PreGE2025 Project CHAUMA itafeli mapema sana kama ilivyofeli Project G55

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
The prayer of the hawk does not get the chicken
 
#UPDATES Aliyewahi kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Bara na msemaji wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) Eugene Kabendera amejiondoa ndani ya Chama hicho, kwa sababu Chaumma hakiendani tena na misingi na maono waliyofanya wakiasisi, Kabendera ametangaza uamuzi huo hii leo tarehe 27 Mei 2025, wakati akizungumza na waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam.

Katika taarifa yake Kabendera ambaye anadai yeye mmoja wa waasisi nane wa chama hicho toka Juni 2012, ambao majina yao yapo kwenye Nyaraka za msajili wa vyama vya siasa nchini, na amekuwa mwakilishi wa Chaumma katika vikao vya Baraza la vyama vya siasa, ikiwa ni pamoja na kugombea Ubunge jimbo la Ubungo katika chaguzi za 2015 na 2020. #EastAfricaTV
 
Inaitwa projekt mkurupuko
 
Your browser is not able to display this video.
 
Salum mwl. Amekuwa akizurula zurula huko mitaani kwa madai eti anatafuta wadhamini, bahati mbaya kwake amekuwa akipata matokeo hafifu sn hasa ya watu wa kumsindikiza hali inayomfanya akate tamaa mapema.

Kibaya zaidi ni kitendo cha mpango wake wa kando ester matiko kung'ang'ania ubunge kwa tiketi ya ccm nayo inawapa watu mashaka kama jamaa kweli yupo serious na anachokifanya.

Kiukweli cha ubwabwa wame buma
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…