Propaganda vs facts!

Propaganda vs facts!

Nilifikiri unakanusha kwa kutoa matokeo yako hadharani kumbe mkuki kwa nguruwe?
Upumbavu mliouleta dhidi ya huyu binti umekwisha tolewa majibu humu jamvini na yamekidhi. Kuyakubari hamlazimishwi kwani hayo ndiyo majibu mujarabu kwa hoja hii.Tunajua mtakubali akijiunga na chama chenu mtaunadi ukipanga wake kama mnavyomnadi Lowasa sasa wakati akiwa ccm mligoma kuambiwa kuwa hausiki na ufisadi. Kwa kuwa mnajulikana mnaachwa kama mlivyo.
Hoja hii ilijibiwa si kwa sababu ya kuwaridhaisha chadema. Abadani, hoja hii ilijibiwa ili kuufahamisha waungwana wa Tanzania kuwa binti huyu kapita katika mfumo halali na anastahili kuwa hapo na mtu mwingine yeyote mwenye sifa hizo anaweza kufuata mfumo huo. Watanzania wameelewa.
Povu limekitoka umebakia kutoa matusi tu mdio kawaida ya lumumba mkishidwa hoja
 
Nilifikiri unakanusha kwa kutoa matokeo yako hadharani kumbe mkuki kwa nguruwe?
Upumbavu mliouleta dhidi ya huyu binti umekwisha tolewa majibu humu jamvini na yamekidhi. Kuyakubari hamlazimishwi kwani hayo ndiyo majibu mujarabu kwa hoja hii.Tunajua mtakubali akijiunga na chama chenu mtaunadi ukipanga wake kama mnavyomnadi Lowasa sasa wakati akiwa ccm mligoma kuambiwa kuwa hausiki na ufisadi. Kwa kuwa mnajulikana mnaachwa kama mlivyo.
Hoja hii ilijibiwa si kwa sababu ya kuwaridhaisha chadema. Abadani, hoja hii ilijibiwa ili kuufahamisha waungwana wa Tanzania kuwa binti huyu kapita katika mfumo halali na anastahili kuwa hapo na mtu mwingine yeyote mwenye sifa hizo anaweza kufuata mfumo huo. Watanzania wameelewa.
Ushabiki ni sumu
 
Kwanza mimi naomba nihakikishiwe huyu binti ni mtoto Rais John Pombe Magufuli au ni yale yale ya watu kutafuta majina yanayofanana na kuyafanya ya wengine kama ilivyofanyika kwako kwa kubatizwa Godlisten Malisa wa Minaki Shule ya Sekondari?

Kama ni kweli huyu binti ni mtoto wa Rais huyu aliyeko madarakani sasa, basi hakuna lugha nyingine zaidi ya kumwelezea zaidi ya kusema Rais amechafuka kwa kashfa hii.

He must get out na ajieleze mbele ya umma kwa sababu linaigusa familia yake moja kwa moja.

Kwa hili pekee atakuwa amekosa moral authority ya kuita watoto wa watu wengine "VILAZA" kumbe vilaza wako ndani ya familia yake mwenyewe na si ajabu huyu binti ana mkopo wa elimu ya juu, pesa za serikali kwa 100%!!!
 
Malisa weka matokeo yako hapa kukanusha kuwa wewe sio kilaza, kuacha kuweka itaendelea kuonekana ni muendelezo wa propaganda2.
 
Nilifikiri unakanusha kwa kutoa matokeo yako hadharani kumbe mkuki kwa nguruwe?
Upumbavu mliouleta dhidi ya huyu binti umekwisha tolewa majibu humu jamvini na yamekidhi. Kuyakubari hamlazimishwi kwani hayo ndiyo majibu mujarabu kwa hoja hii.Tunajua mtakubali akijiunga na chama chenu mtaunadi ukipanga wake kama mnavyomnadi Lowasa sasa wakati akiwa ccm mligoma kuambiwa kuwa hausiki na ufisadi. Kwa kuwa mnajulikana mnaachwa kama mlivyo.
Hoja hii ilijibiwa si kwa sababu ya kuwaridhaisha chadema. Abadani, hoja hii ilijibiwa ili kuufahamisha waungwana wa Tanzania kuwa binti huyu kapita katika mfumo halali na anastahili kuwa hapo na mtu mwingine yeyote mwenye sifa hizo anaweza kufuata mfumo huo. Watanzania wameelewa.
Naomba ujibu hili swali Mtoto wa Magufuli sijui alifikaje Chuo Kikuu?
 
Pole sana wapi au taarifa inakwambia miaka 3 hiyo alikuwa anafanya nn mtaan na vipi swala kurisit Pia Dr mwaka 2011 matokeo yalikuwa ni kwa njia ya namba so kama vipi aliyekupa hiyo taarifa mwambie akupe namba ya mtihani
Majina ilikuwa mwisho nadhan 2009

Hayo uonayo ni mchezo wa picha lakin haina ushahid qa kutisha kama kuonesha namba ya mtahiniwa
 
Malisa weka matokeo yako hapa kukanusha kuwa wewe sio kilaza, kuacha kuweka itaendelea kuonekana ni muendelezo wa propaganda2.
Usihamishe magoli taifa linajiuliza jesca amefikaje udom ilhali wenye sifa zaidi yake wamefukuzwa.
 
Nilifikiri unakanusha kwa kutoa matokeo yako hadharani kumbe mkuki kwa nguruwe?
Upumbavu mliouleta dhidi ya huyu binti umekwisha tolewa majibu humu jamvini na yamekidhi. Kuyakubari hamlazimishwi kwani hayo ndiyo majibu mujarabu kwa hoja hii.Tunajua mtakubali akijiunga na chama chenu mtaunadi ukipanga wake kama mnavyomnadi Lowasa sasa wakati akiwa ccm mligoma kuambiwa kuwa hausiki na ufisadi. Kwa kuwa mnajulikana mnaachwa kama mlivyo.
Hoja hii ilijibiwa si kwa sababu ya kuwaridhaisha chadema. Abadani, hoja hii ilijibiwa ili kuufahamisha waungwana wa Tanzania kuwa binti huyu kapita katika mfumo halali na anastahili kuwa hapo na mtu mwingine yeyote mwenye sifa hizo anaweza kufuata mfumo huo. Watanzania wameelewa.
Tulia dawa iingie we Kilaza wa CCM.
 
Back
Top Bottom