Progress ya Nairobi expressway

ezgif.com-gif-maker (3).jpg
 
Tony I think we should start another thread of Upperhill viaduct so that we don't confuse these lazy witches with these two projects. Wengine wakiona Upperhill viaduct watadhani ni Nairobi expressway.
:D :D :D ati Lazy witches? at least a witch should be hardworking
 
Changamwe interchange progress. Kitu ni moto. Tarmacking has started.

by the way hio barabara waga iko na fly over nne,one ni hio ya cangamwe roundabout,ya pili ni hio ya kona changamwe(formerly known as stage ya shell,being shown on the video from 6:53...remember it completed) ya tatu ipo kwenye stage yaitwa dolphin ama stage ya baraka super market alafu flyover ya mwisho iko stage ya mainland changamwe karibu na oil refinery..ukifuatilizia left hio barabara utoke hospitali yaitwa bomu clinic utakutana na barabra yakuenda kwa hola magongo kuna another fly over...the same road ukifuatilizia inakupeleka hadi airport kuna pia another fly over..The day nikirudi mombasa i will get a video za all flyover along that road
 
I am glad to know kwamba Mombasa ina flyovers nyingi hivyo.
 
Duh!!bro kwn uliishi mombasa nini, hzo stage sio rahi mtu kuzijua tena karibia zote, mpka kw hola magongo wapatambua..nshakusoma mwanangu sema tu mimi hzo sio anga zangu
 
uko ndipo nilipozaliwa na kulelewa...alafu development ni mingi sikuizi uko..flyover zimejengwa uko na sijawai ona watu wakiringa wa kutoka eneo za uko..wacha nikueleze poa..kuna hio video apo tony amepost ..huyo youtuber amesema kwa footbridge flani akichukua video apo upande wa left kuna estate yaitwa changamwe estate..hilo estate lina majumba ya kitambo..serikali watabomoa hilo estate na kuja nyumba zengine affordable kama buxton,( ) tayari watu walipewa notice..tukifika pale mainland magongo kuna estate yaitwa national housing ziko opposite oil refinery ..hayo majumba mostly si za gorofa..saizi venye tunaongea..wanazibomoa na kujenga za gorofa...lakini wanabomoa in areas..wanajenga apartments alafu wakisha maliza na bomoa zile nyumba za chini ..then wenye nyumba zao zimebomolewa wanahamishwa kwenye hizo apartments..alafu penye kulibomolewa wanajenga zengine..mtindo ndio...na tukifika kwa upande wa fly over apo mainland magongo(wacha magongo mwisho)apo mainland stage ukichukua hio barabara uende straight ukielekea wayani,na pipeline..ukienda straight kabisa utapata barabara ya kupeleka SGR..pia utakutana na juction (barabara ya kuenda nairobi ..na nyingine ya kuleta jomvu-mikindani -bangalaa-backlays bank hadi changamwe roadabout...hio barabara iko na interchange nne na fly over moja..ndio hizi apa chini...tatu ni hizi kwenye picha..na ya nne ni ile ya dongo kundu inapatika eneo la mariakani...hio ukifuatilizia inakupeleka port ama port reitz..

1624217505875.png
 
View attachment 1824918
Duh!!heri wakaamua kuyabomoa yale magofu mazee, alafu naona nkm wazee wa mainland mumependelewa sana na huu mradi wa affordable housing..
Manake kw kisiwani madhani ni sehemu mbili chache tu, ukiachana na buxton kuna tudor upande wa kule moroto km sijakosea.pako vibaya sana manake yale maghofu pale sio poa aisee tangia mkoloni, then kuna zile sehemu za manyimbo pia nkm wanataka kuinua vitu sema sina data sana vile
 
kitambo mainland ilikua noma..ni siku yangu ya kwanza kufika uko yaani yale ma fly over yalinchanganya ata sikua najua mtaa poa isistoshe kuna mall yaitwa airport centre mall iko apo kwa stage ya kwa rama karibu na changamwe police station ndio ilinichanganyisha ilibidi nipigie mtu akuje anitafte juu kulikua kumebadilika na pia to make it worse ilikua ni usiku...nilidhani niko town lakini nikifikiria naona sikupita kibarani 😄 😄 ..uswahilini ata usisime kuna investor aliamua kufyeka hao majumba ya uswazi akaeka estate yaitwa hakika estate..i hope unajua hilo kampuni la hakika transporters..wako na malori mengi sana ya kutoa mzigo kwa port hadi ware house..huyo investor aliamua kuingilia biashara ya estate na kujenga ma apartment zakishua uko upande wa magongo mwisho...naskia anajenga tena phase 2 but sijui ni wapi...nikija mombasa nitakutafta kama utakua
 
kitambo mainland ilikua noma..ni siku yangu ya kwanza kufika uko yaani yale ma fly over yalinchanganya ata sikua najua mtaa poa isistoshe kuna mall yaitwa airport centre mall iko apo kwa stage ya kwa rama karibu na changamwe police station ndio ilinichanganyisha ilibidi nipigie mtu akuje anitafte juu kulikua kumebadilika na pia to make it worse ilikua ni usiku...nilidhani niko town lakini nikifikiria naona sikupita kibarani ..uswahilini ata usisime kuna investor aliamua kufyeka hao majumba ya uswazi akaeka estate yaitwa hakika estate..i hope unajua hilo kampuni la hakika transporters..wako na malori mengi sana ya kutoa mzigo kwa port hadi ware house..huyo investor aliamua kuingilia biashara ya estate na kujenga ma apartment zakishua uko upande wa magongo mwisho...naskia anajenga tena phase 2 but sijui ni wapi...nikija mombasa nitakutafta kama utakua
Hamna noma, m nikiwa msa alafu niwe sina mishe nyingi tutaonana tu..sema siku hizi sehemu niko ni ya kuzungushana tu, ndio manake sometimes unakuta jf siko active kw masaa kadhaa..

Hakika nawatambua mzee, alafu ujue hzo anga zenu siku hizi kumeanza kuimarika..
Kuna siku flani nilimtembelea cuzo flani magongo karibu na bomu hospital, kufika nimeona kidogo barabara za mitaani ziko vyema sana walai..
Sema tu hzo anga zenu sipajui jui sana ila stage zote nazitambua
 
Back
Top Bottom