Progress ya Nairobi expressway

Wachina wanalipua huo mradi gharama walizotaja ni tofauti na kijengwacho, wanakwenda kutengeneza faida maradufu kwa miaka 30, Wachina si watu, wanakwambia tunajenga expressway ya ksh 500, hiyo ksh 500 tunaitoa sisi, lakini kwa ground wanajenga expressway ya ksh 60 ambapo wanaweka toll kwa hesabu ya ksh 500.🤣😭

Then angalia pillars zinazojengwa hapo, then kaangalie kwenye render vitu ni tofauti kabisa.
 
Wachina wanalipua huo mradi gharama walizotaja ni tofauti na kijengwacho,wanakwenda kutengeneza faida maradufu kwa miaka 30,wachina si watu,wanakwambia tunajenga expressway ya ksh 500,hiyo ksh 500 tunaitoa sisi,lakini kwa ground wanajenga expressway ya ksh 60 ambapo wanaweka toll kwa hesabu ya ksh 500...🤣😭

Then angalia pillars zinazojengwa hapo,then kaangalie kwenye render vitu ni tofauti kabisa
Are you the one who is going to pay or is it Kenyans?? kama inawauma sana waambieni wachina wajenge wakimaliza waing'oe wakaipande Uchina.
 
Wachina wanalipua huo mradi gharama walizotaja ni tofauti na kijengwacho,wanakwenda kutengeneza faida maradufu kwa miaka 30,wachina si watu,wanakwambia tunajenga expressway ya ksh 500,hiyo ksh 500 tunaitoa sisi,lakini kwa ground wanajenga expressway ya ksh 60 ambapo wanaweka toll kwa hesabu ya ksh 500...

Then angalia pillars zinazojengwa hapo,then kaangalie kwenye render vitu ni tofauti kabisa
Watakuambia ni wivu kumbe walaa hata
 
Screenshot_20201130-123655_1.jpg
 
Inauma sana kuona waafrika wenzetu mnatapeliwa kizembe sana,wakenya wamekuwa vilaza kupitiliza ..mnatapeliwa kirahisi hivyo...!!??
Khaa! Mtanzania kuumwa kisa Mkenya anatapeliwa? Mpya ya kufungia mwaka hii. UNAFIKI. Ebu tuache na ya kwetu nawewe pambana na ya kwenu.
 
Wachina wanalipua huo mradi gharama walizotaja ni tofauti na kijengwacho,wanakwenda kutengeneza faida maradufu kwa miaka 30,wachina si watu,wanakwambia tunajenga expressway ya ksh 500,hiyo ksh 500 tunaitoa sisi,lakini kwa ground wanajenga expressway ya ksh 60 ambapo wanaweka toll kwa hesabu ya ksh 500...🤣😭

Then angalia pillars zinazojengwa hapo,then kaangalie kwenye render vitu ni tofauti kabisa
I didn't know we have so many road engineers in jamiiforums!!
 
Wachina watawajengea Hadi Ikulu muda si mrefu..alaf waitumie kwa miaka kadhaa before hawajawapa
Waturuki watawajengea Hadi Ikulu muda si mrefu alaf waitumie kwa miaka kadhaa before hawajawapa.
 
Back
Top Bottom