Naomba kujuzwa bei ya Projector aina sony 3LCD

Naomba kujuzwa bei ya Projector aina sony 3LCD

ibradebo

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2015
Posts
304
Reaction score
187
Habari za asubuhi wanajamii forum wenzangu, nina swali nataka niulize nina projector aina ya sony 3LCD nataka niuze ila sijajua thamani yake.

Kama kuna yeyote anayejua bei za projector aniambie ili nikadirie bei ya kuuza, ni kama mpya imetumika vizuri haina mikwaruzo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapo wanaoweza kukukadiria Bei iwapo wataiona hata kwenye picha.
Kikubwa upload picha Safi na nzuri za bidhaa yako
 
Back
Top Bottom