Projector aina ya Sony inauzwa

Shomari

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
1,112
241
Ndugu wadau napenda kuwatangazia kwamba ninauza projector aina ya Sony. ina siku 20 tangu niinunue toka dubai , bei yake ni shilingi 1,300,000 ( milioni moja na laki tatu.
Mimi kwa sasa nipo Mwanza, yeyote atakuwa tayari naomba tuwasiliane kwa simu namba 0766466890. asante
 
Mkuu kama umeinunua siku ishirini tuu zilizopita saivi unaisukuma umeipata na tatizo gani mkuu, tuweke wazi kama ina tatizo tujue namna ya kufix bei vinginevyo itakuwa lady jay dee (mawazo)
 
Ni nzima kabisa mzee. na kwa nyongeza ni mpya. usiwe na wasiwasi.
 
Kama ni Dubai basi itakuwa ni Sony ya Kichina zipo nyingi tu pale kitumbini,body nje ni sony lakini ndani ni machine ya misosic.Mafafa...........
 
naomba jina la duka,kuna ndugu yangu yuko nyumbani ananiulizia kila siku,nasikia shida nikuwa za kichina tu lakini zinadunda kama kazi.?
Kama ni Dubai basi itakuwa ni Sony ya Kichina zipo nyingi tu pale kitumbini,body nje ni sony lakini ndani ni machine ya misosic.Mafafa...........
 
??????????????????maisha bora kwa kila mtamzania...........

Back
Top Bottom