Propaganda Machines - "Tuna-test Mitambo"

Red Indians walikuwa wanakula watoto wadogo ? Chat imeletwa na Imani ? Civilization ililetwa na Dini ? Kabla ya wakoloni kutia mguu eneo hili la Afrika mashariki watu walikuwa hawaishi katika familia, koo na Chief-doms tofauti ?

Kumbuka hapa sisemi hiki au kile kibaya nataka tu kukufahamisha kwamba any extremism ni mbaya na Islam / Christianity their all two sides of the same coin...
******************************************​
For over a century, Native American children were subjected to widespread atrocities in federally-funded and church-run boarding schools across the United States and Canada. The explicit goal was forced cultural assimilation, encapsulated by the phrase: "Kill the Indian in him, and save the man".
Abuses and atrocities at these institutions were systematic and severe:

Both U.S. federal government and various Christian denominations, including the Catholic Church, were directly involved in operating and funding these schools. Many religious institutions and government officials have since acknowledged their roles and offered apologies, with some ongoing efforts toward truth and healing.

kama ni kweli tungekuwa na culture superior na yenye cibilization iliyosimama tusingetawaliwa, period!

kuna sababu kwa nini ni ethiopia peke yake ndiyo haikutawaliwa kwa maana walikuwa na civilization tayari, Kanisa la ethiopia orthodox church ni moja kati ya the oldest in the world, walidevelop writting system yao wenyewe, wana kalenda yao, walijenga cities etc
 
kama ni kweli tungekuwa na culture superior na yenye civilization iliyosimama tusingetawaliwa, period!

kuna sababu kwa nini ni ethiopia peke yake ndiyo haikutawaliwa kwa maana walikuwa na civilization tayari, Kanisa la ethiopia orthodox church ni moja kati ya the oldest in the world, walidevelop writting system yao wenyewe, wana kalenda yao, walijenga cities etc
 
Nyerere na ujamaa wake alikua muislam?.. USSR ilikua ya kiislam?..nyi walokole mna shida sana

Nyerere hakuwa communist, Nyerere alikuwa Christian mzuri sana tu, tulisali naye kila jumapili Kanisa la Mt. Peter.

ila Karume wa zanzibar, A.Babu na wengineo wote walikuwa core communists …
 
kama ni kweli tungekuwa na culture superior na yenye cibilization iliyosimama tusingetawaliwa, period!

kuna sababu kwa nini ni ethiopia peke yake ndiyo haikutawaliwa kwa maana walikuwa na civilization tayari, Kanisa la ethiopia orthodox church ni moja kati ya the oldest in the world, walidevelop writting system yao wenyewe, wana kalenda yao, walijenga cities etc
Colonizing others, barbarism ni acts za uncivilized , Unajua Civilization ilianzia wapi ?, Unajua kwamba Africa (Egypt ni moja ya Earliest Civilisation)? There is a reason kwanini Britain ilizunguka kutafuta empires sababu ni kisiwa na hawakuwa na resources kama sehemu nyingine...

Unajua christianity ilianza lini na kama tukifuata maisha enzi za Kristo hata utumwa ungekuwa kosher - ila we are above that na kuna vitu kwenye those era, sasa hivi tumeviweka kando..

Tatizo la Stagnation ya Afrika sasa hivi sio tu marginalization bali tunahitaji emancipation from mental slavery - If you think you cant, then you wont;

Leo hii tunawapa bandari wengine kwamba hatuwezi, bora waliosema madini hayaozi bora tuyaache wanaokuja wakishapa akili watanufaika nayo - Waliosema hivyo hawakujua kwamba huenda tunazidi kuwa wapuuzi....; Alafu eti tunapigani Mchina anachukua kazi zetu za Uchuuzi.....

Kwenye kitabu chake cha Mein Kampf, Hitler ametaja communists zaidi au kataja Jews?

Kwenye kutafuta Final Solution, Reinhard Reydrich alitoa solution dhidi ya Communists au Jews?

Hitler alikuwa na uadui hata na Britain na USA, hao USSR alianza kusaini nao Molotov-Ribbentrop Pact kabla hajaanzisha WW2 wakati Jews alianzisha concentration camps.

hauelewi historia ya communism
labda, walioanzisha na waliokuwa wansambaza communism ni hao hao, kasome (kama bado) jinsi communist walivyopondus Christian russia chini ya Tsar na kuweka communism, lenin alitokea wapi? lenin alikuwa anaishi western europe ndiko idea ilikoanzia na funding yote iliyoangusha tsar.

lenin alisafiri kwa treni kutokea europe kwenda russia …
 
Colonizing others, barbarism ni acts za uncivilized , Unajua Civilization ilianzia wapi ?, Unajua kwamba Africa (Egypt ni moja ya Earliest Civilisation)? There is a reason kwanini Britain ilizunguka kutafuta empires sababu ni kisiwa na hawakuwa na resources kama sehemu nyingine...

Unajua christianity ilianza lini na kama tukifuata maisha enzi za Kristo hata utumwa ungekuwa kosher - ila we are above that na kuna vitu kwenye those era, sasa hivi tumeviweka kando..

