Propaganda Machines - "Tuna-test Mitambo"

hauelewi historia ya communism
labda, walioanzisha na waliokuwa wansambaza communism ni hao hao
Hao hao kina nani, Adolf Hitler?.
Communism greatest contributor wake alikuwa Karl Marx na alikufa 1883, Nazism imeanzishwa 1933 na Adolf Hitler.
kasome (kama bado) jinsi communist walivyopondus Christian russia chini ya Tsar na kuweka communism, lenin alitokea wapi? lenin alikuwa anaishi western europe ndiko idea ilikoanzia na funding yote iliyoangusha tsar.
Tsar aliangushwa na Bolshevik Revolution, na Ulaya kulikuwepo Bolshevism?

Kwamba UAE kisa inawapa silaha RSF wa Sudan waue na kuchinja raia huku wakipigana na vikosi vya jeshi la Sudan, basi na kule UAE kuna waasi wanaochinja raia na kupigana na serikali?

Russian Empire ilikuwa vitani na Germany, ndio maana kina Lev Kamenev na Vladimir Lenin walikwenda exile uko Ujerumani wakati wanapingana na Tsar. Ujerumani iliwaunga mkono ili kumdhoofisha Tsar na kuleta civil war ndani ya Russia asiwe na ambition dhidi yao, mwanzo kabisa Russia ilijiondoa WW1 ikaacha kupigana na Ujerumani ikaenda kupambana na hali ya nyumbani.

Hakuna kitu kama hicho eti Ujerumani ilikuwa inapenda Socialism.
Baadae utakuja useme Marekani ilikuwa inapenda Chinese Communism kisa iliisaidia teknolojia ya kuunda silaha pale China ilipokuwa na mgogoro na Urusi na wakapigana kidogo mpakani.
Wakati USSR hiyohiyo ilipovamiwa na Nazi Germany, Marekani ilitoa Lend Lease na hapo hapo ikatoa Lend Lease kwa Ufaransa, China na Uingereza. Sasa hapo Marekani utasema ilipenda Democracy, Socialism, Communism kwa wakati mmoja?

Wewe agenda ya adui wa adui yangu ni rafiki yangu kimataifa huielewi.
lenin alisafiri kwa treni kutokea europe kwenda russia …
Hitler alisafirisha Wayahudi kwa treni kuwatoa Poland, Germany, France, Austria na akawaweka concentration camps. Hakusafirisha Warusi.

Kwanza umesoma kitabu cha Hitler, Mein Kampf?

Narudia kukueleza hivi, Hitler na Lenin walisaini Non-aggression Pact inaitwa Molotov-Ribbentrop Pact. Picha hii hapa mwaka 1939, anayesaini ni Vyacheslav Molotov (Waziri wa Mambo ya Nje wa Soviet Union), mwenye leso nyeupe ni Joachim von Ribbentrop (Waziri wa Mambo ya Nje wa Nazi Germany), Stalin unamuona hapo anachekelea akiwa na masharubu yake, nadra kumuona anacheka.
023d73cb-863d-465c-9e78-4663868da50f_w1080_r0_s.jpg

Unapata wapi kusema hawa ni maadui wa Hitler wakati mwaka huohuo wote wameanzisha vita wakaipiga Poland kwa pamoja, upande wa kushoto ikapigwa na Hitler na upande wa kulia ikapigwa na Stalin. Wanatoka hapo Hitler anavamia Belgium na France huku Stalin anavamia Finland. Unasemaje walikuwa maadui zaidi ya Hitler alivyokuwa adui na Jews ambao hajawahi shirikiana nao lolote na aliwanyanyasa na walianza kuondoka nchini kama akina Albert Einstein. Mpaka baadae alipotafuta Final Solution.

Ambacho hutaki kuzingatia ni kwamba Hitler alikuwa na ego na kujiona superior race na kuamini Fascism ndio inazidi kila siasa duniani, na jeshi lake ndio linazidi kila jeshi duniani. Hivyo aliichukulia Socialism, Democracy, Communism, Nyarubanja, Mangi wa Kichaga, Mwami wa Kigoma vyote sawa na ni hovyo.

Alikuwa anadharau races zote kasoro Aryans, ila anachukia Wayahudi. Kwenye level zake za watu wa maana alianza na Aryans, wakafuata Western Caucasians, hao wengine Warusi aliwaona wakulima tu. Blacks asingewateketeza ila angewapuuzia kabisa kama hawapo. Ila Jews walikuwa ni wakumalizwa.
 
Attachments

  • 3962.jpg
    3962.jpg
    24.4 KB · Views: 5

ndio maana nasema haulewi labda historia vizuri, kwanza nazism ndiyo nini? chama cha hitler kiliitwa national socialist party na wala hakikuanzishwa na hitler, alikikuta, kama ni fascism ilianzishwa na benito mussolini wa italia na watu, national socialist party ya hitler walikopi ktk kwa benito mussolini.

adui mkubwa wa national socialist chama cha hitler ilikuwa ni communism, alifight communism na communists, mengine yote ni collateral damage …
 
"maadui wa Jamuhuri,au maadui.wa taifa letu"

Wakiichukua hii propaganda itawasaidia sana!!

"Waandamanaji ni maadui wa Jamuhuri"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom