Progress: Mume hanifikishi kisawasawa


Umeamua kuzini wewe zini tu, kama hakufikishi kileleni hapa ndio pa kuja kuyaanika?tena ukisisitiza kuzini nje ya ndoa yako?unaiangamiza ndoa yako mwenyewe tena kwa mikono yako miwili
 
wiki ya neema kila la heri bi mkubwa......eeeeehhhh waliokuPM wanaombea isifanikiwe iwe zali la mintali lol

Hakuna cha zali la mentali wala nini, hapo hakuna mwanamke kabisa. Kwanza unaweza kukuta ni dume linacheza na akili za watu kwa uongo uongo.

Kwani wanajamii wana nini cha ajabu na hao wanaume wa mtaani au kwa sababu wanaingia kwenye mitandao ndiyo value yao inapanda???

Nawaponda na wote walioku PM hawana akili kabisa, huwezi kuPM mtu usiye mjua kwa story ambayo huna uhakika nayo kama ni kweli au uongo!
 

Sheikh wangu huyo ni malaya typical,humu ana hunt mafisi maji, tuna uhakika gani kuwa mwanaume huyo hamfikishi au saizi atamfikisha???

Hizo ni longolongo za kuhalalisha uzandiki.
 
Usikute hana hata ndoa ni gia tu ya kutafuta washirika wa kunywa nae dawa
 
Haya madhara ya wanawake wa kileo eti wasomi.Nimeanza kuona huruma kwa wanaume juu ya uchaguzi wa mke mbona mnayo kazi. Mwanamke umepania kugongwa nje kisa badiliko la mmeo tena kwa kisa ambacho hata hukijui kwa hiyo ndoa yako imegeuka ligi?
mwe mwanamke huna sifa za kuwa huna hadhi ya kuolewa kwa maana hukidhi vigezo vya kuwa mke kabisa.Huna busara huna subira,hauna uturivu katika kutafuta sulution za matatizo yako ya ndoa.
Kama utaendelea na utoto/ujinga ulioudhihirisha kwenye threads zako hizi mbili i swear ndoa itakushinda.
Achana na mawazo ya kufirigiswa bila kujari mwezio kapatwa na nn hadi kufikia underperforming situation aliyonayo sasa.
 
Relax dada

 
Katika hao 50 kuna anaeitwa Paw? Manake kama nae hashibi nyumbani usikute hasemi. Kudusa kwa watu sio tabia njema!
 

tatua tatizo na mume wako vyema that is sychological mind by the way nenda kacheat kama unavyopenda lakini nakuakikishia chini ya mbingu na Mungu wangu wa yakobo na isaka kitakachokupata... Utatamani kuiangalia dunia mara mbili jitume katika maombi.
 
Now this looks like a fabricated story to me...
 

ww sio mke wa mtu jamani,huthamini ndoa yako kabisa eti nitawapa first priority waliopm unaona fahari kupokea hizo pm eeeh mi nasubiria mwisho wako mwanamke mpu..mba...vu ww.
 
Ha ha ha!ww ni mwanaume wa aina yake! I wonder watu hawajui ku apreciate vtu vizuri! Thank God I kno u r my precious metal to adore! Natamani nikubebe, to tell the world how valuable u r! U have a lot kujivunia,, I don't want to loose u! As sichoki kukuwaza!! Kichaa msomi bwana maakili mengiiiiiii!!! U r great! Thank u jamani! Nakupenda
 
aisee jf sio mchezo. mdada wa watu kashambuliwa mpaka nimemuonea huruma.
 

Dah, mambo ya ndoa magumu sana! Binafsi nilikua naamini kuwa ngono ni sehemu ndogo sana ktk mambo ya kifamilia, kumbe ngono ni 95% ya mambo ya kifamilia,

"Eeeh Mungu niepushie janga hili"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…