Promota kutupa taulo kwenye ulingo wa masumbwi ina ashiria nini?

SEGUZO

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
280
198
wakuu mimi mpenzi wa masumbwi, lakini mara chache hutokea tukio haswa ikiwa pambano la ngumi likiendelea. unaweza kuona waandaaji wa pambano wanatupa taulo(kitambaa)na hapohapo pambano linasimamishwa kabla ya muda kuisha so kwa wanoelewa maswala ya ndondi, tafadhali mtuilimishe
 
Promota hawezi kutupa taulo,siyo kazi yake...Kocha wa bondia husika hufanya hivyo,sababu baada ya kuona bondia wake hawezi kuendelea na pambano,kuzidiwa mno hivyo kumuokoa bondia wake kupata madhara zaidi..
 
Back
Top Bottom