Profits Are Better Than Wages. Do you agree?

ndugu wages haiwezi kua profits ukioanza kuchanganya vitu namna hiyo haukawii kuharibu...profits ni za mwenye kitu either kuuza i.e trade business etc..wages is for employees so wages sio profit hata kidogo...

Mkuu naomba unionyeshe wapi nimesema profits inaweza kuwa wages ? au unasoma vitu unavyowaza kichwani mwako ? naomba angalia upya statement yangu uone kama nilichosema ndicho unachosema.. just kuweka mambo sawa wages (mshahara) na profit (faida) am sure baada ya kusoma tena utaniomba radhi (ila don't worry nishakusamehe next time soma polepole)
 
mii sikubaliani. wages are better than profits sababu,

1.profit hubadilika lakini mshahara wako ni constant (ukiacha cases za kupandishwa cheo),

2 ofisi ni lazima inilipe mshahara wangu kwanza kabla haijajua imamake profit au loss kiasi gani) kwahiyo mshahara wangu umepewa kipaumbele. mshahara wangu upo

3. mshahara upo pale pale hata kama kuna siku ambazo hukuzalisha/kuuza katika mwezi wakati profit huweza kushuka kama hakuna mauzo.

4. kupokea wage hakukupi stress. huna mawazo ya kucover costs zozote za uzalishaji, ikifika mwisho wa mwezi unasmile tu. ni tofauti na kama ungekuwa unaearn profit, lazma umake sure umelipa gharama zote za uzalishaji including wages.

nani anabishaaaaaaa????
point yangu ya kusema kwamba kuanza kuchanganya ime base kwenye hiki wages and profits comparison uliyoiweka...sasa ni hivi sio lazima maneno yawe in plain meaning refering to what i have said but inference ya comparison yako na sababu ulizoziweka i.e salary being constant, stress free, end of the month smiling..ni obvious unaweza infer kwamba a wage earner is in a better position as a profit maker or bearer..sasa kwamsingi huo ndio maana nikasema kuchanganya...which means what..hasara ya mtengeneza profits hailingani na na wewe msubiria mshahara sababu wewe ulie kua employed ndo una stress za kuhakikisha kwamba everything is done in accordance..ili profit realization ifikiwe..so anaeskilizia profit yeye anasubiri tu report nyie waajiriwa ndo mnaochakarika kuhakikisha mambo yote yana kwnda sawa...kujichanganya kunaanza pale unapoanza kucompare vitu hivyo viwili ni na kusema wage earner yuko kwa comfort zote...unafikiri bill gates ana stress za microsoft kupata loss? ni MD,anaesumbuka kuwa stress watu wa chini yake..au abramovich..anasumbuka yeye ana mwachia kocha, kocha anawa stress wachezaji..wafanye vitu vizuri..nafikiri hapo utakua umenipata vizuri kabisa...ova
 
Huu ndo Ugonjwa
mkubwa sana, Fear, mkuu kila mtu ukimuuliza atakuambia anapenda sana
kufanya biashara ila tatizo ni fear, yaani mtu anashindwa biashara kabla
hata ya kuifanya,

Kuingia katika Ujasirimali kunafananishwa na wale jamaa wanao vaa Mabomu
na kwenda Kujilipua, ni lazima ujitoe mhanga,

Ni lazima Uchome Meli Moto, waturuki walivyo kuwa wakifika Pwan ya
Mapigano enzi hizo, walikuwa wakichoma Moto meli zao zote zilizo
wafikisha eneo la vita, hii ilimanisha kwamba hawana Optional nyingine
zaidi ya Kushinda Vita, Why?
1. Wakishindwa bado watauwawa kwa sababu wameisha choma moto meli zao
hivyo hawataweza kukimbia

- So iliwabidi washinde vita ili kuokoka, Na kweli walikuwa wanapambana
kufa na kupona huku wakijua wanahitaji tu kushinda,

Katika Biashara kuna Chalengi nyingi sana, Ikiwemo kukatishana Tamaa, so
unahitaji kuwatupilia mbali wale wote wanao kwamisha wewe kusonga
mbele, Futa namba zao, Badili hata Namba kama ikibidi,

