Proof: Binadamu alitengenezwa na Aliens

Mm nimeisoma lakini bado sijaona hiyo "Proof" au "Evidence" kuwa tulitengenezwa na Aliens. Umeelezea tu DNA ilivyo na kuwa na non-functional genes sio ushahidi kuwa Aliens ndio wameetuumba. Kutojua non-coding genes zina kazi gani sio kwamba hazina kazi..ni kwamba bado wavumbuzi hawajajua kazi yake kwa sasa.

Na hiyo rhesus factor negative ndio Dah hamna hata uwiano na Aliens lututengeneza kwa taarifa uliyotoa.
Sasa na hizo Empire za Aliens walizopigana na kudondosha madini Duniani kuna proof gani kwenye hilo? Nani aliwaona wakipigana? alijuaje walipigana? kuna ushahidi gani kuwa hayo madini yalianguka?kwamba kumeonekana mashimo makubwa yenye madini Duniani? maana kama yalianguka kungekuwa na Impact kwenye tabia nchi ya maeneo husika kama ambavyo vimondo vinavyodondoka..

Enewei bado hapo hujaweka "Proof" kuwa tulitengenezwa na Aliens kama kichwa cha habari cha makala yako kinavyosema
Signal matrix inaonesha kutumia junk DNA ya kila mwanadamu katika Universal data base matrix ...

Uhusiano wa mind controller na Junk DNA ( Non coding Bases ) umeonesha kuwa mwanadamu ni controlled katika nyanja zote...

Sina uwezo mkubwa wa kukufanyia proof ya hilo but mfumo wako mzima wa mwili upo under gene control katika DNA yako...

Watu ambao wame hack off system ambayo inayokuwa controlled na viumbe wenye uwezo mkubwa all maarufu kama Aliens unaonesha kuwa mwanadamu yupo in use bila yeye kujua huku Trapping system ikionesha kuwa kila anachofikilia kinajulikana somewhere kwa kutumia hizo Signals ambazo zinakuwa trapped kupitia Junk bases zetu kwenye DNA..

Ndo mana wataaalumu wa mambo ya molecular analysis wanakwambia kuwa Hizo junk ( non -coding bases) kwenye DNA yetu hazisave for nothing only connecting human being na Universal data base inayotrap kila mmoja wetu kwenye system inayotucontrol...

Kitu kingine kinachosapoti hiyo kitu ni sisi binadamu kuwa connected kila mmoja wetu indirectly...

We are connected each other mindly and all other aspects za mwanadamu.

If somebody is affected mindly,effects hiyo huendelea kuaffect hata mtu mwingine and finally inakuwa imeaffect watu wote..
Ni ngumu sana kuliprove hilo kwa sababu tupo subjected kwenye illusion kubwa sana...only Neural scientists can prove for you kuwa we aee mindly connected each other ...

We are synchronized with the matrix sytem interms of electromagnetic kiasi kwamba kutrap hiyo system you need to understand your blueprint ( DNA ) system kwanza...

Study moja ilifanyika huko michigan ambayo ilihusisha kuharibu Mind ya mwanadamu kwa kutumia mionzi iliyokuwa inatolewa na mashine moja...na madhara yalikuwa ni kwamba kadri neurones za mwanadamu zilivyokuwa zinachange( haribika) walikuwa wanaangalia pia effetcs kwenye mind nyingine ya mwanadamu ambaye alikuwa hajaconnectowa kwenyr mashine ile na conclusion ilikuwa ni kwamba we are connected each other ...

Electromagnetic effects kwenye DNA ya mwanadamu inaaffects zaidi Junk bases( Exon) ambazo kimsingi ndo zinacontrol Intron ( coding bases) zingine ambazo kazi zake zinajulikana..huku

Kwa hiyo conclusion iliyofikiwa ni kwamba ,we human being are controlled kupitia mfumo wa bases ambazo ndo zinatoa signal kwenda kwenye system link nyingine ambayo ina uwezo wa kuharibu mfumo mzima wa DNA bases zingine zaidi...

