Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 17,572
- 27,314
Kila hadithi inahitaji Villain.....; Hata Biblia ina Shetani
Nimejikuta nakumbuka qoute ya 2Pac kwenye Only God can Judge Me.....
- JPM na Mabeberu
- Hitler na Jews; n.k.
- Iwe ya Kidini kwamba ni Imani fulani ndio haitaki au inachochea kitu fulani
- Iwe ni majirani na vita vya kiuchumi
- Iwe Akili Mnemba
- Iwe wafanya fujo na wasiotakia taifa Amani - Waporaji wa mali za watu
Nimejikuta nakumbuka qoute ya 2Pac kwenye Only God can Judge Me.....
"And they Say it's the White Man I should Fear, but it's my Own Kind doing all the Killing Here"