Utakapo kuwa unaingia kwenye Biashara utakuwa na Optional Moja tu ya
Kupambana hadi tone la Mwisho, Make kule mtaani ulisha wafutilia mbali
baadhi ya Marafiki, Umegombana na ndugu zako kwa sbabau ya Biashara,
Umekosana na Wazazi, so ni lazima upambana kufa na kupona,

SO UNAHITAJI KUCHOMA MOTO MELI KABLA YA KUANZA SAFARI YA UJASIRIMALI

mkuu heshima kwako post yako ni bonge la post.thank you.
 
point yangu ya kusema kwamba kuanza kuchanganya ime base kwenye hiki wages and profits comparison uliyoiweka...sasa ni hivi sio lazima maneno yawe in plain meaning refering to what i have said but inference ya comparison yako na sababu ulizoziweka i.e salary being constant, stress free, end of the month smiling..ni obvious unaweza infer kwamba a wage earner is in a better position as a profit maker or bearer..sasa kwamsingi huo ndio maana nikasema kuchanganya...which means what..hasara ya mtengeneza profits hailingani na na wewe msubiria mshahara sababu wewe ulie kua employed ndo una stress za kuhakikisha kwamba everything is done in accordance..ili profit realization ifikiwe..so anaeskilizia profit yeye anasubiri tu report nyie waajiriwa ndo mnaochakarika kuhakikisha mambo yote yana kwnda sawa...kujichanganya kunaanza pale unapoanza kucompare vitu hivyo viwili ni na kusema wage earner yuko kwa comfort zote...unafikiri bill gates ana stress za microsoft kupata loss? ni MD,anaesumbuka kuwa stress watu wa chini yake..au abramovich..anasumbuka yeye ana mwachia kocha, kocha anawa stress wachezaji..wafanye vitu vizuri..nafikiri hapo utakua umenipata vizuri kabisa...ova

sijui kama umenijibu mimi sababu umeqoute post ya mwingine wakati hapo juu ulisema mimi ndio nimechanganya..,

Mkuu unachukua scenario moja na unageralize kwamba lazima iwe hivyo katika kila nyanja.., ni wangapi walishachukua mkopo wakafungua ofisi na kuweka wafanyakazi na kuwapangia kazi A, B C, wazifanye (kumbuka hapa kazi ya mfanyakazi ni kufanya hizo A, B, C) ila kazi ya mwenye ofisi ni kujakikisha ana-break even na ofisi inaingiza faida ili mtaji wake usiende na maji (sasa hapo nani ana stress) ?, Pia unadhani microsoft analala tu wala hawezi kuhusu ni jinsi gani ataingia kwenye tablet business na ni vipi au lini Apple wanaweza wakampiku soko ?, unadhani stress yake ni sawa na mtu ambaye yeye kaambiwa atengeneze code fulani, au asafishe vyoo vya ofisi ?, kumbuka na huyu muandika code hata microsoft wakimfukuza bado Apple au kampuni nyingine itamchukua...

Alafu tukija issue ya Chelsea kumbuka Abramavich hapati faida kutoka chelsea (mpaka sasa its making a loss) na kuna watu wana contract zao za kama miaka kadhaa wakae bench wasikae pesa yao ipo na kama kocha siku akifukuzwa kazi kuna pesa analipwa ya kuvunjwa kwa contract...

Kumbuka sisemi mtu asijefanyie kazi (mind your own business) lakini nimesema inategemea sio tu mtu useme kujiajiri bali uangalie unachopata mwisho wa siku (binafsi wewe ukifanya kazi au ukijiajiri) kwahio sio mbaya hata kama ukiwa unafanya kazi unapata wages.., alafu part time una biashara yako ya nyanya ambayo inakuingizia profit...

Kwahio mkuu kuanzisha kitu chako ni bora zaidi lakini sio necessarily kwamba kitafanikiwa na kuna watu kwa talent yao wanapata mishahara mikubwa na kuna wengine owners wa business zao hata ku-break even wanakusikia kwenye redio
 
Wages unalipwa according 2part ov work u done, its not salaries,, but profit is reward ov enterprenuer due a certain production, sasa Profit ni bora kuliko wages since wages unaamuliwa kulipwa, bt profit unapata according 2ur own perfomance en icrease capital
 
actually the main difference between salaries and wages its that wages are normally paid per hour while salaries is normally a set up amount per month but I think for the sake of this argument lets not differentiate between salaries and wages (after all who is paid per hour in this country) apart from vibarua maybe
 
Olryt mkuu! Bt stil the profit z on ur performance compare 2wages ambayo unalipwa pasipo kuangalia general profit obtained on production,, so i stil agree on motion
 
Husninyo.. Refer post yako ya kwamba wages is better than salary.

Hapana best... Ni sawa wages iko na uhakika but mind u profit hata kama hazina uhakika na wakati mwingine kuna hasara but una uwezo wa kupata profit ika clear some loss.

With ya business uko na option ya expand more n more but kazini utasubiri upandishwe cheo au upate mshahara.

Mfano mzuri ni wazee waliokubali kuajiriwa mpaka age ya kustaafu bila kujiingiza katika ujasiariamali, wanajifia stress coz salary ziliwawezesha kulipa bills tu (rent, school fees, food, shelter etc). Kama mjanja unakuta amefanikiwa kujenga nyumba tu..
Akistaafu anategemea mafao ndo yamweke mjini .. Mara ndo anaanza kufikiria biashara which is crazy.

Mytake.. Kama kijana nafikiria kujistaafisha mapema iwezekanavyo ni invest muda, akil na nguvu zangu ktk ofisi yangu mwenyewe.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Huu uzi umenipa moyo wa ujasiri. Asanteni wote mliochangia.

Yes mwaJ pambana best kujiari ndo mpango mzima but unaweza kuanza miradi yako ukiwa umeajiriwa then ikiwa stable u may decide to quit or to stay

RObert kiyosaki anasema "keep ya day time job, mind your own business"

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Husninyo.. Refer post yako ya kwamba wages is better than salary.

Hapana best... Ni sawa wages iko na uhakika but mind u profit hata kama hazina uhakika na wakati mwingine kuna hasara but una uwezo wa kupata profit ika clear some loss.

With ya business uko na option ya expand more n more but kazini utasubiri upandishwe cheo au upate mshahara.

Mfano mzuri ni wazee waliokubali kuajiriwa mpaka age ya kustaafu bila kujiingiza katika ujasiariamali, wanajifia stress coz salary ziliwawezesha kulipa bills tu (rent, school fees, food, shelter etc). Kama mjanja unakuta amefanikiwa kujenga nyumba tu..
Akistaafu anategemea mafao ndo yamweke mjini .. Mara ndo anaanza kufikiria biashara which is crazy.

Mytake.. Kama kijana nafikiria kujistaafisha mapema iwezekanavyo ni invest muda, akil na nguvu zangu ktk ofisi yangu mwenyewe.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Nadhani hapa tunakosea tunaposema directly kwamba hii sentensi inamaanisha kuajiriwa na kujiajiri.., nadhani hakuna mtu anayepinga kuanzisha kitu chako (business yako) sababu ingawa kuna risk sky can be the limit...

Lakini ngoja nikupe mfano mdogo ambao msemo wa profits ni better than wages does not necessarily hold true..., mfano mimi nakuja na biashara yangu au nataka unifanyie/unitengenezee kitu changu alafu nikakwambia je nikulipe pesa tumalizane au nisikupe kitu ila tugawane kwenye mauzo mwisho wa siku.., utaona hapa kuna degree ya risk kubwa ambayo mwisho wa siku ni upeo wangu kuona je ni kweli hio profit itapatikana ? Tena mfano realistic ni kama msanii kwenye contract ya ku-perform (akipewa pesa yake mwanzo kabla ya show it means yeye kamaliza, ila akisema ngoja tuone ni watu wangapi wataingia tugawane faida ya mauzo huenda mwisho wa siku akatoka bila hata senti). Narudia hakuna chizi ambae atapinga umuhimu au ubora wa kuwa na biashara yako, wala faida ya kujiajiri hata part time na watu wanaopinga hawapingani na uzi wa mwanzo kabisa wenye elaboration bali wanapingana na statement sababu it depends na scenario na aina ya biashara inayofanyika (as you know kuna biashara nyingine kichaa)

c.c Nxt Millionaire, Husninyo, Lyamber, chama2chawa, Chasha, Zamazamani
 
Mkuu ni kweli kabisa, Wastafu hupata sana shida, wengi wao wakisha stafu ndo wanakumbuka kuna ishu za Biashara wakati huo unakuta muda umeisha watupa mkono, Ujasirimali ni mzuri sana ukinza ukiwa bdao Kijana hapo ndo utafurahia matunda ya Kazi zako
 
mkuu naomba unionyeshe wapi nimesema profits inaweza kuwa wages ? Au unasoma vitu unavyowaza kichwani mwako ? Naomba angalia upya statement yangu uone kama nilichosema ndicho unachosema.. Just kuweka mambo sawa wages (mshahara) na profit (faida) am sure baada ya kusoma tena utaniomba radhi (ila don't worry nishakusamehe next time soma polepole)
mi mwenyewe nashangaa anaanza kubisha hata kusoma hajasoma dah
 
Nadhani hapa tunakosea tunaposema directly kwamba hii sentensi inamaanisha kuajiriwa na kujiajiri.., nadhani hakuna mtu anayepinga kuanzisha kitu chako (business yako) sababu ingawa kuna risk sky can be the limit...

Lakini ngoja nikupe mfano mdogo ambao msemo wa profits ni better than wages does not necessarily hold true..., mfano mimi nakuja na biashara yangu au nataka unifanyie/unitengenezee kitu changu alafu nikakwambia je nikulipe pesa tumalizane au nisikupe kitu ila tugawane kwenye mauzo mwisho wa siku.., utaona hapa kuna degree ya risk kubwa ambayo mwisho wa siku ni upeo wangu kuona je ni kweli hio profit itapatikana ? Tena mfano realistic ni kama msanii kwenye contract ya ku-perform (akipewa pesa yake mwanzo kabla ya show it means yeye kamaliza, ila akisema ngoja tuone ni watu wangapi wataingia tugawane faida ya mauzo huenda mwisho wa siku akatoka bila hata senti). Narudia hakuna chizi ambae atapinga umuhimu au ubora wa kuwa na biashara yako, wala faida ya kujiajiri hata part time na watu wanaopinga hawapingani na uzi wa mwanzo kabisa wenye elaboration bali wanapingana na statement sababu it depends na scenario na aina ya biashara inayofanyika (as you know kuna biashara nyingine kichaa)

c.c Nxt Millionaire, Husninyo, Lyamber, chama2chawa, Chasha, Zamazamani
Kaka hapa tunaongea in general terms which is better than the other, ukianza kuleta scenario utaharibu maana ya thread, na tatizo kubwa la watanzania wengi ni uthubutu na hili tunaliona wazee wetu wengi wakishastaafu wanavyochoka, huwa tunaridhika sana na vijimshahara ukifikiria kwa makini mishahara mingi ya tanzannia ni hela za kula tu
 
Yeah inabidi niongelee scenario sababu tangia mwanzo nilisema sio always wages ni better than profit (kumbuka hapa simaanisha kwamba reinvestments ni mbovu), nadhani takuwa mpuuzi kutetea kwamba ile wages ukiipata usi-reinvest kwenye assets ambazo zitakusaidia uzeeni, kumbuka hata hapa nchini kwetu kuna watu wanakula mishahara ya kufa mtu huenda hata kuliko wangefungua biashara fulani full time ambayo wanaweza kufanya ( kumbuka hawa watu hawakatazwi kuuza nyanya au kufanya biashara nyingine part-time) its just kuongeza kipato, vile vile itakuwa upuuzi kwa hawa watu kuacha hio kazi yao ya mshahara na kuuza hizo nyanya full time (ukizingatia mshahara wao ni mwingi kuliko kuuza hizo nyanya at that instant).

Pia kumbuka kwa bongo kuna investment ambazo sio hands on (nyumba, ardhi n.k.) ambazo unaweza kuendelea na kazi yako wakati pesa inaingia (utaacha kazi pale tu ambapo biashara utakayofanya ita-justify kuacha kwako kazi) although sikatai kuna ile self happiness ya kuwa na biashara yako.
 
nadhani unajua kwamba duniani kote wafanyabiashara ndio wanaendesha nchi hata angalia nchi yako ya tanzania utapata jibu
 
Wakuu shukran kwa mawazo yenu mazuri, vile vile kumbukeni kuwa sio wote wanaojitosa kwenye ujasiriamali wanafaulu,,na sio wote wanaoajiriwa wanafaulu,,,,UJASRIAMALI NI TABIA SIO AINA YA KAZI....

