Jarida la Kampuni ya CPM Business Consultants

ngosh

Member
Dec 18, 2014
48
40
Kampuni ya CPM Business Consultants ni kampuni inayojishughulisha na kutoa ushauri wa biashara kwa wajasiriamali, imeanzisha jarida lake ambalo litatoa habari mbali mbali za kampuni kupitia mtandao wa internet kama ifuatavyo;
Taarifa kuhusu historia ya CPM Business consultants
Taarifa za Mafunzo ya biashara
Taarifa za huduma zetu mpya
Makala za ujasiriamali
Taarifa mbali mbali za Kampuni yetu
Ili kujiunga na jarida letu nitmie private message

CHARLES NAZI
CEO
 
Back
Top Bottom