Tatizo la Stagnation ya Afrika sasa hivi sio tu marginalization bali tunahitaji emancipation from mental slavery - If you think you cant, then you wont;

Leo hii tunawapa bandari wengine kwamba hatuwezi, bora waliosema madini hayaozi bora tuyaache wanaokuja wakishapa akili watanufaika nayo - Waliosema hivyo hawakujua kwamba huenda tunazidi kuwa wapuuzi....; Alafu eti tunapigani Mchina anachukua kazi zetu za Uchuuzi.....

wanaogawa bandari ni muslims, be clear on that, isitoshe hilo unalosema haliwezekani kwenye jamii yenye muslims wengi kwani muslims hawatambui “nation” idea ya nation ni western Christian, muslims wanatambua “umma” maana yake ni kwamba muslim yoyote yule duniani ni ndugu yake kiimani na anastahili privilleges zote before anyone else, na ndiyo maana wamegawa bandari kwa foreigners au kufukuza masai kwenye ardhi yao kupisha uwindaji, and guess nani amepewa?

hivyo hauwezi kufanikiwa kwenye quest yako ya empowerment of the people kwa maana una wrong society …
 
Nyerere hakuwa communist, Nyerere alikuwa Christian mzuri sana tu, tulisali naye kila jumapili Kanisa la Mt. Peter.

ila Karume wa zanzibar, A.Babu na wengineo wote walikuwa core communists …
This is neither here nor there; na practically hakuna nchi ambazo ni 100 percent communists, socialists au capitalists - zote ni mixed economies ambazo kulingana na mazingira yao zinaweza zikafanikiwa au zisifanikiwe na kama kuna extremism (that is never a good sign)

Na Imani / Dini ya Nyerere personally, inahusu vipi Taifa ambalo halina Dini ? - If Anything ambacho ninaunga mkono Nyerere ni kimoja na hicho ni kwamba Taifa letu halina Dini ingawa lina wananchi wenye Dini / Imani tofauti; kuanza kuongelea imani za watu ni kutoka kwenye reli....

Nyerere hakuwa communist, Nyerere alikuwa Christian mzuri sana tu, tulisali naye kila jumapili Kanisa la Mt. Peter.
Azimio la Arusha linahusu nini na ni la nani?
ila Karume wa zanzibar, A.Babu na wengineo wote walikuwa core communists …
Karume hakua mjamaa,Babu ndiyo mjamaa,na ndiye sababu ya marekani na uingereza kumtaka nyerere aungane na Zanzibar wakihofia itakua Cuba ya afrika
 
Azimio la Arusha linahusu nini na ni la nani?

Karume hakua mjamaa,Babu ndiyo mjamaa,na ndiye sababu ya marekani na uingereza kumtaka nyerere aungane na Zanzibar wakihofia itakua Cuba ya afrika

wakati wa Nyerere kulikuwa na socialism na siyo communism, kwani bado kulikuwa na private companies, communism hairuhusu private ownership …
 
Communism ni nini na socialism ni nini?.. communism ni highest stage of socialism,ukisema socialism siyo communism ni sawa na kusema wachezaji wa Serengeti boys si wacheza mpira bali wa taifa stars ndiyo wacheza mpira
Nyerere ana kitabu chake 'ujamaa',chama tawala china kinaitwa ccp,Chinese communist party(chama cha kijamaa china)
 
kuna tofauti kubwa tu, tofauti kuu kati ya Capitalism, socialism vs communism ni private ownership, kwenye communism hauruhusiwi kumiliki chochote wakati capitalism unaruhusiwa kumiliki kila ulichonacho, hiyo ndiyo tofauti kuu, iko kwenye private ownership.

ndiyo maana ulaya mpaka leo kuna vyama vingi tu vinaongoza serikali au vikuu vya upinzani vinabeba neno socialist party, unaweza kusema socialism ni capitalism light wakati communism ni another level kabisa ni antichrist, anti freedom, no democracy, no elections, hakuna upward mobility ya watu ukizaliwa daraja la chini unafia huko, corruption, no accountability, nchi inaongozwa na kumilikiwa na politburo na familia zao wanarithishana vyeo na kutumua nguvu kubwa kulinda power walio nayo ili waendelee kukandamiza wengine, do you see the pattern …
 
kuna tofauti kubwa tu, tofauti kuu kati ya Capitalism, socialism vs communism ni private ownership, kwenye communism hauruhusiwi kumiliki chochote wakati capitalism unaruhusiwi kumiliki kila ulichonacho, hiyo ndiyo tofauti kuu, kwenye private ownership.

ndiyo maana ulaya mpaka leo kuna vyama vingi tu vinaongoza serikali au vikuu vya upinzani vinabeba neno socialist party, unaweza kusema socialism ni capitalism light wakati communism ni another level …
Siyo kweli, socialism na communism ni pombe zenye viwango tofauti vya ulevi vinavyokaribiana, wakati capitalism ni kitu tofauti kabisa,ni opposite, nyerere aliruhusu wageni(watz wenye asili ya nje)wachache kumiliki biashara,huku weusi akiwazuwia
Aliowaruhusu walikua vipenyo kama juma Thomas zangira jasusi aliyemilikishwa tour agency akasaliti,na hao akina mzee wa ubwabwa waliouza magari tangu siku hizo
Uchumi ulikua centralized, ndiyo maana serikali ilimiliki maduka ya mtaani kupitia mabalozi wa nyumba kumi
 
mimi nimekupa tofauti kati ya communism vs socialism, capitalism hayo mengine ni uelewa wako tu, iko well established na kuna literature ya kutosha tu unaweza kujielimisha kama ukipenda …
 
Socialism ya nyerere haikua na demokrasia,njia kuu za uchumi zilishikwa na serikali,hapakua na matabaka kwa watz almost maisha yalikua sawa,hata Soviet waliofikia kiwango kikuu cha communism,watu walimiliki nyumba kama tu hapa na nyumba zetu za udongo na nyadi nakilimo cha kujikimu
 
Nimejikuta nakumbuka qoute ya 2Pac kwenye Only God can Judge Me.....
[]"And they Say it's the White Man I should Fear, but it's my Own Kind doing all the Killing Here"[/]
Unasikia mabeberu mabeberu kuna beberu hata mmoja alieshika bunduki kuua watu siku ile?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom