ubongokid
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 2,136
- 4,148
Wadau habari zenu;Najua humu napata wataalamu.Kuna fursa ya kazi ya kuanda na kufundisha digital courses katika fani mbalimbali.Hii fursa inawafaa walioko katika education sector.Ni chuo kipya cha online ambacho kiko based Tanzania.Kama mtu yuko interested atume pm then nitampa details za nini cha kufanya au afuate hii link kwa watsap ili kupata maelezo zaidi.
Nawakilisha
Link ya grup ni hii
Nawakilisha
Link ya grup ni hii