Propaganda vs facts!

Hapa inawezekana mama alicheza mchezo fulani wakati mzee akiwa anakariri kilometer za barabara
 
Mkuu samahani ingawa huo mfumo wa ku-reseat huku unasoma form five uliondolewa... je mfumo wa kusoma form V & VI kwa mwaka mmoja nao uliondolewa?
Kwa ukilaza wa jesca hawezi kusoma five na six mwaka mmoja na akafaulu
 
Pole ndugu yangu, maelezo yako ni safi. Lakini hao wao waliojaribu kukuchimba, wasingepoteza muda wao kama wangejua kuwa hata kama nawe ungekuwa ulipata div 4/0, zigo la Baba Jesca lisingepata unafuu wowote.
 
Hongera sana malisa kwa ufafanuzi wako..ila kuna shaka kidogo.mbona hamtaki kujishughulisha kujua ni wapi alikuwa jesca baada ya matokeo ya O level?tuamini kwamba alikaa nyumbani tu kisha akaibukia UDOM!!!kuna malisa mwingine ameonekana ana div 4..nawe wasema si wewe. Je hili haliwezi kutokea kwa jesca pia?mwisho nimejaribu kutafuta matokeo yako majengo sec sijayaona!kama hutajali hebu tuwekee hapa jamvini..lkn kimsingi nikubaliane nawe kwamba kuna haja ya kupitia upya mfumo wa elimu yetu.
 
Huwezi ukajustify hilo la Jesca. Mtajaribu sana kutetea ila ukweli unabaki palepale. 2011 umemaliza form 4 matokea yanatoka 2012 ila anaingia mwaka wa tatu chuo kikuu! Mmmmmh
Hivi ujiulizi kati ya 2011 mpaka oktoba 2014 alikuwa anafanya nini na alikuwa wapi? Kwanini asidahiliwe kuchukuwa shahada mwaka 2012?
Wewe hujaniambia kama umeangalia hicho kupindi cha Kipima Joto cha ITV ukasikia alichokisema Prof Mkumbo, nafikiri ni taahira pekee ndiye atabaki anaulizia uhalali wa binti huyu kuwa hapo alipo.
 
mimimkwa maoni yangu naona mwenye uwezo
mimi naona mwenye uwezo wa kujibu Jesca alifikaje chuo kikuu ni baba Jesca hao wengine wanaccm wanaokuibu wanajipendekeza tu,
 
Samahani mkuu! Pamoja na majibu yako mazuri, naomba niunganishe na uzi ulioweka hoja na maelezo ya kufafanua hatua alizopitia Jesca hadi kufika chuo kikuu!

Kaka.
 
Propaganda is not necessarily non-facts. Propaganda inaweza kuwa based on facts. Strictly speaking, propaganda is not about telling lies. It is about biased communication, exaggeration and such things. Unafanya propaganda kwa kuwa unataka watu wawe na mtizamo flani kuhusiana na jambo flani. Unaweza kufanya hivyo kwa kutumia taarifa za kweli au za uongo. Pale ambapo taarifa za kweli hazipo, watu hutunga taarifa za uwongo na kuzitumia katika mradi wao wa propaganda. Kwa mfano, matokeo yaliyoonesha kuwa Malisa alipata Div IV huko Minaki yangekuwa kweli, unapoyachambua na kuyawekea chumvi ili kufanya watu wawe na mtizamo flani kuhusu Malisa, hiyo ni propaganda. That said, the heading Propaganda vs Facts is misleading because it reduces propaganda into the category of non-facts.
 
Malisa wewe ni kilaza, tunakujua. weka matokeo yako, form iv ulidunda husilete story za hoooo kama unahushaidi nenda mahakamani, husijisafishe wewe kilaza
 
Kama baba yake hakuwa na habari juu ya elimu ya mtoto wake tumweke kundi gani?
(i) baba aliyeitelekeza familia au
(ii) baba asie ijali familia yake?
 
Samahani mkuu! Pamoja na majibu yako mazuri, naomba niunganishe na uzi ulioweka hoja na maelezo ya kufafanua hatua alizopitia Jesca hadi kufika chuo kikuu!

Kaka.
Kama nimekuelewa, hata huko nimechangia sana toka siku uzi huu umewekwa na nlieleweka na ndio maana nimehitimisha katika uzi huu.
 