Thus why they control human mind through electromagnetic waves pamoja na njia nyingine ambazo zitamconnect mwanadamu kwenye system ya mfumo mzima wa DNA yake na system nyingine...

Kwa hiyo JUNK SYSTEM BASES ndo zinatoa signal ya kucontrol DNA nzima ya mwanadamu...

We are nothing at all only our DNA( blueprint) ndo inayotupa concious ya kuja kinachoendelea..tukiizimisha hiyo basi hata wewe hutajua kama upo dunia hii...

Asije akakuambia mtu hata siku moja kuwa hizo junk bases hazijulikani kazi zake...hapana..big no madameeee nakukatakia kabisa kwa moyo wote...
DNA scanning ilishagafanyika kitambo sana kubaini kila aina ya genes kwenye mfumo wako wa DNA na kuna kila cell yako moja ina zaidi ya 25,000 ...Leo hii tusingeweza kudetect abnormal genes zinazosababisha magonjwa kama DM ,sickle cell disease na Syndromes kibao kama Down syndrom, Turner's syndrome,Edward's sydrome n.k


So Junk bases zinajulikana kazi yake ambazo zinaonekana kutuconnect sisi wote kwenye universal data base ya utambuzi wa kila kiumbe hence kuwa easy controlled..

Ndo mana mpaka leo kuwaona wale beings( Aliens) inakuwa ngumu kwa sababu there is no need for them to reveal to us coz they control and see us through the signals trapped through the non coding bases za kila mmoja wetu...



Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu hongera sana.....

Ni kweli kabisa kuwa hawa viumbe wapo hapa hapa duniani na inasemekana wapo underground hasa milima mikubwa...

kuna maelezo ya mtafiti mmoja alisema kuwa kuna space ship nyingi kubwa kama viwanja vya mpira zipo chini ya milima...

Ndo maan mpaka leo maelezo juu ya milimo iliyopo hayawekwi wazi ..

Na kuna underground road ( tunnel) nyingi sana ardhini zinazoconnect ship moja na nyingine hata kama umbali mmoja utakuwa nchi moja na nyingine...

Daaaah...habari hizi ni terrifying sana aise...milima mingi inalindwa kwa gharama kubwa sana...usione wazungu wanakuja kupanda kila mara ukajua wanafanya tour...

jiulize wao watoke nchi za mbali huko kuja kupanda mlima tu ...hakuna starehe kama hiyo duniani...ni moja ya least plesure kabsaa....

They always come for a purpose kabsaa sio bure...

kuna milima Tanzania kama Uluguru ambayo ina maajabu sana na hakuna maelezo yanayojitosheleza kwanini inalindwa na hakuna mtu anayeruhusiwa kupanda kule only serikali huruhusu wazungu na watafiti kupanda kule...

Kuna maajabu sana kwenye mlima ule huku idadi kubwa ya watu ikakadiliwa kupotea kila mwaka pamoja na baadhi ya ndege moja ilipita juu ya ule mlima ikapotea na hakuna taarifa zote zozote zilizoripotiwa juu ya kupotea ndege ile maeneo ya Uluguru mountains...


Kama kuna mtu atakataa na hilo basi atakuwa hana taarifa za ndani japo ilipigwa kimya kimya sana. hata watu au wakazi wa maeneo yale hasa wazee wanalijua hilo swala ila wanakwambia usizungumzie kabsaa ile ndge ilipotea mazingira ya ajabu sana...tunawaza kuongelea ngege za malaysia kumbe kuna matukio mazito huku huku kwetu ila yanapigwa kimya kimya....


Sasa swala la kujiuliza ni kwanini ndege ilipotelea anga zile na serikali ya Tz ilikaaa kimya tena taarifa zile zilizimwa gafla...

Any way naanza kuamini kweli kule chini kuna shughuli zinaendelea...

Milima ni matokeo ya kupisha nafasi ya spaceship chini huko ndo mana ardhi inabinuka kwa juu...be careful sanana hii milima imeficha mambo mengi sana..ugeni huu umekuja miaka ya zamani sana....

