Programmers Walaumu Google chrome.

Programmers Walaumu Google chrome.

na kina mozila pia ndio wote hao

for mozila firefox

[h=2]how to I find list of stored passwords? in Mozilla Firefox[/h]View attachment 106174

Go to Tools|Options|Security. In the password section click on the <Saved Passwords> button.​

View attachment 106171

cha msingi ni kuondoa tick ktk remember password for sites hakupati mtu

na katika Google chrome unaondoa tick ktk offer to save password

View attachment 106173

View attachment 106172

kwisha mchezo
nawatakia sikuu njema wana jf

​

kudos mamaa tech..
 
Mkuu bado naamini chrome bado ni browser nzuri achilia mbali Hilo tatizo lililopo

Naam, umenena vyema mkuu. Hata mimi I still like Chrome. Hilo tatizo litawapata wale ambao wamezoea kusave password kwenye browser. Lakini kwa mimi ambaye sifanyi hivyo sioni tatizo.
 
Mkuu bado naamini chrome bado ni browser nzuri achilia mbali Hilo tatizo lililopo

chrome, opera next, safari na vibrowser karibia vyote vya android ni watoto wa webkit kama umeipenda chrome jaribu opera next, fast, fluid kama ilivyo chrome
 
na kina mozila pia ndio wote hao

for mozila firefox

[h=2]how to I find list of stored passwords? in Mozilla Firefox[/h]View attachment 106174

Go to Tools|Options|Security. In the password section click on the <Saved Passwords> button.​

View attachment 106171

cha msingi ni kuondoa tick ktk remember password for sites hakupati mtu

na katika Google chrome unaondoa tick ktk offer to save password

View attachment 106173

View attachment 106172

kwisha mchezo
nawatakia sikuu njema wana jf

​

wakati naisoma hii article ni kwamba programmer wanalalamika haina protection. ina maana huwezi kuziblock hizo password.

mozila wao wana master password ina maana ukiiona hii thread unaenda kwenye browser yako unaeka. ili mtu aone password zako inabidi aeke master password kwanza
 
If you tell the browser to remember that pasword you are actually telling it that the User account is only accessible by You. If that is true why should browser hide passwords? Just do these
1. Make sure that User Account is password Protected
2. Make it lock itself after few minutes of being idle
3. If top Secret, Encrypt your home drive so that it will be inaccessible offline (Am talking of OS not browser here)

So nothing intimidating for those who knows what they are doing!
 
cha msingi ni kuondoa tick ktk remember password for sites hakupati mtu

na katika Google chrome unaondoa tick ktk offer to save password

View attachment 106172

kwisha mchezo
nawatakia sikuu njema wana jf

Nilikua najiuliza inakuaje watu wote wana laumu chrome kwa hili wakati ukienda kwenye chrome://settings unapata sehemu ya kuchagua kama unataka kuhifadhi password yako au la?

Tatizo letu tunapokuwa bize na mambo yetu kwenye kompyuta kila kinachoulizwa tunasema Yes, kumbe umechagua mambo usiyoyataka bila kujua yanakua yaleyalee ya akina Carl Peters.
 
mkuu 'wanaolaumu ni programmer' hii ni sentesi kubwa sana. huo ni upenyo mkubwa kwa mtu anaejua kucode vizuri. kutick na ku untick si solution kama hamna restrictions malware mdogo tu anaeza akafanya hiyo kazi.

chrome yenyewe ukiinstall haihitaji ruhusa ya kua default (inakwambia click next to enjoy your default browser) haikupi option ya kukataa hadi uiclose, na pia inajipin automatic bila kuruhusiwa. hii openess yake nayo inafanya malware nao wawe hivyo.

tupo hapa jamani ipeni dunia miezi kama mitatu utaskia kuna malware anaona pass za fb, twitter, kwa kutumia browser
 
chief-mkwawa, ni kweli wanaolaumu ni programmers, nimeisoma mara mbilimbili hiyo habari na kuona kile wanachohofia (according to the thread)

Any individual who can enter a user's
computer log-in (which could be as
easy as finding the computer when
left unattended) would then be able
to copy somebody's login details for
all of their online accounts.

