Mimi naamini hamna developer ambae ha-google, hata wale seniors wenye miaka 10+ lazima kuna muda wanasahau syntax. Kwasababu binadamu sio robot eti utakumbuka kila kitu. Na kwenye programming mimi naamini kukumbuka hapa natumia nini ni muhimu, kuliko kukariri code word by word. Kwahiyo usikatishe wengine tamaa wakahisi wapo less kwa kutokukumbuka kila kitu.Kama ni complex sana na IT wako ndo wale wa ku google na youtube
Hii dhana ya kukariri code basi ww ni programmer mzuri inawapoteza watu wengi sana, solving problemz skill ni key katika programming, syntax unacheki katika docs ya language/framework husika na ukitumia mara kwa mara unakumbuka.Mimi naamini hamna developer ambae ha-google, hata wale seniors wenye miaka 10+ lazima kuna muda wanasahau syntax. Kwasababu binadamu sio robot eti utakumbuka kila kitu. Na kwenye programming mimi naamini kukumbuka hapa natumia nini ni muhimu, kuliko kukariri code word by word. Kwahiyo usikatishe wengine tamaa wakahisi wapo less kwa kutokukumbuka kila kitu.
Hii☝️. Umeongea facts tupu mkuu.Hii dhana ya kukariri code basi ww ni programmer mzuri inawapoteza watu wengi sana, solving problemz skill ni key katika programming, syntax unacheki katika docs ya language/framework husika na ukitumia mara kwa mara unakumbuka.
hahahahahaGuys don't wait your time on this. Jamaa mwenye uzi nimecheki PM, kasema anawachora tu uwo mzigo haupo wala nini. Anafurahisha genge.
Yes. Problem-solving skills ni central, mathematical aptitude, logic, uwezo wa kuconnect dots na ability to think strategically.Hii dhana ya kukariri code basi ww ni programmer mzuri inawapoteza watu wengi sana, solving problemz skill ni key katika programming, syntax unacheki katika docs ya language/framework husika na ukitumia mara kwa mara unakumbuka.
We jamaa huwezi amini ni kias gan umenifungua akili juu ya my new project ninayo tarajia kuianza it's the next big thing believe me.. naskuru sana brotherKwa experience yangu kwa huo mtaji wako inaweza ikawa ivi ( ikiwa idea yako ita base kwenye ku code ios na android app pamaja na website kwa ajili ya vitu kama api)
Timeline:
Kwenye IOS na Android
- ita include app design, implementation na programming
Kwenye website
- ita include technical specification [ hapa mostly ni uchaguzi wa programming language, na backend pamoja frontend framework. Pia uchazuzi wa storage labda amazon au microsoft]. Labda kuna third party api utatumia etc
Team:
Hapi unaweza ukatoa ajira kwa
1 (mtu mmoja wa) : UI/UX designed
1-2 (mtu mmoja au wawili) : android development
1-2 (mtu mmoja au wawili) : ios development
1 (mtu mmoja wa) : kwenye website backend
1 (mtu mmoja wa) : quality check, wa kutest izo app na website kabla hazijawa public
1 (mtu mmoja wa) : project manager
(unaweza ukawa wewe tu hapa, ukawasimamia hao vijana)
Project flow.
Hapa inategemea na jinsi iyo idea itavyokuwa complex kwenye development.
1. kwenye planing stage
-hapa mnaweza ku spend wiki 1 hadi 2
2. Kwenye design stage
- hapa mnaweza kutumia 2 hadi 3 ivi
3. Kwenye development
-hapa mnaweza tumia wiki 12 - 15
4. Kwenye testing
-kama wiki 1 au 2 zinayosha
5. Release (demo)
- wiki itatatosha kabisa, demo kwa watu nje ya office yetu ili mpate maoni ya system
6. Post Release
- mkisha jirizisha mnaweza ku zima demo mkaendelea na biashara
Kwa kumalizia kama nilivo sema idea complexity ndo inaweza ku extend mda wa development au kuufupisha
Simple app inaweza chukua miezi 2
Medium app inaweza chukua miezi 3 - 5
Kama ni complex sana na IT wako ndo wale wa ku google na youtube inaweza kuchukua miezi 6 hadi 18 na mtaji unaweza ukakata
Kwa idea unazoweza kufanya kwa haraka haraka
1. Labda utenfeneze ecommerce kwa ajili ya vyuo vikuu. Labda mm nasoma mzumbe nikipost product zangu wanafunzi wa mzumbe tu ndo wanaona au vyuo vyote vya morogoro. Mwanafunzi aone product kulingana na eneo alilopo
2. Nyingine mm nishachoka kulipa nauli ya bajaji na bodoboda kwa cash lbadaa utegeneza app kwa ajili ya ku accept payment kwa madereva
3. Kwenye utalii labda ufanye kama ile tourbylocal mtu aweze ku book local guide akuonyeshe vivutio
4. Au tengeneza api za kuaccept payment kwenye website mbalimbali. Kama mm na website mataka ni accept labda mpesa kwenye malipo na jiconnect na api yako inanisaidia kwa hapo
Nicheki kaka! 0768650509Nitafute nikutengenezee crypto token yako yaani virtual currency yako.. sarafu yako ya mtandaoni ambayo itatumika kulipia viingilio vya mpira ligi kuu bara at the same time itatumika Kama form of investment.
Nafanya kazi nzima kuanzia kutengeneza Token yako, website, Whitepaper, kuilist kwenye pancakes swap.
Hadi ianze kuwa traded... It's a $100 million dollar business kwa nusu ya mtaji wako.
Hit my inbox for more info.
Wewe! Hio wasap ya leo sio ya jana.chako ni chako tu.
ni kuilize kitu microsoft alikuwa windows phone ilichukua mda gani na ios ilipofika leo kuna nini !.
Nasa ina mda gani na leo spaceX ndio habari ya mjini kuliko tulio tegemea.
sisi tunaamini ukichelewa kina kufa.
unafahamu whatsapp ilikuwa ni project ya mda mrefu tokea app ya Nimbuzz ilipo pelekwa facebook walikataa ila walikuja mda gani na leo facebook kanunua kwa pesa kubwa.