Proof: Binadamu alitengenezwa na Aliens

hawajashindwa kutoa dawa bana...acha kusingizia na kufuata magazeti ya udaku...umefanya utafiti ukagundua kuwa imeshindikana...??

purpose ya ukimwi ni kupunguza watu duniani...?? ndo ulivyoambiwa...??

Unaweza ukanambia kwanini trend ya population inaongezeka kwa kasi insteady ya kupungua...?? ukimwi umeplay pary ipi hapo...¿?

acheni kufuata story za magazeti bana..population trend ya watu duniani inaongezeka kwa kasi ukilinganisha na ukimwi ulipoingia..

Sent using Jamii Forums mobile app
Hadi sasa hakuna dawa ya ukimwi duniani huo ndio ukweli,sasa hayo hawajashindwa kutengeneza hiyo dawa na uhalisia tunaona ukimwi kuendelea kusumbua,je hapo nani atakuwa anasoma udaku?
 
we jamaaa ukimwi unaendelea kusumbua wapi...kama unaongelea nchi za Africa hapo sawa...unataka watangaze kuwa dawa ipo badae nchi za ulaya zitaendesha uchumi kwa njia gani...??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natumai humu nyote ni wazima wa afya njema kabisa ,pole kwa yote lakini leo napenda kutoa mchango wangu kidogo kulingana na nilichopata kukiona au kujidhihilisha juu ya swali gumu ambalo limekosa majibu miaka nenda rudi juu ya binadamu alitoka wapi...

Sio lazima ukomaee na mealezo yangu lakini kama una imani yako baki na imani yako lakini kama unahitaji kujifunza mambo basi weka imani yako pembeni upate kujua haya..

...,,
Ndugu na hizo aliens zilitengenezwa na nani?
 
Hongera kwa thread yako kuntu mkuu, iko deep sana kwangu, hasa kwa sisi tusiowanasayansi, ila tutaendelea kuifatilia..
 
hizi zina maana kubwa sana...

usione kwanini zipo kwenye mahekalu makubwa au grand lodge mbali mbali duniani...

Hasa makanisani huko zinawekwa hizo scapture kwa lengo maalumu but reality haiko vile watu waambiavyo....

Zina maana kubwa sana ....It is the portal entrance into higher dimension state hasa kwa hao secret society members...

Take a look closely to any scapture near you ,attain maximum concetration with direct eye contact ,finally you will notice a slight change in body morphology ya hiyo scapture na hapo kama unajua kunotes mambo utajua portal exit and portal entry kupitia hiyo scapture...

View attachment 976017View attachment 976018View attachment 976019
Naishangaaa Sion kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
we jamaaa ukimwi unaendelea kusumbua wapi...kama unaongelea nchi za Africa hapo sawa...unataka watangaze kuwa dawa ipo badae nchi za ulaya zitaendesha uchumi kwa njia gani...??

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hizo story za kwamba ukimwi umetengenezwa tu iwe kwa kupunguza watu au kufaidika kwa kuuza madawa au hakuna virusi vya ukimwi hizo ARV ndio ukimwi wenyewe,hizi story nazijua ila lengo langu ni kutaka kujua tu hizi story zimekaaje kwa upande wa wenye kuamini uwepo wa hao viumbe Aliens?
 
Mwaka 1501-1504 Mchongaji maarufu wa sanamu wa kule italia Michelangelo alipewa kazi ya kuchonga sanamu ya Daudi na familia ya kitajiri ya nchini Italia katika mji wa Florence.

Kwa kuwa Michelangelo alikuwa maarufu kwa kazi hizo kitendo hicho kilivutia hisia za wengi kutaka kuona atakavyoichonga.

Kwa miaka miwili mizima alizunguka huku na kule akitafuta jiwe litakalofaa aina ya sanamu aliyotaka kuchonga. Siku moja pembeni mwa Barabara moja aliona jiwe lililokuwa limeotewa na magugu na lilikuwa na uchafu. Alipolikwangua kidogo akagundua ni jiwe aina ya Mable.

Akawaagiza vijana wake waliviringishe hadi kwenye karakana yake. Akatumia miaka miwili kulipiga nyundo na kuchonga ili kupata picha rough ya Daudi.

Kisha akatumia miaka miwili tena kulipiga msasa na kusawazisha vizuri ili kupata sanamu kamili. Yenye urefu wa mita 5 na nchi 17

Kazi ilipomalizika sanamu ile ilipelekwa kwenye Town square ( uwanda wa mji ) wa Florence ili kuzinduliwa.
Mara ilipofunguliwa watu waliokuwa wametoka kila pembe ya Italia kuja kuangalia sanamu hii walipigwa na butwaa na baadhi ya wanawake walizimia kwa ustadi iliochongwa na uzuri wake.

Baadaye walipomuuliza Michelangelo amewezaje kuchonga sanamu nzuri vile jibu lake lilinishangaza. Akasema

UKITAKA KUJUA NINI ALICHOKISEMA PAKUA APPLICATION YETU YA "Muhabarishaji || #1 source of facts" 👈👈👈👈👈
 
UKITAKA KUJUA NINI ALICHOKISEMA PAKUA APPLICATION YETU YA "Muhabarishaji || #1 source of facts"
Nenda fb mkuu utawapata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashukuru sana kwa maelezo mazuri mtoa mada kwani elimu yako imenigusa, nami nilikuwa na jambo nataka kuongezea hapo. Mpaka sasa nashindwa kutofautisha viumbe watatu ambao wapo duniani kwa siri kubwa na wote ni extra terrestial beings ambao ni Alliens, reptilians na archons na viumbe hawa wanashirikiana na binadamu wenzetu ili kudestroy human race (fanya reserch ya doomsday vault iliyopo antarctica). Kuhusu kuwa alliens wali tu create sisi binadamu kuna utata kidogo kwani tofauti yetu sisi binadamu na alliens ni moja tu kwamba wao ni viumbe ambao wame advance sana technologically mbele yetu zaidi ya miaka elfu moja. Namanisha ya kwamba they discovered planet Earth by coincedence kama christopher columbus alivo gundua new world. Namanisha nn, namanisha hivi alliens wenyewe hawajui asili yao walitoka wapi kama sisi binadamu ambavyo hatujui reality ya asili yetu ni nini na chimbuko letu ni wapi but wote tupo kwenye safari ya evolution.
Alliens, reptilians na archons wote hawa ni viumbe ambao kwa mtazamo wangu naweza kuwaita ni majini kwani asili yao ni moja na pia hawa viumbe wanatuchukulia sisi binadamu kama chanzo chao cha chakula ( perfect food source, they feed on human enegry through creating a sense of fear in human mind through negative emotions. Kama ukiwa na hofu kwenye nafsi yako jua kuna jini lipo karibu na ww linakula mionzi yako) Chakula cha hawa alliens ni mihemko au emotions za uoga kutoka kwa wanadamu pamoja na damu. Imagine kwamba hawa alliens wamewezaje kukaa hapa duniani muda wote huo bila kuwa na chakula? Jibu ni kwamba chakula chao ni sisi binadamu fikiria kuhusu suala la allien abductions au watu kupotea na kutokuonekana tena. Ripoti nyingi za nchi za ulaya na marekani zinaonyesha kuwa watu wengi wanapotea bila kugundulika walipo na swali la kujiuliza wanaenda wapi? In short ni kwamba sisi binadamu tunauza binadamu wenzetu kwa hawa alliens in exchange with mordern technology. Mwangalie mwanasayansi wa mambo ya rocket na anga jack persons utaweza kujua kwamba binadamu tecnolojia zetu zote tunapewa na hawa alliens ambao wanaishi underground au chini ya ardhi. Hawa alliens lengo lao ni kutawala dunia na kutufanya sisi binadamu watumwa kwa kutumia technolojia. Techolojia ni silaha ambayo siku moja itakuja kutugeuka binadamu na kutumiwa na alliens ambao watachukua dunia yetu na kutumaliza wote kwa kutuua binadamu.

In short ni kwamba hawa alliens ni viumbe ambao wametuzidi kiteknolojia tuu na wanapenda kuabudiwa kama mungu au mizimu ndo mana kila ukoo unakuwa na maagano fulani au matambiko kwani mababu zetu toka zamani siri ya viumbe hawa wanaijua sana.

Kwa kumalizia ni kwamba alliens wana fanya experimentation kwa wanadamu ili waweze kufanya reproduction. Taarifa zinadai ya kwamba hawa alliens wanafanya majaribio ili waweze kupandikiza mbegu zao kwa wanawake wa kibinadamu ili kutengene species mpya ya viumbe wanaoitwa aryan race ambao watakuwa na nguvu za ziada kuliko binadamu. Wakifanikiwa na hilo its the end of humanity as we speak au kwa lugha fasaha ndo mwisho wa dunia kwani watatumaliza binadamu wote alafu watairithi dunia yetu.

*Obrigado

...hivi ndivyo ilitakiwa mijadala ya jukwaa hili makini iwe sasa
...I real honour you chief,

Off topic:..kama itakupendeza naomba nijue mtazamo wako kuhusu dini na hasa hizi mbili kuhusu dunia I,e position ya Mungu wa biblia na Quran ikoje kwa mtazamo wako mkuu

Natanguliza shukrani

Asante sana Brother, Dini ni Moja ya Elimu. Nitaandaa Makala na Kuiwasilisha Hapa Muda Ukiwa Rafiki Kwetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom