Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,175
- 43,936
Afadhali. Ukishaujua ugonjwa haikupi shida kutafuta dawa!!Thanks, hebu iweke ile namba niliyo ku text.
Muulize Lowassa, KWANINI alisema pale Jangwani nendeni kwenye Mtandao MKASOME SERA ZAKE DHAIFU, wangapi Tanzania wana uwezo wa kusoma sera dhaifu za UKAWA kwenye mtandao?Hivi nani kakuloga?? Uko ok? Baada ya chokochoko hii yote unayoeneza mwisho wake unautabiri vipi? Kati ya wapiga kura mil 24 ni wangapi wenye whatsapp au eti wakaelezee ambao hawana na wawasikize
You don't know me young man. It is better this way.Afadhali. Ukishaujua ugonjwa haikupi shida kutafuta dawa!!
Musoma tushamaliza...
Piga soga hadi uchoke, hatubadiliki...
We jamaa si utulie wewe uko Marekani lakini kelele nyingi! Hivi wewe jamaa? dah basi tu