Habari
Kampuni mpya ya jaha kutoka china imeleta bajaji mpya zinazotumia umeme, bajaji hizi ni bajaji za abiria na mizigo
Bajaji ya abiria
Bajaji za abiria zipo za aina mbili kuna kubwa na ndogo
Bajaji kubwa Ina uwezo wa kubeba abiria saba na dereva wa nane
Bajaji ndogo una uwezo wa kubeba abiria watano na dereva wa sita
BAJAJI ndogo ni milioni nane na laki Moja
Guta ndogo ni milioni tatu na nusu
Bajaji kubwa ni milioni Tisa
Kwa mawasiliano zaidi
0686153806 Whatsapp na kawaida
Kampuni mpya ya jaha kutoka china imeleta bajaji mpya zinazotumia umeme, bajaji hizi ni bajaji za abiria na mizigo
Bajaji ya abiria
Bajaji za abiria zipo za aina mbili kuna kubwa na ndogo
Bajaji kubwa Ina uwezo wa kubeba abiria saba na dereva wa nane
- Inachajiwa Kwa masaa manane Kwa umeme wa elfu Tano
- Inauwezo wa kutembea umbali wa kilomita 150 battery ukiwa full
- Ina tank la mafuta Kwa emergency ambapo unaweza kuhamisha bajaji Toka mfumo wa umeme hadi wa mafuta, pindi unapotumia mfumo wa mafuta betri linakuwa pinajifua na kuwa na uwezo wa kutembea umbali wa kilomita 100 hivyo bajaji BAJAJI kuwa na uwezo wa kutembea umbali wa kilomita 250-300kwa siku
Bajaji ndogo una uwezo wa kubeba abiria watano na dereva wa sita
Bei zake
Bajaji kubwa ni milioni kumi na nusuBAJAJI ndogo ni milioni nane na laki Moja
Guta ndogo ni milioni tatu na nusu
Bajaji kubwa ni milioni Tisa
Kwa mawasiliano zaidi
0686153806 Whatsapp na kawaida