lifecoded
JF-Expert Member
- May 9, 2018
- 1,424
- 4,325
- Thread starter
- #901
mkuu hongera sana.....Nashukuru sana kwa maelezo mazuri mtoa mada kwani elimu yako imenigusa, nami nilikuwa na jambo nataka kuongezea hapo. Mpaka sasa nashindwa kutofautisha viumbe watatu ambao wapo duniani kwa siri kubwa na wote ni extra terrestial beings ambao ni Alliens, reptilians na archons na viumbe hawa wanashirikiana na binadamu wenzetu ili kudestroy human race (fanya reserch ya doomsday vault iliyopo antarctica). Kuhusu kuwa alliens wali tu create sisi binadamu kuna utata kidogo kwani tofauti yetu sisi binadamu na alliens ni moja tu kwamba wao ni viumbe ambao wame advance sana technologically mbele yetu zaidi ya miaka elfu moja. Namanisha ya kwamba they discovered planet Earth by coincedence kama christopher columbus alivo gundua new world. Namanisha nn, namanisha hivi alliens wenyewe hawajui asili yao walitoka wapi kama sisi binadamu ambavyo hatujui reality ya asili yetu ni nini na chimbuko letu ni wapi but wote tupo kwenye safari ya evolution.
Alliens, reptilians na archons wote hawa ni viumbe ambao kwa mtazamo wangu naweza kuwaita ni majini kwani asili yao ni moja na pia hawa viumbe wanatuchukulia sisi binadamu kama chanzo chao cha chakula ( perfect food source, they feed on human enegry through creating a sense of fear in human mind through negative emotions. Kama ukiwa na hofu kwenye nafsi yako jua kuna jini lipo karibu na ww linakula mionzi yako) Chakula cha hawa alliens ni mihemko au emotions za uoga kutoka kwa wanadamu pamoja na damu. Imagine kwamba hawa alliens wamewezaje kukaa hapa duniani muda wote huo bila kuwa na chakula? Jibu ni kwamba chakula chao ni sisi binadamu fikiria kuhusu suala la allien abductions au watu kupotea na kutokuonekana tena. Ripoti nyingi za nchi za ulaya na marekani zinaonyesha kuwa watu wengi wanapotea bila kugundulika walipo na swali la kujiuliza wanaenda wapi? In short ni kwamba sisi binadamu tunauza binadamu wenzetu kwa hawa alliens in exchange with mordern technology. Mwangalie mwanasayansi wa mambo ya rocket na anga jack persons utaweza kujua kwamba binadamu tecnolojia zetu zote tunapewa na hawa alliens ambao wanaishi underground au chini ya ardhi. Hawa alliens lengo lao ni kutawala dunia na kutufanya sisi binadamu watumwa kwa kutumia technolojia. Techolojia ni silaha ambayo siku moja itakuja kutugeuka binadamu na kutumiwa na alliens ambao watachukua dunia yetu na kutumaliza wote kwa kutuua binadamu.
In short ni kwamba hawa alliens ni viumbe ambao wametuzidi kiteknolojia tuu na wanapenda kuabudiwa kama mungu au mizimu ndo mana kila ukoo unakuwa na maagano fulani au matambiko kwani mababu zetu toka zamani siri ya viumbe hawa wanaijua sana.
Kwa kumalizia ni kwamba alliens wana fanya experimentation kwa wanadamu ili waweze kufanya reproduction. Taarifa zinadai ya kwamba hawa alliens wanafanya majaribio ili waweze kupandikiza mbegu zao kwa wanawake wa kibinadamu ili kutengene species mpya ya viumbe wanaoitwa aryan race ambao watakuwa na nguvu za ziada kuliko binadamu. Wakifanikiwa na hilo its the end of humanity as we speak au kwa lugha fasaha ndo mwisho wa dunia kwani watatumaliza binadamu wote alafu watairithi dunia yetu.
*Obrigado
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kabisa kuwa hawa viumbe wapo hapa hapa duniani na inasemekana wapo underground hasa milima mikubwa...
kuna maelezo ya mtafiti mmoja alisema kuwa kuna space ship nyingi kubwa kama viwanja vya mpira zipo chini ya milima...
Ndo maan mpaka leo maelezo juu ya milimo iliyopo hayawekwi wazi ..
Na kuna underground road ( tunnel) nyingi sana ardhini zinazoconnect ship moja na nyingine hata kama umbali mmoja utakuwa nchi moja na nyingine...
Daaaah...habari hizi ni terrifying sana aise...milima mingi inalindwa kwa gharama kubwa sana...usione wazungu wanakuja kupanda kila mara ukajua wanafanya tour...
jiulize wao watoke nchi za mbali huko kuja kupanda mlima tu ...hakuna starehe kama hiyo duniani...ni moja ya least plesure kabsaa....
They always come for a purpose kabsaa sio bure...
kuna milima Tanzania kama Uluguru ambayo ina maajabu sana na hakuna maelezo yanayojitosheleza kwanini inalindwa na hakuna mtu anayeruhusiwa kupanda kule only serikali huruhusu wazungu na watafiti kupanda kule...
Kuna maajabu sana kwenye mlima ule huku idadi kubwa ya watu ikakadiliwa kupotea kila mwaka pamoja na baadhi ya ndege moja ilipita juu ya ule mlima ikapotea na hakuna taarifa zote zozote zilizoripotiwa juu ya kupotea ndege ile maeneo ya Uluguru mountains...
Kama kuna mtu atakataa na hilo basi atakuwa hana taarifa za ndani japo ilipigwa kimya kimya sana. hata watu au wakazi wa maeneo yale hasa wazee wanalijua hilo swala ila wanakwambia usizungumzie kabsaa ile ndge ilipotea mazingira ya ajabu sana...tunawaza kuongelea ngege za malaysia kumbe kuna matukio mazito huku huku kwetu ila yanapigwa kimya kimya....
Sasa swala la kujiuliza ni kwanini ndege ilipotelea anga zile na serikali ya Tz ilikaaa kimya tena taarifa zile zilizimwa gafla...
Any way naanza kuamini kweli kule chini kuna shughuli zinaendelea...
Milima ni matokeo ya kupisha nafasi ya spaceship chini huko ndo mana ardhi inabinuka kwa juu...be careful sanana hii milima imeficha mambo mengi sana..ugeni huu umekuja miaka ya zamani sana....
Kama umeme wa Kihansi unazalishwa chini ya mlima umbali wa 3km underground lakini huwezi ukaamini kabsaa ukiambiwa umeme unatoka underground kwenye mlima na huko chini kuna wafanyakazi wengi sana...just a tunnel ndo inakuongoza kuingia ndani na kusafiri umbali mrefu kama 3km ndo unayapata makazi ya mitambo ya kuzalisha umeme...hivi nani alitoa wazo hilo ?? daaah..ni akili ya binadamu au ??
Mlima Kilimanjaro una maajabu mengi sana kuna watu wanasema kuna underground tunnel inayotokezea huko Crator maalumu na hio ibabaki kuwa confidential...
Any way Naweza sema kuwa kuna spaceship zipo chini ya ardhi zina viumbe toka space za mbali na kuna communication kati ya mwanadamu na hao viumbe na mikataba inabaki kuwa siri nzito sana...
Bilogical experiments nying zinafanyika huko kwa siri sana...
Sent using Jamii Forums mobile app