Usipate shaka .Hivi wskuu huu sio muendelezo wa mpango wa ushindi wa kishindo kweli?
Napata mashaka sana na hii mienendo
napopata shida hawahawa baadae watakuja sema tuwasamehe,Usipate shaka .
Unapata vipi shaka mtu anaposhindana na kivuli chake ?
Watu sio wajinga , wapo bado wanaitakia nchi mema huo upuuzi hauna muda mrefu utaisha.
Hatari sana aiseeHakuna kitu kama hicho
Haki itashinda walio upande wa haki ni wengi kuliko wanaofurahia udhalimu huu kwa maslahi ya matumbo yao na si nchi.napopata shida hawahawa baadae watakuja sema tuwasamehe,
Mfumo ni kama haukwepeki
Muda mwingi atapiga t-shirt na jeans 😁Nimemsikia hapa huyo mgombea kivuli wa chama cha ubwabwa Salum Mwalimu ananadi eti mgombea mwenzie ana sketi nzuri hivi hawa watu walifikiria nini kukubali kuwa toilet paper za CCM?