Madhara ni makubwa mno achilia mbali fb na twiter, nimeona kwenye list yangu ya never saved list kuna hadi application za ofisini za mambo ya finance, hr, za email nyingine.

Nilichokua nasisitiza hapa ni kwamba kwa hatua ya kwanza, wengi wetu tulikua tumechagua offer to save passwords bila hata kujua kwamba tumechagua hiyo option. Ndio maana wanasisitiza wawe makini nani wanamuuzia toleo gani kati ya mtumiaji wa kawaida na programmer.

Miezi mitatu huenda ikawa mingi sana, kumbuka kuna watu hii ni kazi yao na wanafurahia kufanya hivyo. Ila kuchukua tahadhari ni muhimu.

Thanks mkuu
 
Last edited by a moderator:
GOOD NEWS

Hili tatizo limeisha. Kwa sasa ukitaka kuona password unakuwa prompted kuweka password yako ya Windows. Ila sijajua kwa wa wanaotumia OS tofauti kama Stefano Mtangoo inakuaje hapo.

Ntaendelea kuipenda chrome kwa sababu kuu moja ya sync.

USHAURI:

Kama unataka kuwa salama zaidi tumia hii password manager inaitwa LastPass: https://lastpass.com/ unakuwa na master password moja unayoitumia ku access site nyingine zote. Lastpass ina extension inayopatikana kwenye chrome, IE na browser nyingine.

cc Isaac Chikoma C6 Baraka Roman chief-mkwawa
 
ngoja nikaupdate yangu niangalie maana nina miezi sijaigusa chrome
 
Nyasiro mimi ni Mozillian (FF+TB). GC naitumia occassionally na sina password yoyote niliyoweka AFAICR.
Kwa hiyo sina hakika. Ila hiyo feature iko FF kitambo sana 🙂
 
Last edited by a moderator:
hiyo *show* button iko wap?? au ndo mambo ya kuponda Chrome???

29wv96f.png

where?
 
Click password mojawapo!! Oh by the way unaua battery hio ukiwa unafanya hivo, weka power chord 😉
CHROME.jpg
attachment.php
 
  • Thanks
Reactions: leh
leh hiyo hapo kwenye red ni Freedom Fighters?

29wv96f.png
 
Last edited by a moderator:
leh hiyo hapo kwenye red ni Freedom Fighters?

View attachment 142247

Yes kaka, ni Freedom Fighters.. unataka copy niangalie kama nitaweza upload

Click password mojawapo!! Oh by the way unaua battery hio ukiwa unafanya hivo, weka power chord 😉

nimeona kaka. thanx! btw, kulikuwa hamna umeme arusha ni kwa ki******

GOOD NEWS

Hili tatizo limeisha. Kwa sasa ukitaka kuona password unakuwa prompted kuweka password yako ya Windows. Ila sijajua kwa wa wanaotumia OS tofauti kama Stefano Mtangoo inakuaje hapo.

Ntaendelea kuipenda chrome kwa sababu kuu moja ya sync.

USHAURI:

Kama unataka kuwa salama zaidi tumia hii password manager inaitwa LastPass: https://lastpass.com/ unakuwa na master password moja unayoitumia ku access site nyingine zote. Lastpass ina extension inayopatikana kwenye chrome, IE na browser nyingine.

cc Isaac Chikoma C6 Baraka Roman chief-mkwawa

ya kwangu inasema ipo up to date ila show button haiombi password...
 
Yes kaka, ni Freedom Fighters.. unataka copy niangalie kama nitaweza upload

nimeona kaka. thanx! btw, kulikuwa hamna umeme arusha ni kwa ki******

ya kwangu inasema ipo up to date ila show button haiombi password...

Haha polen mkuu!!
 
Yes kaka, ni Freedom Fighters.. unataka copy niangalie kama nitaweza upload

ya kwangu inasema ipo up to date ila show button haiombi password...

natafuta sana hiyo game hata uki upload huku nilipo siwez download internet ipo slow sana. ntakutafuta ile mitaa yetu.

nna wasi wasi kama kweli hiyo chrome yako ipo updated.
 
Back
Top Bottom