Kama umeme wa Kihansi unazalishwa chini ya mlima umbali wa 3km underground lakini huwezi ukaamini kabsaa ukiambiwa umeme unatoka underground kwenye mlima na huko chini kuna wafanyakazi wengi sana...just a tunnel ndo inakuongoza kuingia ndani na kusafiri umbali mrefu kama 3km ndo unayapata makazi ya mitambo ya kuzalisha umeme...hivi nani alitoa wazo hilo ?? daaah..ni akili ya binadamu au ??

Mlima Kilimanjaro una maajabu mengi sana kuna watu wanasema kuna underground tunnel inayotokezea huko Crator maalumu na hio ibabaki kuwa confidential...

Any way Naweza sema kuwa kuna spaceship zipo chini ya ardhi zina viumbe toka space za mbali na kuna communication kati ya mwanadamu na hao viumbe na mikataba inabaki kuwa siri nzito sana...

Bilogical experiments nying zinafanyika huko kwa siri sana...




Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna siku nlifika huko underground

Wale jamaa ni walafi sana

Wana komba mboga ni balaa , allien usipime dadeki !

Nkienda tena ntapiga nao selfie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hafu najiuliza sana , yaani wametutrngeneza hafu , wanataka watuangamize

Mashoga sana hao maalliens ***** zao

Wambie nkiwapata ntawatindua tindua vibaya mno


Ndo wakamtengeneza mtu kama magu na trump manyoko sana hao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hafu najiuliza sana , yaani wametutrngeneza hafu , wanataka watuangamize

Mashoga sana hao maalliens ***** zao

Wambie nkiwapata ntawatindua tindua vibaya mno


Ndo wakamtengeneza mtu kama magu na trump manyoko sana hao

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu hiyo inaitwa transformation ya humanism kutoka morphology moja na tabia kwenda kwenye mfumo mwingine wa maisha...

(Transhumanism)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu hiyo inaitwa transformation ya humanism kutoka morphology moja na tabia kwenda kwenye mfumo mwingine wa maisha...

(Transhumanism)

Sent using Jamii Forums mobile app
Basi nisaidie namba moja ya binti wa kiallien !

Inaonekana una ukarib nao sana

Sidhan kama atakua ananipiga mizinga kama hawa binadamu

Yaani nawamind wanawake wa kibinadamu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao Allien ni Vilaza. Wanaumba viumbe then wanawaogopa mpka wanaamua kuishi kwa siri kwa kujificha jificha. Na kujionyesha kwa watu wachache.
Basi ndo hvy binadamu hana cha kuogopa aanze kuishi maisha anavyotaka yeye sababu kumbe wao wameumbwa na ALLIEns waoga kinyama......
Yaani kinyago ukiumbe mwenyewe then ujifiche it means unakiogopa!! Hata hao binadamu wakijua kuwa ndio wameumbwa na hao alliens nini kitabadilika mpk waogope .
Serious kama kuna mtu anayeamini hii kitu ntamshangaa sana.
Yaani tangu binadamu hajui kitu mpk sasa yeye huyo alliens amekaa tu anatuchungulia kama movie??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao Allien ni Vilaza. Wanaumba viumbe then wanawaogopa mpka wanaamua kuishi kwa siri kwa kujificha jificha. Na kujionyesha kwa watu wachache.
Basi ndo hvy binadamu hana cha kuogopa aanze kuishi maisha anavyotaka yeye sababu kumbe wao wameumbwa na ALLIEns waoga kinyama......
Yaani kinyago ukiumbe mwenyewe then ujifiche it means unakiogopa!! Hata hao binadamu wakijua kuwa ndio wameumbwa na hao alliens nini kitabadilika mpk waogope .
Serious kama kuna mtu anayeamini hii kitu ntamshangaa sana.
Yaani tangu binadamu hajui kitu mpk sasa yeye huyo alliens amekaa tu anatuchungulia kama movie??

Sent using Jamii Forums mobile app
...je_wewe ni muumini wa biblia/mkristo ama Quran/muislamu. ?!..au wewe mtazamo wako kiimani ni UPI mkuu

......ukinijibu ntajua kama ni nawewe ni kilaza ama la !

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom