Propaganda vs facts!

Propaganda vs facts!

Nilifikiri unakanusha kwa kutoa matokeo yako hadharani kumbe mkuki kwa nguruwe?
Upumbavu mliouleta dhidi ya huyu binti umekwisha tolewa majibu humu jamvini na yamekidhi. Kuyakubari hamlazimishwi kwani hayo ndiyo majibu mujarabu kwa hoja hii.Tunajua mtakubali akijiunga na chama chenu mtaunadi ukipanga wake kama mnavyomnadi Lowasa sasa wakati akiwa ccm mligoma kuambiwa kuwa hausiki na ufisadi. Kwa kuwa mnajulikana mnaachwa kama mlivyo.
Hoja hii ilijibiwa si kwa sababu ya kuwaridhaisha chadema. Abadani, hoja hii ilijibiwa ili kuufahamisha waungwana wa Tanzania kuwa binti huyu kapita katika mfumo halali na anastahili kuwa hapo na mtu mwingine yeyote mwenye sifa hizo anaweza kufuata mfumo huo. Watanzania wameelewa.
Sifa kuu ya mtu kuwa mpinzani ni ule uwezo wa kujitoa akili hadharani, kujifanya mjinga wakati akili zipo tena nyingi tu. Huwezi kutumia miaka 8 katika kumchafua mtu hadharani halafu wewe huyo huyo unataka kutumia miezi 3 ya kampeni katika kumsafisha, utaweza kufanya hivyo ikiwa kwa makusudi kabisa umeamua kujitoa akili.
 
Pole sana wapi au taarifa inakwambia miaka 3 hiyo alikuwa anafanya nn mtaan na vipi swala kurisit

Pia dr mwaka 2011 matokeo yalikuwa ni kwa njia ya namba so kama vipi aliyekupa hiyo taarifa mwambie akupe namba ya mtihani
Majina ilikuwa mwisho nadhan 2009

Hayo uonayo ni mchezo wa picha lakin haina ushahid qa kutisha kama kuonesha namba ya mtahiniwa
Majina yalikuwa mwisho 2011,mwaka uliofuata ndio wakaleta mfumo mpya wa kutoa kwa Namba,
 
Nilifikiri unakanusha kwa kutoa matokeo yako hadharani kumbe mkuki kwa nguruwe?
Upumbavu mliouleta dhidi ya huyu binti umekwisha tolewa majibu humu jamvini na yamekidhi. Kuyakubari hamlazimishwi kwani hayo ndiyo majibu mujarabu kwa hoja hii.Tunajua mtakubali akijiunga na chama chenu mtaunadi ukipanga wake kama mnavyomnadi Lowasa sasa wakati akiwa ccm mligoma kuambiwa kuwa hausiki na ufisadi. Kwa kuwa mnajulikana mnaachwa kama mlivyo.
Hoja hii ilijibiwa si kwa sababu ya kuwaridhaisha chadema. Abadani, hoja hii ilijibiwa ili kuufahamisha waungwana wa Tanzania kuwa binti huyu kapita katika mfumo halali na anastahili kuwa hapo na mtu mwingine yeyote mwenye sifa hizo anaweza kufuata mfumo huo. Watanzania wameelewa.

mbona una hasira mkuu maelezo yamekuingia barabara eeh? ahsante GJ MALISA wapumbavu wataukimbia ukweli.
 
Hatari. Kwa hiyo walipoona unawasumbua sana na hoja za Jesca wakaona wakutefutie hoja feki ili wakuchafue! Ha ha ha, staili ile ile kama ya waliyotumia kwa EL baada ya kuondoka chamani kwao...............they are very good at it.
 
Nilifikiri unakanusha kwa kutoa matokeo yako hadharani kumbe mkuki kwa nguruwe?
Upumbavu mliouleta dhidi ya huyu binti umekwisha tolewa majibu humu jamvini na yamekidhi. Kuyakubari hamlazimishwi kwani hayo ndiyo majibu mujarabu kwa hoja hii.Tunajua mtakubali akijiunga na chama chenu mtaunadi ukipanga wake kama mnavyomnadi Lowasa sasa wakati akiwa ccm mligoma kuambiwa kuwa hausiki na ufisadi. Kwa kuwa mnajulikana mnaachwa kama mlivyo.
Hoja hii ilijibiwa si kwa sababu ya kuwaridhaisha chadema. Abadani, hoja hii ilijibiwa ili kuufahamisha waungwana wa Tanzania kuwa binti huyu kapita katika mfumo halali na anastahili kuwa hapo na mtu mwingine yeyote mwenye sifa hizo anaweza kufuata mfumo huo. Watanzania wameelewa.
Imekuuma eee?
 
chief, wengine bado hatujaouna huo ufafanuzi.

pengine ingekuwa msaada mkubwa kwetu sisi wengine tusioelewa uki-edit kidogo hizi data za Malisa hapa chini:

=========================
Form four 2011
Kureseat 2012
Form five 2013/14
Form six 2014/15.
First year 2015/16
Means alipaswa kuwa firstvyear kwa sasa, but now yuko second year. Mathematical inbalance.

Or kama alianzia Certificate basi ilipaswa kuwa hivi,
Certificate 2012/13,
Diploma one 2013/14,
Diploma two 2014/15,
First Year 2015/16.
So alipaswa kuwa 1st year now, but yuko second year anaingia 3rd year. Another mathematical inbalance
===================================================================
 
Kama lumumba ndio wamekutuma wewe basi kazi kweli kweli.Soma tena kwa umakini hoja za malisa ndio utaelewa ulipaswa kuzungumzia nini
 
Imekuuma eee?
Nachojua umeelewa nilichoandika. Kila mpumbavu anayesoma huelewa kuwa hoja yenu imekwisha mnachokifanya ni mnapimana nani taahira kuliko wote aendeleze ujinga huu. Utatuambia umekuwa taahira namba ngapi
 
Usiwe mshamba wa fikira wew, hujui kitu kaa kimya, acha kidomo domo kama mlevi wa viloba. Hakuna mfumo maalum wa kusoma certificate isipokuwa diploma, anaweza akawa alimaliza 2011 halafu mwaka huo huo akasoma certificate. Cjui akili yako ina wadudu gani. Thank God sijapata uongozi nchi hii, watu wa sina yako wanhekuwa wanakula maharage huko, huwezi ikawa unamuattack mtoto wa Kiongozi kwa kujifichia kwenye hoja dhaifu. Fumbagu thana
Ulivyolipuka kama umeshikwa kalio
 
chief, wengine bado hatujaouna huo ufafanuzi.

pengine ingekuwa msaada mkubwa kwetu sisi wengine tusioelewa uki-edit kidogo hizi data za Malisa hapa chini:

=========================
Form four 2011
Kureseat 2012
Form five 2013/14
Form six 2014/15.
First year 2015/16
Means alipaswa kuwa firstvyear kwa sasa, but now yuko second year. Mathematical inbalance.

Or kama alianzia Certificate basi ilipaswa kuwa hivi,
Certificate 2012/13,
Diploma one 2013/14,
Diploma two 2014/15,
First Year 2015/16.
So alipaswa kuwa 1st year now, but yuko second year anaingia 3rd year. Another mathematical inbalance
===================================================================
Nimetoa hili darasa nimeeleweka. Kwani niliokuwa nao darasani waliridhika sana. Wewe umekuta matini niyowaachia wenzio umepata kiu ya kufundishwa wakati muda umekwisha.
Mbona unakiu ya kujua hili je litakusaidia kufauru mtihani wa darasa la saba? Kama jawabu ni ndiyo somo litarudiwa. Kama ni hapana somo halirudiwi.
 
Mkuu umetoa ufafanuzi na maelezo yanayojitosheleza sana kabisa bila kuacha chembe ya shaka, tatizo ni mfumo mbovu, kwa mfano kwa hiyo ishu ya jesca inawezekana hata baba yake hakujua kama binti yake amefanya ujanjaujanja mpaka kafika hapo alipo na hii ingekuwa ulaya ingekula kwa jesca na kwa baba yake

Irresponsible father yes but not kwa Baba Jesca the one I know.
 
Nimetoa hili darasa nimeeleweka. Kwani niliokuwa nao darasani waliridhika sana. Wewe umekuta matini niyowaachia wenzio umepata kiu ya kufundishwa wakati muda umekwisha.
Mbona unakiu ya kujua hili je litakusaidia kufauru mtihani wa darasa la saba? Kama jawabu ni ndiyo somo litarudiwa. Kama ni hapana somo halirudiwi.

kwa maelezo yako hapo juu nimetoka kapa.... labda kwanza unisaidie kujua maana ya hiyo misamiati yako mipya (in red).

halafu data ni muhimu zaidi.
 
Nilifikiri unakanusha kwa kutoa matokeo yako hadharani kumbe mkuki kwa nguruwe? Upumbavu mliouleta dhidi ya huyu binti umekwisha tolewa majibu humu jamvini na yamekidhi. Kuyakubari hamlazimishwi kwani hayo ndiyo majibu mujarabu kwa hoja hii.Tunajua mtakubali akijiunga na chama chenu mtaunadi ukipanga wake kama mnavyomnadi Lowasa sasa wakati akiwa CCM mligoma kuambiwa kuwa hausiki na ufisadi. Kwa kuwa mnajulikana mnaachwa kama mlivyo.

Hoja hii ilijibiwa si kwa sababu ya kuwaridhaisha CHADEMA. Abadani, hoja hii ilijibiwa ili kuufahamisha waungwana wa Tanzania kuwa binti huyu kapita katika mfumo halali na anastahili kuwa hapo na mtu mwingine yeyote mwenye sifa hizo anaweza kufuata mfumo huo. Watanzania wameelewa.

Matusi hutusaidia sisi kujua umelelewa katika mazingira gani, maana haya wezi matusi kujibu hoja.
 
kwa maelezo yako hapo juu nimetoka kapa.... labda kwanza unisaidie kujua maana ya hiyo misamiati yako mipya (in red).

halafu data ni muhimu zaidi.

Maneno hayo hutumika sana Mashuleni (Kuanzia shule ya msingi hadi chuo kikuu), kama huyajui nivigumu kujadili hoja hapa JF.
 
labda shule za uganga wa kienyeji mlingotini...
 
Back
Top Bottom