Propaganda ya udini na ukabila kwenye suala la uwekezaji kwenye Bandari

mkileta udiniwaislam urais hamtaupata tanganyika narudia tena waislam tanganyika mko wachache mno tena mno na hamtaupata urais tanganyika kama mnabisha endeleeni na huo ujinga wenu.
Hasira za nini mkuu? Hujui kwamba hi nchi ni ya Waislamu ila basi tu, uungwana ni muhimu.
 
- Vita ya kidini ikitokea Tanganyika itakua na madhara makubwa. kwasababu tuna dini kubwa mbili zenye mitazamo tofsuti.

- Moto wa vita hii unachochewa siku baada ya siku, wachochezi wakubwa wakiwa ni wanasiasa.

- Watanganyika wameishi pamoja kwa muda mrefu ingawa wana imani tofauti za kidini. Wazanzibari wao hawana udhoefu huu, kwa ni nchi yao, in practice ni ya kidini, dini moja.

USHAHURI
- Watanganyika tuwe makini sana na Zanzibar na Wazanzibari kabla hatujachelewa.
Tanzania tunawapa watu wenye uwezo finyu sana kutuongoza.
Ikitokea hoja nzito wanajificha kwenye dini na ukabila. Na raia walivyo wavivu kufikiri wanashabikia tu.
Mh: Rais aliyepo madarakani wakati anaingia aliungwa mkono na watu wote.
Swala la bandari,watu hawapingi uwekezaji wala hawampingi mwarabu kuwekekeza. Tatizo watu wanalopinga ni vipengele vya mkataba.
Mtu una akili timamu unasaini mkataba ambao hauna ukomo !
Maana yake hata pakiwa na shida inabidi uvumilie tu.
Watu wakihoji wanapandikiziwa udini na ukabila.
Tanzania ukiwa serious haikufai,ishi kama chizi tu ndio utayafurahia maisha
 
Hasira za nini mkuu? Hujui kwamba hi nchi ni ya Waislamu ila basi tu, uungwana ni muhimu.
Natahadharisha hao waislamu kama kutaendelea hoja hii wataishia kuongoza zanzibar tu maana huku bara ni wachache mno narudia tena huku bara ni wachache mnooo na wanaweza kubaki hivyo mpaka kiama bila kupata urais.
 
Mimi nichangie kwa kusema ukweli wangu tu, hakuna ajuaye ila kiukweli wakristo ni wagomvi sana, wanapenda vita na hawaiwezi,
Waislamu ni wakarimu sana na wavumilivu, waadilifu na wanapenda haki,ila waparokia mmhhh wabinafsiiiiii, yaani kiongozi akiwa mkiristo hata akosee vipi, kimyaaaa wala hawamsemi, lakini muislamu hata apatie wao ni hasadi tuuuuu, sasa dawa ni tuhesabiane tuko wangapi halafu tugawane kwa asilimia kila mtu aishi kwao, lakini kwanza muungano uvunjwe, warundi na wanyarwanda wote warudi kwao tubaki pure tanzanians halafu tuendelee na mchakato hapo tutaishi kwa amani na furaha tele, na ilishindikana basi zipigwe tu, mshindi na atawale milele,

Imeisha hiyooo
 
Natahadharisha hao waislamu kama kutaendelea hoja hii wataishia kuongoza zanzibar tu maana huku bara ni wachache mno narudia tena huku bara ni wachache mnooo na wanaweza kubaki hivyo mpaka kiama bila kupata urais.
Bara ipi unao semea kwamba ni wa chache? Waislamu walioko bara niwengi mara tano kuliko zazibar au hujui unacho ongelea?
 
Natahadharisha hao waislamu kama kutaendelea hoja hii wataishia kuongoza zanzibar tu maana huku bara ni wachache mno narudia tena huku bara ni wachache mnooo na wanaweza kubaki hivyo mpaka kiama bila kupata urais.
Kwanini basi mnakataa kwenye sensa kuwekwa kipengele cha dini?

Tushirikiane kwa pamoja tuhamasishe sensa ijayo tuweke hicho kipengele

Mapema tu tunapata majibu
 
Kwanini basi mnakataa kwenye sensa kuwekwa kipengele cha dini?

Tushirikiane kwa pamoja tuhamasishe sensa ijayo tuweke hicho kipengele

Mapema tu tunapata majibu
muulizeni huyo aliokataa kuweka hicho kipengele mpo wengi wangapi na mikoa ipi
 
Kwenye mijadala mikubwa ya kitaifa ni vyema sana kuangalia wachezaji wa pande zote mbili hivyo hata kama mchezo hujauelwa utapata picha ya uwakilishi wa kwenye ukweli.
77046d8f678e494ead73b255bc5c3b5a_355840220_1365610433990457_7005253593350853729_n.jpg
 
muulizeni huyo aliokataa kuweka hicho kipengele mpo wengi wangapi na mikoa ipi
Wewe ndio uulize kwanini kanisa ndio lilipinga? 2012 au ulikuwa hujazaliwa?
Baadhi ya waislamu wakagoma kuhesabiwa ili mpaka kwa sharti kipengele cha dini kiwekwe wakaishia kukamatwa

Sasa tunaanzisha uzi humu wa kampeni ya kipengele cha dini kiwekwe kwenye sensa ya 2032,tunataka ushirikiano wako wa support ya kuunga mkono tu kwa comment na kukumbusha daily mpaka kipindi hicho wengi wataelewa
 
Hizo dini mnavyo zipambania kana kwamba wachungaji na masheh wanawaletea chakula nyumbani mtu anaejadili udini ni mjinga tu
 
Back
Top Bottom