Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,476
- 39,995
Habari zinazoingia mida hii ni kuwa mwanachama mwenzetu Bw. Sanctus Mtsimbe ambaye ni rais wa TPN atakuwa kwenye kipindi cha "Kumepambazuka" kuanzia saa 12:30 za asubuhi leo hii (j'tatu) kwenye kituo cha ITV na bila ya shaka baadhi ya mambo atakayoyazungumzia ni hilo la TPN.