sio blah blah.... inategemea na mtu na level yako katika programming kwa ujumla na katika language husika. swali hilo ukimuuliza Bjarne Stroup atakudharau sana manake yeye ndo creator wa C++ lakini ukiniuliza mimi ntaweza kuumiza kichwa manake level yangu bado ndogo. kwa hiyo majibu unayoyapata hapa yanategemea anaekujibu yupo katika level gani.