaza mkono kwelikweli anaambulia views elf 2 wenzake wengine ni views 300.

Changamoto kubwa ipo kwenye maroboti ya fb yani link zinatafunwa kama Katanga na accounts zina logout mno.

Naskia game limebadilika watu wanaboost.

Anyway labda wewe ulikuwa unatumia mbinu gani kupata traffic
 
]
Boss naomba nikuone whatsapp

0624630024
 
Mimi kwa miezi 2 to

Mimi kwa miezi 2 tu nina viewers 20500 kwa magroup ya biashara ya bongo na fb kidogo niliweka kwa siku naweza piga viewers 600 siku niliyojipanga kiuhakika nilipiga 2700 hivyo nikikomqa nafika 1000 kwa siku groups 5 za bongo nikiweka bila ku share napata 100
 
Huku bongo nako kuna pesa hivi, hao views buku unapiga ngapi
 
SEMA NINI MKUU PROPELLER HAINA HELA KABISA HUKU TUNAJIKONGOJA TUSIKOSE HATA $200 KILA WIKI KIMTINDO TUNAJIKONGOJA TUSIFE NJAA HAPA MJINI
 
Attachments

  • semaa.PNG
    semaa.PNG
    8.2 KB · Views: 11
Wadau me ninakiblog changu cha michezo na ni mgen sasa nimetumia blogger kufungua
Nahitaj sana kufika huko mliko ila sas bad napata changamoto za viewers maan post moja napak 50 kushuka chini
Nahitaj mnipwtie hayo magroup ya SA UK NA USA NIWEZE JARIBU HUKO.
Lakini nilikuw nauliza ili kuwa eligible kwa payment inatakiw uwe na vigezo vip has kwa viewer na subscription

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom