Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
Jana nilieleza kuwa namuunga mkono Mhe.Rais ktk kufanya "restructuring" ya mfumo wa Elimu nchini. Lakini nikaomba asiwe na "double standards", maana kuna wanaoguswa na wengine hawaguswi. Nikatoa mfano wa binti aitwaye Jesca Magufuli. Hoja yangu haikua Jesca, bali ililenga kueleza shida iliyopo ktk mfumo. Pamoja na nia nzuri ya Rais ya kuhakikisha wasio na sifa wanaondolewa vyuoni na kubaki wenye sifa tu, lakini kuna wasio na sifa wamebaki. Pengine Jesca ni kielelezo tu cha wengi ambao hawajaguswa.
Baada ya mjadala huo nilijua vijana wa CCM kama kawaida yao wataanza kuni-attack badala ya kujibu hoja. Maana huwa hawajui kupambana na hoja bali hupambana na mtoa hoja. Kwa hiyo nilijua watakuja na personal attacks na kukimbia hoja.
Leo kuamka asubuhi nikapigiwa simu nyingi nikiulizwa kama nimeona matokeo yangu mtandaoni. Nyingine namba mpya hata sizijui. Kucheck simu nina text zaidi ya 50 kutoka kwa watu mbalimbali wakiongelea hicho kilichoitwa "matokeo yangu". Wengine wananiulizia kama kweli ni matokeo yangu, lakini wengine wameshaconclude kuwa ni yangu hivyo wakanitumia text "kaka kumbe na wewe ni Kilaza??"
Nikaanza kutafuta hayo yanayodaiwa kuwa matokeo yangu na kujikuta natabasamu. Nikakuta matokeo kijana mmoja aitwaye "Godlisten Malisa" ana Div.4 ya point 27 kutoka shule ya sekondari Minaki. Nikajua hii ni "siasa chafu" ya vijana wa CCM ktk mpango wao wa kuhamisha mada. Lengo ni kuwatoa watu ktk mada kuu ya kuboresha mfumo wa elimu nchini na kuanza kumdiscuss Malisa.
Na wamesambaza propaganda hiyo hadi wakahakikisha "Malisa anakua maarufu zaidi ya Jecha kwa siku ya leo". Maana nimepita Fb ni Malisa, whatsapp Malisa, Insta na Tweeter kote watu wanamjadili Malisa. Lakini Malisa Malisa anayejadiliwa na Malisa aliyeko kwenye hayo matokeo ni watu wawili tofauti tena wasiofahamiana.
#UFAFANUZI.
Matokeo yanayosambazwa kwamba nimesoma Minaki Sekondari na nilipata Division four ya points 27 sio yangu. Sikuwahi kusoma Minaki na sikuwahi kupata alama hizo. Hata shule ya sekondari Minaki nilikuja kuijua baada ya kumaliza form six, nilikuaga naisikia tu.
Watu wananiuliza kama huyo Godlisten wa Minaki sio mimi, je ni nani?
#Majibu.
Simfahamu bila shaka na yeye hanifahamu. Anaweza kuwa ndugu yangu kwa kuwa Malisa wote ni ndugu. Na ukoo wa Malisa ni mkubwa. Chimbuko lake ni Old Moshi, lakini akina Malisa wapo hadi Mwika, Rongai, Uru, na Siha. Kwahiyo siwezi kumjua kila Malisa labda kama ningekua kiongozi wa Kimila au mzee wa Ukoo.
Mimi nimesoma Moshi both O-level na A-level. Wanaonifahamu au niliosoma nao wanaweza kueleza vizuri zaidi. Sio kwamba najisifu lakini uwezo wangu darasani haukuwahi kutiliwa shaka. Labda kama niamue kuzembea tu lakini namshukuru Mungu sijawahi kufanya vibaya. Unaweza kwenda Majengo sekondari na kuuliza matokeo yangu au ukayasearch kwny mtandao ktk website ya NECTA. Nimepata daraja la kwanza (division 1) na sio division four kama inavyopotoshwa.
SASA TURUDI KWENYE HOJA.
Baadhi ya watu wamejenga hoja kuwa huenda Jesca alisoma foundation course (Certificate then Diploma) kabla ya kujiunga chuo kikuu.
#MAJIBU
Naufahamu vizuri mfumo huo na sina matatizo nao. Nafahamu watu wengi waliosoma kwa kuanzia certificate na sasa ni wasomi wazuri tu na wanafanya vizuri ktk shughuli zao. Kwahiyo tatizo sio kuanzia certificate. Hata wale wanafunzi wa UDOM walipofukuzwa nilihoji sababu ya kufukuzwa kwao. Nilipoambiwa ni kwa sababu wametoka form four nilishangaa sana. Yani mtu azuiliwe kusoma Certificate au Diploma kwa kuwa tu ametoka form four. Nikasema hii si sawa.
Mi navyofahamu mtu anaweza kumaliza form four na akaenda kusoma certificate then Diploma kisha Degree na kuendelea. Mtu mmoja akanijibu kuwa "iliwezekana zamani ila si wakati huu wa JPM. Wakati huu vilaza watafute pa kwenda". Nikashtuka, na kujinyamazia.
Lakini watu haohao waliosema maneno hayo leo wamebadilika. Wanatetea kile walichokipinga kwa sababu tu wamesikia jina la mkubwa yupo chuo kikuu kwa kutumia mfumo huo. Huu ni unafiki. Tuwe na standards za kufanana bila kujalisha anayeguswa ni mtoto wa kigogo au maskini.
Lakini je ni mfumo gani unaotufikisha kwenye Elimu ya juu.?? Hakuna tatizo mtu kufika chuo kikuu hata kama alipata zero form four. Tatizo ni je amefikaje? Kama alipata zero kisha akareseat akaweza kufanya vizuri, then akaenda form five na six na hatimaye chuo kikuu, hatuwezi kumhukumu kwa matokeo yake ya kwanza ya division zero.
Kwahiyo watu wanahoji je, Jesca alireseat akapata credit na kwenda form five, au aliamua kutumia alternative ya kupitia certificate then Diploma then Degree? Zote ni njia halali. Na kama alitumia mojawapo kati ya njia hizi mbili hakuna tatizo, ili mradi ieleweke kuwa amepitaje.
Kwahiyo watu hawahoji Jesca kusoma degree Chuo Kikuu. Watu wanahoji amefikaje second year? Muda aliomaliza form four hadi sasa haureflect yeye kuwa second year.
Jesca alimaliza form four mwaka 2011, na matokeo yakatoka 2012. Kama aliamua kureseat basi alireseat mwaka 2012. Then form five 2013/14 na form six 2014/15. Halafu first year 2015/16. That means alitakiwa kwa sasa awe first year. Lakini yupo 2nd year anaingia 3rd year.
Or kama aliamua kutumia option ya Certificate basi alipaswa kusoma Certificate mwaka 2012/13. Then Diploma one 2013/14, na Diploma two 2014/2015. Halafu first year Bachelor 2015/16. That means alitakiwa kuwa first year kwa sasa. Lakini yuko 2nd year, anaingia third year. Swali je, Amefikaje?
Hili ndio swali la msingi ambalo vijana wa CCM hawataki kabisa kulijibu badala yake wanawatoa watu kwenye hoja kwa kufanya "personal attack"
Wazungu husema namba hazidanganyi. Sasa hebu piga mahesabu kuanzia 2011 hadi leo uone Jesca alipaswa kuwa mwaka wa ngapi?
Form four 2011
Kureseat 2012
Form five 2013/14
Form six 2014/15.
First year 2015/16
Means alipaswa kuwa firstvyear kwa sasa, but now yuko second year. Mathematical inbalance.
Or kama alianzia Certificate basi ilipaswa kuwa hivi,
Certificate 2012/13,
Diploma one 2013/14,
Diploma two 2014/15,
First Year 2015/16.
So alipaswa kuwa 1st year now, but yuko second year anaingia 3rd year. Another mathematical inbalance.
Je alisoma form five huku anareseat form four? Mfumo huu wa kusoma form five huku unareseat form four ulishaondoewa na NECTA tangu mwaka 2011. Je yeye kafikaje 2nd year wakati kwa utaratibu alipaswa awe 1st year kwa sasa. Hilo ndio swali la msingi.
Hoja si Jesca kufika chuo kikuu licha ya kupata division four. Hoja ni amefikaje?? Na kuna kina Jesca wangapi wamepita kwa utaratibu kama wake? Je serikali ina mpango gani nao, wakati huu MheRais wetu mpendwa anapojitahidi kuboresha ubora wa Elimu nchini? Ni vizuri vijana wa CCM wakajibu maswali haya kwa mnyambuliko unaoeleweka badala ya kukimbilia kufanya personal attacks.!
Malisa G.J