Programmers Walaumu Google chrome.

Isaac Chikoma

JF-Expert Member
Oct 25, 2011
475
101
Simply typing “chrome://settings/
passwords” into the browser’s
address box reveals a
comprehensive list of the user’s
login details, with any computer user
able to click a ‘show’ button to reveal
the hidden passwords.

Hii kwa wale tuliozoea kuset let browser save your passwords

This does not mean that the
passwords are stored on the hard
drive in plain text, but that they can
be made visible in plain text to
anyone with access to the user’s
computer.
Any individual who can enter a user’s
computer log-in (which could be as
easy as finding the computer when
left unattended) would then be able
to copy somebody’s login details for
all of their online accounts.
The flaw was discovered by UK-
based software developer Elliott
Kember, who detailed the process on
his blog. Kember’s criticisms draw
attention to the differences between
how Google markets its browser to
developers and how it markets it to a
wider, less tech-aware audience:
 
dah nilivyoona hivyo nikatest kwenye pc yangu nikajiona mpuuz sana chrome washanikosa nimehama mazima nipo opera, firefox, safari wana hio option ila wao wana master password unaaieka ili mtu asione.

hata hapa jf sio safe kuna wapuuzi wakiiona tu hio wanaenda kuibiana password za fb sasa hv, subirini malalamiko
 
Itabid hawa jamaa wa google waifanyie hii kitu kazi lasivyo italeta shida.
 
Duuh hizi teknolojia wakati mwingine bwana ni kasheshe sana maana kwa sie third world tunaotegemea kila kitu free hatulipii kuanzia email si ni balaa
 
na kina mozila pia ndio wote hao

for mozila firefox

[h=2]how to I find list of stored passwords? in Mozilla Firefox[/h] Capture 2.PNG

Go to Tools|Options|Security. In the password section click on the <Saved Passwords> button.

Capture.PNG

cha msingi ni kuondoa tick ktk remember password for sites hakupati mtu

na katika Google chrome unaondoa tick ktk offer to save password

Capture 3.PNG

Capture 1.PNG

kwisha mchezo
nawatakia sikuu njema wana jf

na kina mozila pia ndio wote hao

for mozila firefox

how to I find list of stored passwords? in Mozilla Firefox

View attachment 106174

Go to Tools|Options|Security. In the password section click on the <Saved Passwords> button.

View attachment 106171

cha msingi ni kuondoa tick ktk remember password for sites hakupati mtu

na katika Google chrome unaondoa tick ktk offer to save password

View attachment 106173

View attachment 106172

kwisha mchezo
nawatakia sikuu njema wana jf

Uzuri wa mozilla wao kuna option ya kuwa na master password. Mtu hawezi kuona hadi awe na hii master password. Ubaya ni kuwa watu wengi hawajui kutumia hii feature especially non-tech people.

By the way even without these flaws, it is so easy to guess most of normal users password. Mara nyingi huwa wanatumia dictionary words, kitu ambacho ni rahisi sana ku-crack hata kwa kutumia brute force.
 
siitumiAgi chrome, mbweha moto, wala internet explorer kabisaaa, nnatumia kitu kingine kabisaaaa
 
Uzuri wa mozilla wao kuna option ya kuwa na master password. Mtu hawezi kuona hadi awe na hii master password. Ubaya ni kuwa watu wengi hawajui kutumia hii feature especially non-tech people.

By the way even without these flaws, it is so easy to guess most of normal users password. Mara nyingi huwa wanatumia dictionary words, kitu ambacho ni rahisi sana ku-crack hata kwa kutumia brute force.

Mkuu mimi mwenyewe najua Mbwa mwitu pia ni rahisi tu kuona saved password kama alivyoonyesha mkuu Fatma Bawazir
Hebu tupe maujuzi ya master password tufunge kazi
 
Hebu jaribu Comodo Dragon na Comodo IceDragon mwone kwa sababu nazo zimeongezewa security features
 
Mkuu mimi mwenyewe najua Mbwa mwitu pia ni rahisi tu kuona saved password kama alivyoonyesha mkuu Fatma Bawazir
Hebu tupe maujuzi ya master password tufunge kazi

Mimi natumia Firefox 22.0. Kwa hii unaenda kwenye Firefox menu -> Options -> Options -> Security. halafu then check use master password check box. Hapo utaletewa dialog box ya kujaza your new master password. Kuanzia hapo anytime ukitaka kuona hizo password itabidi kwanza uingize hiyo master password. Zaidi hutakuwa logged in automatically kwenye site zako hadi kwanza uingize hiyo master password.

Mimi si mzuri sana kwenye kutoa maelezo kwenye mambo kama haya lakini ninaamini nimejaribu.
 
dah nilivyoona hivyo nikatest kwenye pc yangu nikajiona mpuuz sana chrome washanikosa nimehama mazima nipo opera, firefox, safari wana hio option ila wao wana master password unaaieka ili mtu asione.

hata hapa jf sio safe kuna wapuuzi wakiiona tu hio wanaenda kuibiana password za fb sasa hv, subirini malalamiko

hata firefox ia ila wao ukisave ndio unaiona hiyo password yakoo..
 
Back
Top Bottom