Vilevile ujasiriamali sio kujiajri tu, Pana kitu kina itwa Intrapreneur - Ni ujasiriamali ndani ya kampuni/shirika wapo na wanatabia zote za kijasiriamali na hao ndio kwa mfano kampuni ikigundua ni asset kubwa kwao, wanalipwa zaidi na malupulupu mengi zaidi kwa kuwa ndani na kuwa na access na resources nyingi za kampuni(network,research,funds,Technology) anapata mapato makubwa zaidi kuliko akijitegemea.

Pia watu wanatofautiana kwenye Risk Taking behavior,,GETs(General Enterprising Tendencies),,,na Entreprineurial Culture,,, Nashauri kabla ya kuacha kazi yako yote ni vema ujitabue kwanza,,na kama haufiti mm nashauri ni vema uka complement/team up na mwenye hizo GETs pana uwezekano mkubwa wa kufaulu..

Kwani kumezuka tabia watu wengi sana wanaingia kwenye ujasiriamali sio tu kwa kupenda bali kwa kukosa ajila,,,mwisho wa siku wanalaumu hakuna mitaji,,, Mtaji sio kigezo kabisa kwa mjasiriamali mzuri,
 
Kaka hapa tunaongea in general terms which is better than the other, ukianza kuleta scenario utaharibu maana ya thread, na tatizo kubwa la watanzania wengi ni uthubutu na hili tunaliona wazee wetu wengi wakishastaafu wanavyochoka, huwa tunaridhika sana na vijimshahara ukifikiria kwa makini mishahara mingi ya tanzannia ni hela za kula tu

Mkuu si kwa Tanzania tu Bali ni Kwa Dunia nzima, Mishahara ni pesa ya Kula tu na ukijitahidi sana utajenga nyumba na Kununua gari,na hapo ndo mwisho wa Game
 
Nadhani hapa tunakosea tunaposema directly kwamba hii sentensi inamaanisha kuajiriwa na kujiajiri.., nadhani hakuna mtu anayepinga kuanzisha kitu chako (business yako) sababu ingawa kuna risk sky can be the limit...

Lakini ngoja nikupe mfano mdogo ambao msemo wa profits ni better than wages does not necessarily hold true..., mfano mimi nakuja na biashara yangu au nataka unifanyie/unitengenezee kitu changu alafu nikakwambia je nikulipe pesa tumalizane au nisikupe kitu ila tugawane kwenye mauzo mwisho wa siku.., utaona hapa kuna degree ya risk kubwa ambayo mwisho wa siku ni upeo wangu kuona je ni kweli hio profit itapatikana ? Tena mfano realistic ni kama msanii kwenye contract ya ku-perform (akipewa pesa yake mwanzo kabla ya show it means yeye kamaliza, ila akisema ngoja tuone ni watu wangapi wataingia tugawane faida ya mauzo huenda mwisho wa siku akatoka bila hata senti). Narudia hakuna chizi ambae atapinga umuhimu au ubora wa kuwa na biashara yako, wala faida ya kujiajiri hata part time na watu wanaopinga hawapingani na uzi wa mwanzo kabisa wenye elaboration bali wanapingana na statement sababu it depends na scenario na aina ya biashara inayofanyika (as you know kuna biashara nyingine kichaa)

c.c Nxt Millionaire, Husninyo, Lyamber, chama2chawa, Chasha, Zamazamani
kwa msingi huo wewe ni muogopa risk kwa hiyo biashara huwezi..unaona unapenda security ya kua employee..ukiikubali risk na kuifanya kitu cha kawaida..unapiga faida ogopa sana...mf kwenye hiyo mifano yako ukiingiza hizo risk likija swala la kutoka unatoka kiukweli,,dont let fear of loosing hinder you from achieving the joy of winning kaka amini hivyo
 
Hii thread ni kali na nia yake ni kuondoa woga wa kujiajiri na ku-encourage watu wajiajiri wenyewe.
kwangu imenipa nguvu na mwamko mpya.

BIG UP KWA NXT MILLIONAIRE, CHASHA, NYENYERE NA WENGINEO.
 
Back
Top Bottom