Wewe kama nani!? Wameongea Lipumba na Slaa wamepuuzwa. Endeleeni na hoja zenu za kipuuzi tu. Na adhabu anayowapa Lowassa ni kukaa kimya.
Mmejaribu kila neno yeye anafanya yake tu. CCM mwaka huu wameliwa hela zao sana, wamefikiri wakitumia watu kama wewe mzee mwanakijiji mtakuwa na ushawishi. Ila wamesahau nadharia halisi ya nguvu ya umma.
Watz tulishaamua kumchagua Lowasa.Hizo nyingine pumba tu ambazo haziwezi kuzuia mabadiliko.Mabadiliko hayawezi kuzuiwa na mkimbizi asiyepiga hata kura kwa kuandika tu uharo hapa jf
Hakika Mzeemwanakijiji anawapa homa, mkiona post zake tu mnaweweseka na kupanic! Maneno yake mwiba kwenye makalio yenu. Mkimuona mnatetemeka kama mgombea wenu, mnajinyea nyea hovyo. Mwanakijiji, endelea kuwashika pabaya. #HapaKaziTu