MKUU UMESHUKA VYEMA SANA, NJOO HAPA UNIPE MAJIBU.

Kwanza Umeongea Kwa Mtiririko Mzuri Sana Na Umeeleweka Lakn Kuna Kitu Hujakigusa Kabisa Na Unakijua Wazi Kwmb Hujakigusa Ila Kwasababu Unajua Propaganda Umewaacha Wengi Solemba Kuamini Unachochuzungumza Ambacho Chaweza Kuwa Kweli
Au Urongo


a). Umeanza Kusema Hiyo Shule Walosema Umesoma Si Kweli. Ukakiri Umesoma Majengo Sec


b). Ukasema Kwmb, Matokeo Yaliyopo Mitandaoni Fb, Insta, Jf, ect Sio Yako, Na Ukakiri Tena Ulipata Daraja La Kwnza.


Mimi Sitashuka Kama Ulivyoshuka Lakn Nahitaji Ujibu Haya Maswali Ili Twende Sawa.

MASWALI.
1. Wewe Na Jesca, Nani Anayewajua Ninyi Tofauti Na Wazazi Wenu?!.


2. Awali Sisi Tuliamini Shule Na Matokeo Yalotupiwa Mitandaoni Ni Yako Lakn Baada Ya Kuja Na Hoja Sasa Unataka Tusiamini Tuloambiwa Na Badala Yake Tuamini Maneno Yako.
So Iweje Wewe Unamsemea Jesca Matokeo Alopata Na Kutaka Kutuaminisha Ingali Wewe Umekana Matokeo Na Shule Ulosoma?!.


3. Je Naye Jesca Akija Hapa Na Kusema Unaeleza Uongo Kisha Akaja Na Mtiririko Wa Maneno Kama Ulokujanayo, Nyote Tuwaite Waongo Au Mnatuzuga?!.



4. Kwanini Wewe Malisa Usikane Yako Na Kuyaacha Ya Jesca Ambayo Yanaweza Kupotoshwa Kama Yako Yalivyopotoshwa?!.


5. a).Hao Waloleta Matokeo Yako Wanakujua Wewe Kwa Kiasi Gani?


b). Wewe Unayeeleza Matokeo Ya Jesca Unamjua Kwa Kiasi Gani?!.


6. Kwa Jamii Isokupenda Ikakuchafua, Sisi Tuliamini Kwmb Wewe Ulipata Zero Form4, Na Pengine Hata Shule Hukumaliza
, Je. . . ! Wewe Utatuaminishaje Kwmb Jesca Alimaliza Shule 2011 Na Si Mwaka 1992?.


7. Matokeo Ya Form4 Kuanzia 2011 Yalikuwa Yanatoka Kwa Namba Na Si Majina, Je Yale Matokeo Yalorushwa Mitandaoni Mbona Yanaonyesha Jina La Jesca?!.

Naomba Unijibu Hayo Maswali Lakn Haya Maswali Yasingekuwepo Kama Tu Ungeongelea Yako Na Kuacha Ya Jesca.
 
Ukianza Vizuuuri Ukamaliza Vibaya Mkuu.
 
Napenda Sana Hoja Kama Jamaa Alivyoiketa.
Umehoji Vyema Sana
 
Mwisho wa kutoa majina ulikuwa 2011. Mwaka 2012 ndio ulioleta matokeo ya kushtusha ambayo yakawa reversed.
No Si 2011 Mkuu Ni Nyuma Ya Hapo Coz 2008 Yalitoka Na Majina Baada Ya Hapo Hakukuwa Tena Na Majina. Nakumbuka Sana Hiyo Kitu
 
Nimefurahi Ulivyohoji Mkuu Japo Ukweli Anaomwenyewe Coz Hajaweka Wazi Mambo Mengi Kuhusu Kupinga Matokeo Na Shule
 
No Si 2011 Mkuu Ni Nyuma Ya Hapo Coz 2008 Yalitoka Na Majina Baada Ya Hapo Hakukuwa Tena Na Majina. Nakumbuka Sana Hiyo Kitu
Lets agree to disagree. Jaribu ku access waliofanya mitihani 2012 na majibu yakatoka 2013.
 
Elimu kuingiliwa na siasa,ambazo humkandamiza aliye chini na kumtetea aliye juu ndo picha inayo onyeshwa Tz.Kama kilaza aliye wazidi vilaza anatetewa bila hata haibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…